Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
kunywa bia mkuu gari yenyewe base model eti nae driver .... wazungu wanasema fvckin ricerLegacy yenyewe ipo riced sana.
Hawa vijana wanao endesha vi artezza na Subaru wana vurugu flani hivi zisizo na maana.
Ile sauti inayotoka kwenye muffler inawazuzua kweli,unakuta gari mlio mkubwa ipo hapo hapo.
Wakija kumiliki gari zenye engine za maana tutawazika mapema.
Badilikeni matozi wote..
Artezza Subaru ni 15M, kiwanja upana futi tatu, urefu futi saba, kina futi sita ni bureeee!