Ushauri wa bure kwa mtoto wa Bakhresa ambaye ni Mjumbe wa bodi ya TANESCO nchini kwa sasa

Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.

Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili, nakumbuka mpaka mlipewa eneo la kulima miwa ili mzalishe sukari kukidhi mapungufu ya sukari nchini, hiyo ni heshima unapaswa kuilinda ambayo mlipewa na kiongozi mkuu wa nchi.

January Makamba ni rafiki yako na urafiki wenu imefanya akuingize kwenye bodi ya Tanesco nchini.

Fahamu katika bodi hiyo umechanganywa na watu wasio waaminifu kwa taifa hili, wana tuhuma za wazi kabisa za ubadhirifu wa mali za umma, akiwemo Waziri wako wa nishati.

Kukubali kufanya kazi na hili kundi lenye tuhuma nzito inaonyesha na wewe kwa namna flani ni mtuhumiwa tarajiwa pindi mambo yatakapoharibika zaidi.

Watanzania wa leo sio wa Jana, wameamka, hivyo isijeonekana pesa inakwapuliwa nishati (Tanesco)kisha inaingizwa kwenye biashara yenu ya Bakheresa company kufanya mzunguko ili kujinufaisha.

Hali kadhalika mikataba ovu itakayoingiwa na wizara kwa lengo la kuhujumu taifa utahusika moja kwa moja bila kupepesa macho kama mjumbe wa bodi.

Hiki ninachokuambia ndio kitatokea baadae nchi hii ina mengi , mtaingia kwenye tuhuma za kutumika na wanasiasa,na hapo baadae huwezi jua mtawala atakua nani na atachukua hatua gani kuhusiana na ukwasi wenu.

Kaa tafakari na fikiria nje ya box, unaziona hizi kelele za wananchi ya kinachoendelea wizara ya nishati, ni dalili isio njema kwako.

Bakheresa asije akawa Seti Sing wa baadae au Rugemalila. JIUZURU UJUMBE WA BODI
Ushauri bora kabisa. Nakubaliana na mtoa mada by 💯%. Mtoto wa Bakhressa kukubali kuingia Bodi TANESCO ni sawa na Bi harusi kuingia choo cha stendi
 
Ushauri mzuri tu.

January analeta ujinga wa miaka ya nyuma akifikiri 2021 ni sawa na 2010,Mungu atawaumbua tu hivi punde.

You can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time..
 
Mtu kama Nehemia Mchechu alitumbuliwa kwa wizi pale NHC, eti nae ni mjumbe wa board ya TANESCO!
 
Yumo Gachuma na yule mama mwanasheria wa kampuni ya REX ambayo ndio ilienda mahakamani ili kampuni ya kitapeli ilipwe pesa zake,ile kampuni ya burushi.
Du!

Yaani mapanya-buku yamejikusanya kutafuna nchi baada ya paka kufa
 
Ushauri mzuri tu.

January analeta ujinga wa miaka ya nyuma akifikiri 2021 ni sawa na 2010,Mungu atawaumbua tu hivi punde.

You can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time..
Mnapiga mayowe tu , mwenye ushihidi aweke hapa syndicate au mtandao wa makamba jinsi unavyo rotate kupiga pesa za umma ndani ya tanesco. Wizara ya nishati haiendeshwi kwa remote control coz ni taasisi kubwa yenye watalamu wababozi wa masuala ya nishati. Ubadhilifu wa mali za umma ni jinai mleta uzi ingekuwa vizuri angalau akaweka vielelezo pengine mamlaka zingine za ulinzi zichukue hatua. Tuache majungu yasiyo na mtaji yanajenga chuki na uswahili usio na maana coz vinaongelewa vitu juu juu tu
 
Wakati Magufuli anamteua mtoto wa dada yake kuwa Katibu Mkuu wa wizara ya fedha uliwahi kumshauri chochote ?
Scenario ni tofauti kabisa mkuu,soma mada uelewe!

Dotto hakuwa na kitu cha kupoteza,ila mtoto wa Bakhresa anavyo cha kupoteza kwa kujichanganya na wezi.
 
Mnapiga mayowe tu , mwenye ushihidi aweke hapa syndicate au mtandao wa makamba jinsi unavyo rotate kupiga pesa za umma ndani ya tanesco. Wizara ya nishati haiendeshwi kwa remote control coz ni taasisi kubwa yenye watalamu wababozi wa masuala ya nishati. Ubadhilifu wa mali za umma ni jinai mleta uzi ingekuwa vizuri angalau akaweka vielelezo pengine mamlaka zingine za ulinzi zichukue hatua. Tuache majungu yasiyo na mtaji yanajenga chuki na uswahili usio na maana coz vinaongelewa vitu juu juu tu
Kwa muda mfupi tu tayari wameilazimisha TANESCO kukodi software ya India kwa USD milioni 30!

Bila kelele mgao huu wa kutengeneza ungepelekea deal la kukodisha mitambo,mwaka 2010 sio 2021 watz siku hizi wana uelewa kidogo.

January na genge lake ni wezi na tunawatazama kwa makini,with time everything will be revealed...Mungu fundi mkuu!
 
Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.

Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili, nakumbuka mpaka mlipewa eneo la kulima miwa ili mzalishe sukari kukidhi mapungufu ya sukari nchini, hiyo ni heshima unapaswa kuilinda ambayo mlipewa na kiongozi mkuu wa nchi.

January Makamba ni rafiki yako na urafiki wenu imefanya akuingize kwenye bodi ya Tanesco nchini.

Fahamu katika bodi hiyo umechanganywa na watu wasio waaminifu kwa taifa hili, wana tuhuma za wazi kabisa za ubadhirifu wa mali za umma, akiwemo Waziri wako wa nishati.

Kukubali kufanya kazi na hili kundi lenye tuhuma nzito inaonyesha na wewe kwa namna flani ni mtuhumiwa tarajiwa pindi mambo yatakapoharibika zaidi.

Watanzania wa leo sio wa Jana, wameamka, hivyo isijeonekana pesa inakwapuliwa nishati (Tanesco)kisha inaingizwa kwenye biashara yenu ya Bakheresa company kufanya mzunguko ili kujinufaisha.

Hali kadhalika mikataba ovu itakayoingiwa na wizara kwa lengo la kuhujumu taifa utahusika moja kwa moja bila kupepesa macho kama mjumbe wa bodi.

Hiki ninachokuambia ndio kitatokea baadae nchi hii ina mengi , mtaingia kwenye tuhuma za kutumika na wanasiasa,na hapo baadae huwezi jua mtawala atakua nani na atachukua hatua gani kuhusiana na ukwasi wenu.

Kaa tafakari na fikiria nje ya box, unaziona hizi kelele za wananchi ya kinachoendelea wizara ya nishati, ni dalili isio njema kwako.

Bakheresa asije akawa Seti Sing wa baadae au Rugemalila. JIUZURU UJUMBE WA BODI
Ina maana J. MAKAMBA ni kagisadi kadogo, katileta Ireland tunakatoa auti fasta
 
Scenario ni tofauti kabisa mkuu,soma mada uelewe!

Dotto hakuwa na kitu cha kupoteza,ila mtoto wa Bakhresa anavyo cha kupoteza kwa kujichanganya na wezi.
Mimi ntaendelea kuwaambia ukweli tu mnaotuhumu wenzenu ni wezi mafisadi bila kuleta ushihidi unaothibisha wizi wao. Vinginevyo unabaki kama uzushi na majungu ya masikini anapojaribu kutafuta furaha
 
Ushahidi kwani hapa mahakamani?

Logical reasoning ndio muongozo kwa sasa,kwani hujui wajumbe km Mchechu na wenzake wote waliwahi kutumbuliwa kwa kashfa za kifisadi? Asilimia 90 ya wajumbe wote ni wezi...check records
 
Kwa muda mfupi tu tayari wameilazimisha TANESCO kukodi software ya India kwa USD milioni 30!

Bila kelele mgao huu wa kutengeneza ungepelekea deal la kukodisha mitambo,mwaka 2010 sio 2021 watz siku hizi wana uelewa kidogo.

January na genge lake ni wezi na tunawatazama kwa makini,with time everything will be revealed...Mungu fundi mkuu!
Bada unafanya speculation tu ndugu yangu siwezi kukulaumu coz nchini kwetu hatuna mazingira ya uwazi ambao unatusaidia kujua ukweli wa mambo muhimu yanayogusa maisha yetu. Vyombo vya habari haviko huru vina survive kwa kuilambalamba serikalii. Lakini wewe kama kijana mwenye uchungu na nchi yako unaposikia kitu flani fanya analysis of facts kisha njoo na mapendekezo nini kifanyike ili kulikomboa taifa letu, kulalamika na kutuhumiana sio poa na wala sio njia ya kulata suluhu.

