Ushauri wa bure kwa TBWAY 360 wa EATV

Ushauri wa bure kwa TBWAY 360 wa EATV

[emoji3][emoji3] tbway ndio zake..kuna washkaji zangu nlimaliza nao chuo nae ni washkaji zake sana tu..wanajiita TeamTezza..wanafujo vibaya mno..na mmoja kati yao alipataga bonge la ajari kwa sifa hzohzo tulijua atakufa ..ila bado wanaendelea na michezo yao
Waache shimo la fut 6
N bureee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi hawa watu wasiojulikana aka watekaji kwanini wasiziondoe taka ka hizi mjini...

Nimeiona clip yake alipovamia ofisi ya tigo akitukana wale staff...

Mpuuzi sana kijana huyu. Hivi hajui kama wanaweza mfunga kwa matusi yale...

Mpumbav sana.
Kwel hii ni takataka ya mungu kbs
 
naona humu mmejazana haters wa tbway, guys no one is perfect, kikubwa ni kumshauri tu next time awe makini zaidi, wengi humu mnatoa chuki zenu dhidi ya tbway cjui kawakosea nini
 
hata mm nashangaa humu wengi ukisoma comments zao zinaonesha wanamchukia tbway, sasa cjui tbway aliwakosea nn, no one is perfect, ajali ya gari yaweza kumkuta mtu yoyote, kikubwa ni kumshaur jamaa awe careful next time Dreka
Nadhan ni ugonjwa unaowasumbua wengi humu kuchukia watu waliowazidi either kiuchumi au kijamii.
 
Kumiliki 'mkebe' at his age: Nampa pongezi, coz wengine kina sie hatujamiliki hata pikipiki.

Rough driving: Nampa 'dole la kati' coz ni ulimbukeni na anarisk uhai wake. Gari ni walking grave!

Ipo siku wese kwenye tank litageuka kuwa mbege... waokoaji watamkuta 'ameikalia' gear lever.

-Kaveli-
 
Nadhan ni ugonjwa unaowasumbua wengi humu kuchukia watu waliowazidi either kiuchumi au kijamii.
Sasa huyo tbway ana uchumi gani !!!

Yani mtu kuwa na Subaru legacy ya mwaka 2000 ndio tumuonee donge ??? Hivi watanznia akili hizi tunazitoa wapi ???? ''' Nikikwambia wewe unitajie kitu kipi alichonacho huyo tbway ambacho watu wanamuonea donge. Huyo dogo anaishi sinza meeda tofauti na gari hana asset yoyote ya kuonewa wivu na mtanzania yoyote.

Comments zooooote unazosoma hapa ni allerts anapewa ili aache tabia yake ya kuendesha gari hovyo kinyume na hapo atakuwa anaweka maisha yake rehani, huo ndio ukweli mchungu. Vijana wenzetu wanaomiliki gari zenye vinasaba vya sport cars kama subaru na alteza wako rough sana barabarani
 
Am out of words
 
hata mm nashangaa humu wengi ukisoma comments zao zinaonesha wanamchukia tbway, sasa cjui tbway aliwakosea nn, no one is perfect, ajali ya gari yaweza kumkuta mtu yoyote, kikubwa ni kumshaur jamaa awe careful next time Dreka
Hakuna anayemchukia mkuu,watu wanampa tahadhari tu,vurugu anazofanya barabarani si kwamba zina hatarisha maisha yake tu bali hata na watumiaji wengine wa barabara,sasa hatuwezi kuona USHAMBA wake wa Kuendesha gari kwa fujo ije kuathiri watu wengine,ingekuwa anafanya hizo vurugu kwenye barabara za porini huko yupo peke yake haina tatizo.

Huyo Dogo ni mtu wa Fujo sana zisizo na tija yeyote,gari inatakiwa uliheshimu maana ndani ya dakika 0 tunakusahau,Kaguswa kidogo na Suzuki Swift gari imepinduka imebimbilika mara mbili,ebu tazama gari lilivyoaribika unaweza kusema kweli alikuwa mwendo mdogo? Sehemu kama Millenium Tower Unatembea Speed kali ya nini wakati mbele tu kama mita 20 kuna Matuta Kibao?

Huyo Dogo aache UKOLOMIJE(USHAMBA) wa MAGARI,ajifunze kwa hii ajali aliyopata,akiendekeza UNDEZI ipo siku tutasikia Mengine.
 
hata mm nashangaa humu wengi ukisoma comments zao zinaonesha wanamchukia tbway, sasa cjui tbway aliwakosea nn, no one is perfect, ajali ya gari yaweza kumkuta mtu yoyote, kikubwa ni kumshaur jamaa awe careful next time Dreka
360 my ass[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom