Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

mikia wenzio wamekutuma eti

Jifunze kuandika bro, inawezekana ulichoandika ni kitu interesting, ila kwa sababu ya mwandiko watu wakashindwa kukuelewa.

Ni kwa manufaa zaidi ya haya ya kiushabiki.
 
hahahahh yani leo kupitia komenti yako nimeprove 97.8% ya mashabiki wa mikia ni mazwazwa yani akili ni hamna!
Yani std 7 anajigamba na kung'ong'a point za msomi nguli kama mimi??πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Daah mikia bhana!!πŸ’©
Ungekuwa msomi nguli ingejionyesha kwenye point zako hauna usomi wowote wewe ni ngumbalu
 
Mikia jana mmeona jinsi mpira unavyopigwa?? Leo tena mnapigwaaa
 
Once Uto always Uto
 
hahahahh yani leo kupitia komenti yako nimeprove 97.8% ya mashabiki wa mikia ni mazwazwa yani akili ni hamna!
Yani std 7 anajigamba na kung'ong'a point za msomi nguli kama mimi??[emoji2][emoji2]
Daah mikia bhana!![emoji90]
Kama wewe ni msomi nguli basi sisi kama taifa tuna haja ya kujitafakari kuhusu mustakabali wa elimu yetu.
 
Kama wewe ni msomi nguli basi sisi kama taifa tuna haja ya kujitafakari kuhusu mustakabali wa elimu yetu.
mikia kama mikia kaziniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

La saba b wewe eπŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…