Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa.
Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa.
Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje!
Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno mapesa yake kwenye chama hiki? Sawa. Tufanye tumekubali. Kwamba hiyo ndiyo sababu kuu!
Ushauri wa bure ndugu zangu: "turejee hekima za misahafu kutokokubishana na wapumbavu, au kuvutaniana watoto!"
Mbona Biya, Wassira na hata Museveni wapo!
Aachwe mwamba kujinafsi na hata milele!
Ni hayo tu ndugu wajumbe!