Hamtak tena uchaguzi?
CDM sio chama cha wanaharakati uchwara
Kuanzisha chama kipya ingekuwa busara sana..
CDM hakuna madaraka kama mnavyotaka kutuaminisha, maaldaraka yapo Serikalini.
..umma umezungumza.
..sasa tusubiri wajumbe watakachofanya.
mapigano ya Ghaza yatahamia mlimani City jijini Dar es salaam kesho, ni muhimu kuchukua tahadhari,Sasa wewe na kina Tlaatlaah si mna chenu, au?
mapigano ya Ghaza yatahamia mlimani City jijini Dar es salaam kesho, ni muhimu kuchukua tahadhari,
wanamgambo wa Lisu wakiongozwa na Lema, pumbalu na mwaipaya wamejiandaa vyema kwa silaha za jadi, nyembe na visu ambavyo wataingia navyo ukumbini 🐒
Hahaha mmesusa tayari?
Ni muhimu zaidi vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuchukua hatua muhimu za mapema kabla ya uharibufu na pengine maafa kutokea pale mlimani City jijini Dar es salaam kesho Jan 21.2025, kwenye uchaguzi wa chadema Taifa 🐒Kwani kuna haja ya kubishana na wapumbavu? Au mfalme Suleiman anasema je? Kulikoni kuvutaniana watoto?
Ninakazia hata kama anataka uenyekiti wa maisha, si apewe!
Acha utapeli wewe!Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa.
Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa.
Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje!
Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno mapesa yake kwenye chama hiki? Sawa. Tufanye tumekubali. Kwamba hiyo ndiyo sababu kuu!
Ushauri wa bure ndugu zangu: "turejee hekima za misahafu kutokokubishana na wapumbavu, au kuvutaniana watoto!"
View attachment 3206916
Mbona Biya, Wassira na hata Museveni wapo!
View attachment 3206915
Aachwe mwamba kujinafsi na hata milele!
Ni hayo tu ndugu wajumbe!
KabisaHii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu.