Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

Mbowe ndio anafaa zaidi 2025 kuliko wagombea wa kufikirika kutoka vyama vya upinzani
 
Majambazi waliotumiwa na Magufuli 2020 ndio hao watatumika 2025 kuibakiza serikali ya mafisadi wa Ccm madarakani.
 
Regionalism ni ugonjwa wa watu wengi.
 
Unaingia msituni kupakuliwa
 
Mume wenu Magufuli was a killer, mbaguzi na mkanda + mdini
 
Povu linakutoka kwa kutetea maiti ya IBILISI iliofukiwa na kuoza Chato.. kazi mnayo wajane.
 
Wakati yule HAYAWANI Magufuli anabagua watu, ulishangiria si ndio?!
Kizazi cha hovyo sana .
 
Anza training mkuu Ukraine watu wanaitwa wakujitolea Kama wewe
 
Ukiona unaota sana ndoto za mchana jiandae kuwa chizi
 
Hongera zake Mbowe kwani uwezo kuongoza anao mkubwa sana ndo maana kupigwa Vita kwake hakuishi.
Ila Mungu ni mwema atampigania atavuka salama
 
Chadema wakitulia 2025 watafika mbali sana, ila wakimuweka chiba ndio kipengele.
 
mtafute C. MUSIBA akushauri maana kuna kauli aliwahi isema wakati lisu anarudi tz kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu nazani sasa hivi anaweza kuwa mshauri mzuri tuu, au mzee wa kutumia dola kubaki madarakani na sasa ameshindwa kutumia dola kubaki na ukatibu mkuu aliokuwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…