Ushauri wa bure kwa TBWAY 360 wa EATV

Ushauri wa bure kwa TBWAY 360 wa EATV

Dogo anajua kuendesha gari ila majirani mumshauri aache sifa hasije kuacha mavi barabarani pia dogo ana baati yaani matusi jamaa wamemkaushia jamaa niwa vumilivu sana vinginevyo yangemkuta ya redio
 
View attachment 710678
Umofia Kwenu wana JF,

Imeniladhimu nimuandikie waraka mfupi ndugu yetu Tonny Aka Tbway360 ili watu walio karibu nae au yeye akipitia humu JF aweze kuusoma.Nimeshawahi kukutana na Huyu jamaa mara kadhaa,mara ya kwanza nilimuona maeneo ya Mlimani city akiwa anatoka NSSF kufatilia nadhani mafao yake,nilimuona mtu wa vurugu sana kwenye gari lakini nikaona bado kijana labda bado ana ushamba wa gari.

Mara ya Pili niliona Clip mtandaoni akikimbiza gari kwa speed ya ajabu kisha akakamata Hand-Brake gari ikarotate ikarudi ilipotoka na ilikuwa eneo la wazi kabisa barabarani maeneo ya ununio,nikaona huyu jamaa kumbe ndi0 hulka yake kukimbiza magari kwa speed za hatari >160km/hr tena maeneo ya mjini.

Mara ya tatu tena nilimuona live akiwa quality plaza katoka kwenye ATM kutoa pesa,alitoka na speed kubwa sana hadi nikashangaa inakuwaje anatoka na speed kubwa namna ile wakati mbele tu kama mita 20 kuna foleni? Nikagundua jamaa bado haijui gari vizuri,yes ni dereva lakini haijui gari vizuri,mtu anayeijua gari lazima ataiheshimu.

Kilichonituma niandike huu waraka ni kwamba Jana Tbway360 alikula mzinga wa hatari na gari kubilingika mara mbili,kwa mujibu wa maelezo yake eti anasema alikuwa speed ndogo tu akapushiwa na Suzuki aliyekuwa anaendesha mfanyakazi wa tigo ikamgusa ubavuni na kupelekea gari kubilingika mara mbili.Tbway anatufanya sisi watoto wadogo,gari kwenye speed ndogo uguswe tena na suzuki swift ubilingike mara mbili?

Dogo Tbway360 hiyo umegewa kama funzo,hiyo ni rasharasha tu,punguza sifa barabarani,kwa mtu anayefahamu gari hawezi kufanya ujinga wa kukimbiza gari kwa mispeed ya hovyo hovyo tu,next time hutopata hata muda wa kwenda TIGO HQ kuwatukana SGA....Haya sasa kama ulikuwa na bima kubwa fuatilia michoro ya ajali uende bima kama ulikuwa na 3rd party ugulia maumivu ya Legacy.

Ndinga Baada ya Kula Mzinga.
View attachment 710688
Gari yake kabla ya ajali.
View attachment 710689

VIDEO CLIP TBWAY360 ALIPOVAMIA TIGO HQ NA KUANZA KUWATUKANA SGA SECURITIES KWA TUHUMA ZA KUMFICHA MFANYAKAZI WA TIGO ALIYEIGONGA GARI YAKE.
**** huyu mtoto anawapiga watu mikwara, halafu kizembe tu wanamkaushia, watoto kama hawa ni wakuchangamkia, unamjaza heda moja kali unachanganya na ngumi 3 za uzito timilifu, lazima ashike adabu yake. Akikutana na watu ambao hatuna ustahamilivu wa kutukanwa na kudhalilishwa kiboya ataumia.
 
Tigo wamfungulie kesi bwege huyu, anaenda kutukana kama kaenda kwa mchepuko wake.......gari lenyewe mtumba huo analetea mbwembwe mjini.
 
Mnatoa mapovu yenu JF humu mnadhani anawasikia? Mfateni insta mzamieni dm mtoe mapovu yenu [emoji23] [emoji23] huu mnaoleta humu ni umbea! Na hii tabia wabongo tunaipenda saana yani ukipita mbele ya kikundi cha watu lazima wakudiscuss tena kwa mabaya yako hawatakusifia tena unakuta washkaji zako [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kukimbiza gari hovyo hiyo sawa sio poa ila kusema Dogo anamiliki kigari cha 2000, dogo hana mafanikio yoyote cjui, kapanga sinza meeda, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hv bongo hii wangapi wanamiliki vyombo vya moto atleast piki piki? Hata 10% ya wananchi wote haifiki! Sasa dogo anamiliki 15M worth Car unasema sio mafanikio? Dogo kapanga sinza unasema sio mafanikio? Dogo ana ajira EATV na hajafikisha 27 yrs unasema sio mafanikio? [emoji23] [emoji23] labda mm sijui aisee mafanikio ni yapoje by the way? Kumiliki private jet au ? Hizo chuki hazijengi mshaurini ila msimponde dogo
Nyie ndio walewale shithole bit**.. Yani kumiliki gari ndio utajiri.. Kuajiriwa EATV mshahara wa laki kadhaa ndio utajiri.

