Unampoteza maboya mazima kabisa huyo Chagga Democratic Party. Kanda ya ziwa wala asithubutu hata kugusa maana kamhumu hayati JPM kwa uzushi na uzandiki, kamdhalilisha eti Magufuli aliwachukia Kilimanjaro na Arusha is he serious? Kesi yake ya ugaidi nani alimkamata na kumfungulia mashitaka ni 5th phase au 6th phase? Kwanini majaladi ya kesi yana utata moja likisema Agosti 2020 lingine Julai 2021?Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.
Kuna options mbili:
- Either CCM watoke madarakani kwa kura au
- Serikali ya mseto
Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.
Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.
Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba!!! Ni hayo tu.
Huko America hakuna Magonjwa?Huku lingusenguse toka uhuru ni Mbunge wa ccm tu na hakuna hata legacy iliyoachwa na wabunge wa Chama dola na after all wametawala Tanzania [emoji1241] more than 60yrs nini cha kujivunia?ujinga umasikini na maradhi bado yapo na sasa yameungana na uncle wao anayeitwa rushwa
@Cardless unaujua msitu wewe? sema utaingia kichakani kujisaidia ila angalia usichambie upupu.Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.
MIMI NITAINGIA MSITUNI IKIWA MBOWE ATAKUWA RAIS, SIWEZI KUCHEZEA UHURU WANGU HATA SIKU MOJA.
Una hoja sn Kaskazini na Ziwa wote ni Mbowe, Pwani ni waswahili haoKamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.
Kuna options mbili:
- Either CCM watoke madarakani kwa kura au
- Serikali ya mseto
Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.
Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.
Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba!!! Ni hayo tu.
Wao wenyewe hawauongelei huo ushindiKwani hangaya hasimami? maana msijidai kuwasahau fisiemu na ushindi uleeee wa 99%.....
CHADEMA si imekufa mbona bado mnaiwaza?Huko America hakuna Magonjwa?
Huko America hakuna ujinga?
Huko America hakuna umaskini?
Je ndani ya uhai wa Chadema 30 yrs older..ni nini Legacy yake nchini?
Kupanga ofisi Kinondoni na kufanyia mikutano hoteli za kitalii?
Au kuvunja rekodi za ususiaji wa vikao Tanzania.
Iwe vya bunge la katiba, bunge la Bajeti au vikao vya TCD au chaguzi serikali zamitaa....nyinyi ni wazee wa kususa tuuu
What [emoji15]!
Kumbe ninajadiliana na mpumbavu hapa!ninakubaliana na yote hapo juu, kudos 👏 👌Huko America hakuna Magonjwa?
Huko America hakuna ujinga?
Huko America hakuna umaskini?
Je ndani ya uhai wa Chadema 30 yrs older..ni nini Legacy yake nchini?
Kupanga ofisi Kinondoni na kufanyia mikutano hoteli za kitalii?
Au kuvunja rekodi za ususiaji wa vikao Tanzania.
Iwe vya bunge la katiba, bunge la Bajeti au vikao vya TCD au chaguzi serikali zamitaa....nyinyi ni wazee wa kususa tuuu
What [emoji15]!
Endelea kuota jombaa!!Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.
Kuna options mbili:
- Either CCM watoke madarakani kwa kura au
- Serikali ya mseto
Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.
Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.
Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba!!! Ni hayo tu.
Ila na nyie ndugu yenu katika imani akiwa madarakani mnawehuka. Awamu iliyopita ulikuwa una support chadema, Ila Sasa kwa kuwa......Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.