Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

Uchawa utakufanya u-fi-r-we bwana mdogo.
 
Subirini uchaguzi ufanyike aachiwi mtu.

Ushauri wa bure hata kama Lissu wakitaka akipewa chama amwachie mwamba atuvushe.

Itakuwa kumkatili mno Paul Biya, Museveni na wa namna hIyo waliozowea mno, kutukuzwa!
 
Ushauri wa bure hata kama Lissu wakitaka akipewa chama amwachie mwamba atuvushe.

Itakuwa kumkatili mno Paul Biya, Museveni na wa namna hIyo waliozowea mno, kutukuzwa!
Uchaguzi kesho punguza stress, atashinda utafurahi tu.
 
Hiyo ni habari njema kwa maana tulikuwa tukiwashangaa mno!

View attachment 3211986

Kwamba?
Ushindi wa Lisu haumfanyi awe mtu wa Maana, hata Hitler alishinda. Msimamo wangu kuhusu Lisu na Team Lisu uko pale pale. Mmejaa matusi, na Lisu hana strategy za kuipeleka CHADEMA mbele. Tutarudi hapa muda ukifika.
 
Basi wa maana huyo aliyeangukia pua.

Hatuwataki watu wa namna hiyo dunia inawahitaji kina Ibrahim Traore.

Na hao ndiyo kina TAL.

Habari ndiyo hiyo.

Likizoni baada ya kusimika chuma:

Chalamila, serikali wanapotutaka kulipia huduma za serikali wanajua malipo tunayolipa serikalini bila kupewa risiti ni kwa maslahi ya nani?

Cc: imhotep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…