Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

hahahahh yani leo kupitia komenti yako nimeprove 97.8% ya mashabiki wa mikia ni mazwazwa yani akili ni hamna!
Yani std 7 anajigamba na kung'ong'a point za msomi nguli kama mimi??😃😃
Daah mikia bhana!!💩
Ungekuwa msomi nguli ingejionyesha kwenye point zako hauna usomi wowote wewe ni ngumbalu
 
Mikia jana mmeona jinsi mpira unavyopigwa?? Leo tena mnapigwaaa
 
Ndugu zangu wapenzi wa michezo katika jukwaa hili;mimi nishabiki wa dar es salaam young african tanzania dammm
Lakni kuelekea game ya leo kati ya watani zetu mikia fc au mo fc ni vema nikatoa ushauri wangu kama mtanzania mpenda soka, bongo kwani mikia ni club ya hapa hapa.
Mashabiki wa timu hii (najua wengi watapita hapa) naombeni mdumishe amani , msifuate yale maneno ya mtu wenu "manara dishi" eti game ni ya kwenu tu!!
Mikia hamna amri ya kutupangia game ya kuangalia ukiwa pesa tunazo bwashee
Pili ukifika uwanjani au ukumbini tafadhali kaa kimya usijulikane, tafadhali ficheni madekio yenu (jersey) kwani meza ikipinduliwa hamtakuwa na amani wallah[emoji28][emoji28]
Game ikiisha na mkiwa mmeshinda (japo najua hamponi) rudini mkatulie na familia zenu
Mwisho ni watakie game tamu yenye amsha amsha za kisitaarabu[emoji847]

Prediction: mikia 2 plateau 3... agrigate 3-3
Aliyepigwa mengi kwake;mikia,so ahsante kwa kushiriki [emoji23]

#jr (shabiki kindakindaki wa young african , barca,man city,BvB,psg , kumamoto fc ya japan, na shanghai evergrade ya china)
Once Uto always Uto
 
hahahahh yani leo kupitia komenti yako nimeprove 97.8% ya mashabiki wa mikia ni mazwazwa yani akili ni hamna!
Yani std 7 anajigamba na kung'ong'a point za msomi nguli kama mimi??[emoji2][emoji2]
Daah mikia bhana!![emoji90]
Kama wewe ni msomi nguli basi sisi kama taifa tuna haja ya kujitafakari kuhusu mustakabali wa elimu yetu.
 
Back
Top Bottom