Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
[emoji1] [emoji1]I wishi i could hao staffs aliokua anawamwagia matusi nadhani ukiachana na ajali aliyoipata kuna jambo lingine lingempata hapo angesahau hata hyo ajali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]I wishi i could hao staffs aliokua anawamwagia matusi nadhani ukiachana na ajali aliyoipata kuna jambo lingine lingempata hapo angesahau hata hyo ajali.
hahahhaha mimi kama katibu wa roho mbaya nakukaribisha kwenye kamati yetu ya roho mbaya karibu saana mwanachama..I wishi i could hao staffs aliokua anawamwagia matusi nadhani ukiachana na ajali aliyoipata kuna jambo lingine lingempata hapo angesahau hata hyo ajali.
Mkuu Word niweke mstari wa mbele kabisa kwenye mapambano makali hahaaahahahhaha mimi kama katibu wa roho mbaya nakukaribisha kwenye kamati yetu ya roho mbaya karibu saana mwanachama..
[emoji1] [emoji1]Akomee shenzi ..kama mara mbili hivi nilimkosa kosa kule mikocheni Nikamwambia ntakupata tu siku moja akajibu Ma A$$ Ila shughuli alielewa maana nilikua na zile cruiser za TASAF
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]kwenye profile lake imeandikwa "anapenda kuendesha gari kwa mwendo kasi" na jina lake 360 inatokana na "kuzungusha gari mduara" [emoji4][emoji38][emoji4]
Bima hawalipi ajali ya kujitakia. Sio rahisi kihivyoKamiliki gari juzjuz alafu analeta mbwembwe sasa kataga na gari hiyo imekwisha labda kma anabima kubwa atalipwa..atwn vijana wengine waliatamia kwa speed za hizo gari ukifanyia maping ndio tabu
Ukisoma vizuri kila post, utaona dogo kakosea wapi. Just read. Watu wanatapika nyongo tu leo. JF is never boring [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji485] [emoji485] [emoji490]naona humu mmejazana haters wa tbway, guys no one is perfect, kikubwa ni kumshauri tu next time awe makini zaidi, wengi humu mnatoa chuki zenu dhidi ya tbway cjui kawakosea nini
Hawa jamaa sijui wanatune wapi hizi wanaita NDINGA ni aibu Kwakweli.kunywa bia mkuu gari yenyewe base model eti nae driver .... wazungu wanasema fvckin ricer
Niliwahi kumuona siku moja pale MC. Jamaa ki msingi ni mrefu aiseèeeFuti 6.5, uyu jamaa anakaribiana na Hashim Thabit au wameweka huo urefu tu?
Mkuu mfuko wko tu bima wanafuata ripoti ya police pf 90,ukimpa mkaguzi mshiko ripoti inawekwa sawa akija mtu wa bima anakuta iko sawaBima hawalipi ajali ya kujitakia. Sio rahisi kihivyo
Umeongea point sanà,,hicho ndo nachoamini mimi kwenye maisha yangu,,kushobokea demu ni kuonesha ulimbukeni,sio kila demu kumrukia rukia tuYeye alizidi unajuaa kujitoaa fahamu mbele ya msichana saa nyingine inakushushiaa hadhi kutokana na status yake angetuliaa tu sisi ndo tungeshoboka labda
We Dada utakuwa mzuri halafu una zawadi ya kudumuYeye alizidi unajuaa kujitoaa fahamu mbele ya msichana saa nyingine inakushushiaa hadhi kutokana na status yake angetuliaa tu sisi ndo tungeshoboka labda
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa status gani alokuwa nayo mpaka ashobokewe jamanikabisaa.. kwa status yake angesubiri tuu kushobokewa
Mambo ya drifting [emoji38] [emoji38]kwenye profile lake imeandikwa "anapenda kuendesha gari kwa mwendo kasi" na jina lake 360 inatokana na "kuzungusha gari mduara" [emoji4][emoji38][emoji4]