Kaka Tanzania sio ya makamba wala nani ni yakwetu wote, majukwaa kama haya kila mtu yupo tunapolalamika na kujifariji wanatudharau tukionesha civil strategies wetu wataanza kutuogopa
 
Walalamishi hawana tofauti na kuku. lawama nyingiii hakuna hatua inayochukuliwa Kwakwaa kwaaaaa kwaaaaa kwoooo kwooooo

Kuku bandani hata ukichinja mmoja mbele yao kesho ukiwaitia mchele wanakuja mbio wakilaumu kokooo kooooo kwaaaa kwaaaaa.

Kwani hao wezi waliingiaje kwenye system? Wasomi mlikuwa wapi? Hao wezi wanaendeleaje kuwa kwenye system? Waadilifu wa nchi mko wapi?

Oooh, mpo banda la jamii forum mkilalamika kwakwaaaa kwoooo kwaaa . KUKU.
JamiiForums843185554.gif

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ushahidi kwani hapa mahakamani?

Logical reasoning ndio muongozo kwa sasa,kwani hujui wajumbe km Mchechu na wenzake wote waliwahi kutumbuliwa kwa kashfa za kifisadi? Asilimia 90 ya wajumbe wote ni wezi...check records
Samahani kama ntakuwa nimekukosea ila sijaona msingi wa logic yako coz kuliundwa mahakama ya mafisadi ndani ya mahakama kuu sijui kati ya hau wajumbe ni yupi alifikishwa mahakamani. Nimeona mchanga wako uko naive sio logical coz hakuna mahara umeonesha mpango mkakati hata wakilaia ambao unaweza kutoa shinikizo la kuwajiba kwa hawa mafisadi.
 
Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.

Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili, nakumbuka mpaka mlipewa eneo la kulima miwa ili mzalishe sukari kukidhi mapungufu ya sukari nchini, hiyo ni heshima unapaswa kuilinda ambayo mlipewa na kiongozi mkuu wa nchi.

January Makamba ni rafiki yako na urafiki wenu imefanya akuingize kwenye bodi ya Tanesco nchini.

Fahamu katika bodi hiyo umechanganywa na watu wasio waaminifu kwa taifa hili, wana tuhuma za wazi kabisa za ubadhirifu wa mali za umma, akiwemo Waziri wako wa nishati.

Kukubali kufanya kazi na hili kundi lenye tuhuma nzito inaonyesha na wewe kwa namna flani ni mtuhumiwa tarajiwa pindi mambo yatakapoharibika zaidi.

Watanzania wa leo sio wa Jana, wameamka, hivyo isijeonekana pesa inakwapuliwa nishati (Tanesco)kisha inaingizwa kwenye biashara yenu ya Bakheresa company kufanya mzunguko ili kujinufaisha.

Hali kadhalika mikataba ovu itakayoingiwa na wizara kwa lengo la kuhujumu taifa utahusika moja kwa moja bila kupepesa macho kama mjumbe wa bodi.

Hiki ninachokuambia ndio kitatokea baadae nchi hii ina mengi , mtaingia kwenye tuhuma za kutumika na wanasiasa,na hapo baadae huwezi jua mtawala atakua nani na atachukua hatua gani kuhusiana na ukwasi wenu.

Kaa tafakari na fikiria nje ya box, unaziona hizi kelele za wananchi ya kinachoendelea wizara ya nishati, ni dalili isio njema kwako.

Bakheresa asije akawa Seti Sing wa baadae au Rugemalila. JIUZURU UJUMBE WA BODI
Kwa yanayoendelea Tanzania kwa sasa ni aibu.January u-Waziri through lobbying,sasa na wewe unateua watu kwa kujuana.Naomba mkumbuke kwamba hili taifa ni letu sote,na katika wakati fulani muafaka,mtatoa hesabu ya matendo yenu.
 
Bakhresa mdogo kwani hajuhi baba yake "alifidiwa" shirika nyeti la serikali lililokuwa linafahamika kama National Milling eti serikali iliteteketeza mchele wake mbovu aliokuwa ameuingiza nchini?
 
Back
Top Bottom