Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

UTO KAMA UTOO

UTOPOLO

MANYANI FV

VYURA FC 🐸🐸🐸
INAWAUMA SANA NYIE KUTOKUWA NA MICHUANO YA KIMATAIFA... ILA NAJUA NYIE NI JOBLESS KAMA ALIVYOSEMA EDO.
 
UTO KAMA UTOO

UTOPOLO

MANYANI FV

VYURA FC 🐸🐸🐸
INAWAUMA SANA NYIE KUTOKUWA NA MICHUANO YA KIMATAIFA... ILA NAJUA NYIE NI JOBLESS KAMA ALIVYOSEMA EDO.
wewe mkia kaa kwa kutulia bwashee
 
Njoo uone mnyumbuliko wewe
" Chama akiwa anacheza unaweza dhani mpira ni rahisi sana ukitaka kujua mpira ni mgumu mwangalie nchimbi[emoji3][emoji3][emoji3]"

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
sasa huyo chama atacheza peke yake?? Kwa beki ya joashi ONYANI onyango handsome girl mikia ni weupe peee kama jacline wolper😂😂
 
Badala ya kuwashauri Simba ni bora uwashauri upotolo wajitahidi wachukue kombe ili muweze kushiriki kimataifa badala ya kutuletea pumba zako
 
Ndugu zangu wapenzi wa michezo katika jukwaa hili;mimi nishabiki wa dar es salaam young african tanzania dammm
Lakni kuelekea game ya leo kati ya watani zetu mikia fc au mo fc ni vema nikatoa ushauri wangu kama mtanzania mpenda soka, bongo kwani mikia ni club ya hapa hapa.
Mashabiki wa timu hii (najua wengi watapita hapa) naombeni mdumishe amani , msifuate yale maneno ya mtu wenu "manara dishi" eti game ni ya kwenu tu!!
Mikia hamna amri ya kutupangia game ya kuangalia ukiwa pesa tunazo bwashee
Pili ukifika uwanjani au ukumbini tafadhali kaa kimya usijulikane, tafadhali ficheni madekio yenu (jersey) kwani meza ikipinduliwa hamtakuwa na amani wallah😅😅
Game ikiisha na mkiwa mmeshinda (japo najua hamponi) rudini mkatulie na familia zenu
Mwisho ni watakie game tamu yenye amsha amsha za kisitaarabu🤗

Prediction: mikia 2 plateau 3... agrigate 3-3
Aliyepigwa mengi kwake;mikia,so ahsante kwa kushiriki 😂

#jr (shabiki kindakindaki wa young african , barca,man city,BvB,psg , kumamoto fc ya japan, na shanghai evergrade ya china)
Alisikika chura mmoja akipiga kelele kwenye dimbi la maji.....utopolooo, utopolooo....
 
Alisikika chura mmoja akipiga kelele kwenye dimbi la maji.....utopolooo, utopolooo....
😂😂 yani mashabiki wa mikia wanajiona wametoboa sana ani😂😂😀
 
Badala ya kuwashauri Simba ni bora uwashauri upotolo wajitahidi wachukue kombe ili muweze kushiriki kimataifa badala ya kutuletea pumba zako
hili kombe inaeleweka kabsa bingwa nani, sema tunatimiza majukumu tu
 
Back
Top Bottom