Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

Ikitokea hiki unachosema, Simba wakishika usukani wa Ligi wataanza kuimba ule wimbo wao Wa Mwakaniiiiiii Timuuuu nneee hakunaaaaaaaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ yani mashabiki wa mikia wanajiona wametoboa sana aniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€
Alisikika chura mmoja akipiga kelele kwenye matope bila kujua jua likiwaka ataishia kufia ndani ya tope

Hakuna mashabiki wajinga kama utopolo duniani hawajui Simba akiingia hatua ya makundi Tanzania inapata nafasi 3 au nne kwa michuano ya Afrika.

Wapuuzi sana nyie
 
mikia hamna mpya zaidi ya maneno yenu yenye chuki na ushamba wa kiwango cha icc
 
😏😏😏😏😐😐😏😐😐
 
Umeandika vibaya vibaya hata haivutii kusoma.

Kila la Kheri kwa chama langu 😍
#SSC nguvu moja πŸ”₯

Nilikuwa najiuliza inakuwaje washabiki wa Yanga wanambeba Eng Hersi kwenye kiti kama vile enzi za utumwa, washabiki wa Yanga wanaenda Airport kuipokea Plateau!

Huo mwandiko umenipa picha ya watu hao ni wa namna gani, sitashangaa tena.
 
hahahahh yani leo kupitia komenti yako nimeprove 97.8% ya mashabiki wa mikia ni mazwazwa yani akili ni hamna!
Yani std 7 anajigamba na kung'ong'a point za msomi nguli kama mimi??πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Daah mikia bhana!!πŸ’©
 
Eti msomi nguli!

Jifunze kuandika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…