Ushauri wa bure kwa mtoto wa Bakhresa ambaye ni Mjumbe wa bodi ya TANESCO nchini kwa sasa

Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.

Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili, nakumbuka mpaka mlipewa eneo la kulima
Wakati Magufuli anamteua mtoto wa dada yake kuwa Katibu Mkuu wa wizara ya fedha uliwahi kumshauri chochote ?
 
Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.

Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili, nakumbuka mpaka mlipewa eneo la kulima miwa ili mzalishe sukari kukidhi mapungufu ya sukari nchini, hiyo ni heshima unapaswa kuilinda ambayo mlipewa na kiongozi mkuu wa nchi.

January Makamba ni rafiki yako na urafiki wenu imefanya akuingize kwenye bodi ya Tanesco nchini.

Fahamu katika bodi hiyo umechanganywa na watu wasio waaminifu kwa taifa hili, wana tuhuma za wazi kabisa za ubadhirifu wa mali za umma, akiwemo Waziri wako wa nishati.

Kukubali kufanya kazi na hili kundi lenye tuhuma nzito inaonyesha na wewe kwa namna flani ni mtuhumiwa tarajiwa pindi mambo yatakapoharibika zaidi.

Watanzania wa leo sio wa Jana, wameamka, hivyo isijeonekana pesa inakwapuliwa nishati (Tanesco)kisha inaingizwa kwenye biashara yenu ya Bakheresa company kufanya mzunguko ili kujinufaisha.

Hali kadhalika mikataba ovu itakayoingiwa na wizara kwa lengo la kuhujumu taifa utahusika moja kwa moja bila kupepesa macho kama mjumbe wa bodi.

Hiki ninachokuambia ndio kitatokea baadae nchi hii ina mengi , mtaingia kwenye tuhuma za kutumika na wanasiasa,na hapo baadae huwezi jua mtawala atakua nani na atachukua hatua gani kuhusiana na ukwasi wenu.

Kaa tafakari na fikiria nje ya box, unaziona hizi kelele za wananchi ya kinachoendelea wizara ya nishati, ni dalili isio njema kwako.

Bakheresa asije akawa Seti Sing wa baadae au Rugemalila. JIUZURU UJUMBE WA BODI
Mwizi wa hadharani kapewa wizara kuiongoza! Fisi kakabidhiwa bucha!!!
 
Nina uhakika huyu mtoto wa Bakhresa akiona kuna mambo ya hovyo yanaendelea ataachia ngazi. Sidhani kama atakubali kuchafua jina la makampuni na jina la familia yao ili kuwafurahisha hao unaowaita marafiki zake.
Ushauri nimempa tena wa bure aamue kusuka au kunyoa
 
Yumo Gachuma na yule mama mwanasheria wa kampuni ya REX ambayo ndio ilienda mahakamani ili kampuni ya kitapeli ilipwe pesa zake,ile kampuni ya burushi.
Ukifikiria sana unaona ni kweli watu huamua kujilipua tu,wezi wale wale ndio wanashika mamlaka,wasomi kibao wanahangaika tu mtaani
 
Na itaendelea hivyo sababu hao wasomi waliopo mtaani, wasioridhika na mfumo wa wezi si watendaji ni wavivu na washamba. Wanataka mfumo ule ule uliotengenezwa na wanaowaita wezi uwatambue na kuwapa nafasi. UPUUZI.
 
walidhani madudu yao yatafichika tena kama kipindi cha baba yao( 2015 kurudi nyuma) walivyotupiga kweli kweli na tukachakaa vilivyo kwa ulafi wao

Magu alitufumbua watanzania namna nchi ilivyoliwa walivyo hawana akili wanarudi tena na style zile zile za zamani wakidhani tumesahau
Walalamishi hawana tofauti na kuku. lawama nyingiii hakuna hatua inayochukuliwa Kwakwaa kwaaaaa kwaaaaa kwoooo kwooooo

Kuku bandani hata ukichinja mmoja mbele yao kesho ukiwaitia mchele wanakuja mbio wakilaumu kokooo kooooo kwaaaa kwaaaaa.

Kwani hao wezi waliingiaje kwenye system? Wasomi mlikuwa wapi? Hao wezi wanaendeleaje kuwa kwenye system? Waadilifu wa nchi mko wapi?

Oooh, mpo banda la jamii forum mkilalamika kwakwaaaa kwoooo kwaaa . KUKU.
 
Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.

Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili, nakumbuka mpaka mlipewa eneo la kulima miwa ili mzalishe sukari kukidhi mapungufu ya sukari nchini, hiyo ni heshima unapaswa kuilinda ambayo mlipewa na kiongozi mkuu wa nchi.

