Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu; ndio maana binafsi huwa naheshimu sana timing ya Mungu katika kukupa vitu katika MaishaMi najiambiaga kila mafanikio yanaendana na umri,ukiyapata umri usiostahili lazma yakuyumbishe.
Mkuu iko wapi na mimi nikaioneHivi hawa watu wasiojulikana aka watekaji kwanini wasiziondoe taka ka hizi mjini...
Nimeiona clip yake alipovamia ofisi ya tigo akitukana wale staff...
Mpuuzi sana kijana huyu. Hivi hajui kama wanaweza mfunga kwa matusi yale...
Mpumbav sana.
[emoji38][emoji38][emoji38]Dogo ana act movie ya fast and furious bongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi subaru zinatawamaliza ..
Kuna dogo mmoja wa TIA amekufa juzi na subaru kiutani utani tu.
Umeamua umalize thread kwa style hii ya kishambaRAIS MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA RAIS KIKWETE ,JE NINI TAFSIRI YAKE
Itakumbukwa kuwa barabara hii ilikalimika tangu March 2014 lakini leo imezinduliwa hakika nimeduwaa, Bado natafakari tukio la wasaidizi Wa Rais kuendelea kumpotosha Rais wetu kwa mara nyingine tena,waache huu mchezo mara Moja
Sote ni mashahidi barabara ya Isaka-Ushirombo ilikamilika tangu awamu ya Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ambaye barabara hizi kwa pamoja ilizizindua tarehe Aug 24/2007 wakati anazindua barabara zenye urefu Wa km 169.7 ambazo zilitumia Tzs bill 94.8 pekee tofauti na hesabu inayotolewa leo ya km 132 kwa Tzs bill 163 hesabu ambayo inaacha maswali mengi kuliko majibu,
Je? Kitendo cha Rais Magufuli kuzindua miradi ya mtangulizi wake Mh Jakaya Kikwete mzee Msoga kiboko ya Demokrasia kinatupa mtazamo gani Watanzania? (Sijambo baya kwa kuwa wote ni ccm lakin)
Je nikushindwa kwake kuwa na miradi mipya? Je nikufanyia siasa kazi za mtangulizi wake? Je ni kuwahadaa watanzania kwamba awamu ya Tano inafanya makubwa zaidi ya Serikali zilizopita?
Tutafakari sote..
Rais Jakaya Kikwete Wakati anazindua miradi hiyo alisema maneno yafuatayo naomba kumnukuu
"Barabara ya Ilula -Tinde mkoani Shinyanga na Nzega mkoani Tabora kupitia Tinde hadi Isaka mkoani Shinyanga yenye kilomita 169.7 imegharimu kiasi cha sh. bilioni 94.8 zilizotolewa na wafadhili.
Rais Kikwete alisema serikali imeshaanza mawasiliano na Mfuko wa Abu Dhabi kutoka Falme za Kiarabu kwa ajili ya kupata fedha za ujenzi kwa kiwango cha lami kwa barabara ya Manyoni, Itigi, Tabora, Urambo, Kaliua hadi Kigoma,
aliendelea
kusema "Barabara nyingine ambazo ziko kwenye kiwango cha lami ni Dodoma-Singida (kilomita 245), Singida- Shelui (kilomita 110), Shelui- Nzega (kilomita 108), Nzega- Tinde/Isaka- Shinyanga- Ilula (kilimota 169), Ilula- Mwanza (kilomita 101), Isaka-Kahama- Rusumo/Kobero (kilomita 400) na Minjingu-Babati hadi Singida, na pia barabara ya Namanga hadi Arusha."
Rais Jakaya aliendelea kusema "Hata barabara ya Lindi hadi Mtwara ipo katika hatua nzuri na kwamba ile ahadi iliyotolewa na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, John Magufuli ya kusafiri kwa teksi kutoka Mtwara hadi Mwanza iko palepale.
Magufuli sasa ni Waziri wa Ardhi(Wakati huo ambae Leo ni Rais wetu)," Haya ni maneno ya Jk ya tarehe 24/08/2007 saa 8;21 mchana.
Wakati huo huo katika mpango Wa bajeti ya Ujenzi,uchukuzi & Mawasiliano ya mwaka 2016/17 Waziri Wa wizara mpya ya Ujenzi,Uchukuzi & Mawasiliano iliyoanzishwa Nov mwaka 2015 Mh Prof Makame Mbarawa akiwa bungeni alisema maneno yafuatayo naomba kumnukuu
"Mheshimiwa Spika, kuhusu barabara ya
Isaka – Lusahunga – Rusumo (km 392), hadi
Aprili, 2016 hatua ya utekelezaji iliyofikiwa ni
kama ifuatavyo:
(i) Sehemu ya Isaka – Lusahunga (km 242)
Ukarabati wa sehemu ya Isaka – Ushirombo (km
132) ulikamilika Machi, 2014 na kwa sehemu ya
Ushirombo – Lusahunga (km 110) kilometa 54
zimekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami"
Kilichofanyika leo ni mkutano Wa hadhara Wa kisiasa tu ambao wengine hawaruhusiwi huku tukishuhudia Mh Diwani Wa Bugalama (CHADEMA ) akihamia CCM na kututia hasara ya Tzs mil 500,000,000 gharama za kumpata diwani huyu mwaka 2015 na mwaka huu 2018 ambae naamini atapitishwa yeye kugombea tena,
Rais wangu mambo haya hayana afya kwa utangamano Wa Taifa letu lenye mfumo Wa kidemokrasia kwa zaidi ya miaka 26 sasa,
wanaotaka kuja CCM ni wengi na wanatutia hasara nawewe ukaridhia bila kujiuliza kwanini hawakufika pale
kwani sikuona tatizo la nafasi wala uzio mbona hawakuja, hapa wanakuchezea tu
"Tanzania ndio nchi pekee tuliyonayo lazima tuilinde kwa nguvu zote"
"Endeleeni kuniombea"
Alloyce Nyanda.
Mtozi.
Raia Wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Hivi huyu Dogo ndio yule wa ITV tangu kipindi kile amaPole yake sana
Ila jamaa simkubali wala nini,ana sifa sana,hata anavyotangaza kipindi chake sifa nyingi na dharau flani hasa akikutana na msanii chipukizi tena wa mkoani hahaha atapigwa madongo na vimaswali vya kejeli mpaka aone moto
Bila shaka atakua msukumua huyuHawa watu wa Kolomije wana tabu sana wakifika Town.
Imeshawekwa hapo ktk main thread...Mkuu iko wapi na mimi nikaione
Acha roho mbaya hahaha***** Sasa tunapishana
Kwenye daladala wote
Karbu sana
Hahaha mikoani nanyi mnataka kuonekanakm anaweza fujo aje raod za njee iringa road. tuoneshane uwezo unazunguka hpo hpo town afu anajiita yeye mkal wa race,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha roho mbaya hahaha