Nina mashaka na uwezo wako wa akili. Tembea uone kuna watu hii hii Tanzania tena vijana around 30s account zao za bank zinasoma milion 500 mpaka 800 na hawana mbwembwe za kutaka kusababisha vifo vya wengine.

Wengi wanatoa lawama humu k a huyu dogo kwa sababu anayofanya yamaweza kuathiri wasiokuwa na hatia barabarani, kama angekuwa anayafanyia porini angeachwa afe kimpango wake.

Tembea uone kijana acha kujifungia dar unadhani kuwa na alteza au subaru legacy ndio utajiri. Kwa mtu mwenye hela baada ya hiyo ajali asingetoa hata povu next day angezama showroom au pale be toward kutungua ndinga mpyaaaaaa.
 
Nimesema mafanikio sio utajiri Dogo! Tbway ana subaru ya million 15 niliuliza na ninakuuliza tena Bongo hiii yenye watu millioni hamsini wangapi wanamiliki angalau piki piki ya millioni mbili? Hata million 5 hawafiki kati ya watu millioni hamsini Halafu unasema eti kuna madogo wana millioni 500 bank [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye m500 bank bongo hii Hata 2000 hawafiki sasa kwa Range hiyo mtu anayemiliki subaru unamfananisha na anagombania daladala? Aliyepanga sinza kodi kwa mwezi laki 6 unamfananisha na mtu mwenye miaka 38 anakaa kwa baba ake hivi una akili timamu wewe halafu unasema sio mafanikio? Maana yake ni masikini![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shut the https://jamii.app/JFUserGuide up dogo Bongo hii Tbway tuna mgroup kwenye kundi la watu waliofanikiwa! Narudia tena *watu* waliofanikiwa maana nikisema vijana nitakuwa nakosea maana wapo wazee hata baiskeli hawana wanapambana na hali zao
 
Na usije ukasahau point tunayobishania ni mafanikio sasa usije ukachanganya madawa ukaleta pumba zingine ambazo hazipo hiyo habari ya Kuendesha hovyo hata mm binafsi siipendi nakubaliana na wote ila hapo kwenye mafanikio mnamuonea
 
Huyu Graduate wa Kampala International High School ndio mnamjadili humu? tafadhalini muwe na imani kwani ndio uwezo wake ulipoishia.
Kumshauri mpumbavu, ni kujitafutia balaa tu.
 
Legacy yenyewe ipo riced sana.
Hawa vijana wanao endesha vi artezza na Subaru wana vurugu flani hivi zisizo na maana.
Ile sauti inayotoka kwenye muffler inawazuzua kweli,unakuta gari mlio mkubwa ipo hapo hapo.
Wakija kumiliki gari zenye engine za maana tutawazika mapema.
Badilikeni matozi wote..
Artezza Subaru ni 15M, kiwanja upana futi tatu, urefu futi saba, kina futi sita ni bureeee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah hatari sana
 
Nimesema mafanikio sio utajiri Dogo! Tbway ana subaru ya million 15 niliuliza na ninakuuliza tena Bongo hiii yenye watu millioni hamsini wangapi wanamiliki angalau piki piki ya millioni mbili? Hata million 5 hawafiki kati ya watu millioni hamsini Halafu unasema eti kuna madogo wana millioni 500 bank [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye m500 bank bongo hii Hata 2000 hawafiki sasa kwa Range hiyo mtu anayemiliki subaru unamfananisha na anagombania daladala? Aliyepanga sinza kodi kwa mwezi laki 6 unamfananisha na mtu mwenye miaka 38 anakaa kwa baba ake hivi una akili timamu wewe halafu unasema sio mafanikio? Maana yake ni masikini![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shut the **** up dogo Bongo hii Tbway tuna mgroup kwenye kundi la watu waliofanikiwa! Narudia tena *watu* waliofanikiwa maana nikisema vijana nitakuwa nakosea maana wapo wazee hata baiskeli hawana wanapambana na hali zao
Mtoto wa kiume unatumia "Laughing Emoji" ni dalili mbaya. Ndio maana nimekuweka kundi moja na hao wakina Tbway.

Sas ngoja nikusasambue kama sio kukutapanya maana naona bado kichwa chako kina akili za kuvukia barabara.

Unadhani sinza nyumba zote ni laki 6????

Ulivyokuwa na kichwa chenye nywele badala ya akili umepoteza logic ya nilichokiandika na kumaanisha. Mimi nilimaanisha huyo "Mjusi kafiri" aache tabia ya kukimbiza magari hovyo ni hatari kwake ila ni hatari zaidi kwa watumiaji wengine wa barabara.