January Makamba ni rafiki yako na urafiki wenu imefanya akuingize kwenye bodi ya Tanesco nchini.

Fahamu katika bodi hiyo umechanganywa na watu wasio waaminifu kwa taifa hili, wana tuhuma za wazi kabisa za ubadhirifu wa mali za umma, akiwemo Waziri wako wa nishati.

Kukubali kufanya kazi na hili kundi lenye tuhuma nzito inaonyesha na wewe kwa namna flani ni mtuhumiwa tarajiwa pindi mambo yatakapoharibika zaidi.

Watanzania wa leo sio wa Jana, wameamka, hivyo isijeonekana pesa inakwapuliwa nishati (Tanesco)kisha inaingizwa kwenye biashara yenu ya Bakheresa company kufanya mzunguko ili kujinufaisha.

Hali kadhalika mikataba ovu itakayoingiwa na wizara kwa lengo la kuhujumu taifa utahusika moja kwa moja bila kupepesa macho kama mjumbe wa bodi.

Hiki ninachokuambia ndio kitatokea baadae nchi hii ina mengi , mtaingia kwenye tuhuma za kutumika na wanasiasa,na hapo baadae huwezi jua mtawala atakua nani na atachukua hatua gani kuhusiana na ukwasi wenu.

Kaa tafakari na fikiria nje ya box, unaziona hizi kelele za wananchi ya kinachoendelea wizara ya nishati, ni dalili isio njema kwako.

Bakheresa asije akawa Seti Sing wa baadae au Rugemalila. JIUZURU UJUMBE WA BODI
Kumpa mtu ushauri ni kumdharau mtu huyo; sikujua unamdharau huyu jamaa kiasi hiki
 
Nia yako ni ovu. Kwanini unataja kampuni ya bharkesa badala ya kutaja jina mtu ambaye yupo kwenye bodi ya tanesco?. Au kampuni zima ya Azam ipo kwenye bodi?. Acha unafiki muusishe aliye kwenye bodi tu si uhusishe kampuni za azamu.
 
He is clean na ndio maana pamojat na Samia kufanya mabadiliko ya uongozi wa makatibu wakuu bado anapeta ,

Lakini bodi ya Tanesco ni kichefuchefu,kasoro mtoto wa Barekhesa
Kama Samia ndiyo kipimo cha uadilifu hawa wengine mnaowalalamikia mbona wameteuliwa kwenye utawala upi?
 
Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.

Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili, nakumbuka mpaka mlipewa eneo la kulima miwa ili mzalishe sukari kukidhi mapungufu ya sukari nchini, hiyo ni heshima unapaswa kuilinda ambayo mlipewa na kiongozi mkuu wa nchi.

January Makamba ni rafiki yako na urafiki wenu imefanya akuingize kwenye bodi ya Tanesco nchini.

Fahamu katika bodi hiyo umechanganywa na watu wasio waaminifu kwa taifa hili, wana tuhuma za wazi kabisa za ubadhirifu wa mali za umma, akiwemo Waziri wako wa nishati.

Kukubali kufanya kazi na hili kundi lenye tuhuma nzito inaonyesha na wewe kwa namna flani ni mtuhumiwa tarajiwa pindi mambo yatakapoharibika zaidi.

Watanzania wa leo sio wa Jana, wameamka, hivyo isijeonekana pesa inakwapuliwa nishati (Tanesco)kisha inaingizwa kwenye biashara yenu ya Bakheresa company kufanya mzunguko ili kujinufaisha.

Hali kadhalika mikataba ovu itakayoingiwa na wizara kwa lengo la kuhujumu taifa utahusika moja kwa moja bila kupepesa macho kama mjumbe wa bodi.

Hiki ninachokuambia ndio kitatokea baadae nchi hii ina mengi , mtaingia kwenye tuhuma za kutumika na wanasiasa,na hapo baadae huwezi jua mtawala atakua nani na atachukua hatua gani kuhusiana na ukwasi wenu.

Kaa tafakari na fikiria nje ya box, unaziona hizi kelele za wananchi ya kinachoendelea wizara ya nishati, ni dalili isio njema kwako.

Bakheresa asije akawa Seti Sing wa baadae au Rugemalila. JIUZURU UJUMBE WA BODI
Hebu kwanza toa kila mmoja na tuhuma zake na ushahidi wake kama huna ushahidi fyata domo lako

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sawa atajiuzulu,halafu hiyo nafasi apewe joseph magufuli au mtoto wa askofu pengo
 
Back
Top Bottom