Kwa jinsi ulivyojibu ni either unakaa kwa dada yako au shemeji yako ndio maana unashangaa kukwambia kuna watu kwa age ya 30s wana "Mpunga" "Ukwasi" karibia milioni 500 kwenye account zao na hawana hizo mbwembwe. Panda gari hapo ubungo ukaone wakulima wa miti Iringa ndio utaelewa ninachokwambia. Na hiyo ni sehemu ndogo ya ushahidi ninayokupa wewe "Pwagu" .
 
Umeamia kwenye Emoji aisee Dogo mbona una panick? Wewe Tbway humfikiii kwa lolote ndo maana unaponda Mkemee asiendeshe gari hovyo ila sio unasema Dogo masikini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizi emoji naona zinakutekenya kinoma ngoja niongeze ***** [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]inauma sana dogo wa 1994 anakushinda kwa mafanikio unasingizia ulimbukeni ? Wewe ungekuwa unatype hapo hata kwa ka iphone 4 nahisi ungeandika sent by iphone ***** [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mrekebishe asiendeshe hovyo ila usimponde useme eti Tbway Masikini, Hivi unawajua masikini wewe ? Mtu anayesukuma subaru unamuita masikini_ je na wewe unaegombania daladala Mbagala tukuitaje?
 
Nilipewa na mzee hilux double cabin [HASHTAG]#ACE[/HASHTAG] kwenye vioo bado kuna # TZJ. Nilipewa tu maana yeye alinunua gari mpya... Kwanza Kabisa Gia number moja imekufa inaondoka na mbili. Kutoka gia number 4 kwenda 5 kuna wakati haikubali. Nikiipack huwa naiweka kwenye kamlima kidogo ili nikitoka niserereke kidogo niweke gia ndio niwashe ndinga.

Nimeliongezea mbwembwe fulani saivi nikama lamborgin mlio wake. Nikipita lazima wanikubali maana nina sifa balaa .aibu inanipataga ninapotaka kuondoka na mbili gari inakuwa kama inataka kupaa hiv.. Wahuni utaskiaaaaa weweeeeeee.... Miluzi kwa wingi.....

Pole tbway tuko pamoja mdau
[emoji23][emoji23][emoji23] 360 my a$$
 
Umeamia kwenye Emoji aisee Dogo mbona una panick? Wewe Tbway humfikiii kwa lolote ndo maana unaponda Mkemee asiendeshe gari hovyo ila sio unasema Dogo masikini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizi emoji naona zinakutekenya kinoma ngoja niongeze ***** [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]inauma sana dogo wa 1994 anakushinda kwa mafanikio unasingizia ulimbukeni ? Wewe ungekuwa unatype hapo hata kwa ka iphone 4 nahisi ungeandika sent by iphone ***** [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mrekebishe asiendeshe hovyo ila usimponde useme eti Tbway Masikini, Hivi unawajua masikini wewe ? Mtu anayesukuma subaru unamuita masikini_ je na wewe unaegombania daladala Mbagala tukuitaje?

Sasa mzee si useme tu kwamba wewe ndio nani nani 360....
 
We chizi kweli iphone ndio unaona ni simu za kujivunia wenzako tumeziweka ndani watoto wanachezea game
1520860545039.jpg

Wewe akili yako bado immatured.....
 
We chizi kweli iphone ndio unaona ni simu za kujivunia wenzako tumeziweka ndani watoto wanachezea game View attachment 712556

Wewe akili yako bado immatured.....
Ok tuhame kwenye magari tuhamie kwenye simu! Kwahyo unataka kufananisha iphone na Tecno au sio? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umasikini mbaya saana! By the way kipindi kinaanza muda si mrefu make sure unacheki EATV Brother 5 select Best show in Town
 
Umeamia kwenye Emoji aisee Dogo mbona una panick? Wewe Tbway humfikiii kwa lolote ndo maana unaponda Mkemee asiendeshe gari hovyo ila sio unasema Dogo masikini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizi emoji naona zinakutekenya kinoma ngoja niongeze ***** [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]inauma sana dogo wa 1994 anakushinda kwa mafanikio unasingizia ulimbukeni ? Wewe ungekuwa unatype hapo hata kwa ka iphone 4 nahisi ungeandika sent by iphone ***** [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mrekebishe asiendeshe hovyo ila usimponde useme eti Tbway Masikini, Hivi unawajua masikini wewe ? Mtu anayesukuma subaru unamuita masikini_ je na wewe unaegombania daladala Mbagala tukuitaje?
Vp una vinasaba vya upunga nini mbona kicheko cha kimbea ivo?
Wanakutifua wenzio nini
 
Back
Top Bottom