Ushauri wa bure kwa Wakenya ili kupata amani: Wakataeni Uhuru na Odinga; tafuteni raisi kutoka kabila dogo

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Kenya sasa hivi kuna sintofahamu. Tume ya Uchaguzi imegawanyika, na imetoa tamko rasmi kwamba haiwezi kutoa guarantee uchaguzi ukifanyika wiki hii utakuwa huru na haki. Kamishna mmoja wa Tume hii alishatoa maelezo kwamba tume inapokea maelekezo "kutoka juu". Kwa sasa Uhuru anataka kulazimisha uchaguzi ufanyike, badala ya yeye kuachia uraisi kwa Spika wa Bunge kulingana na katiba ya Kenya, iwapo uchaguzi hautafanyika ndani ya siku 60 baada ya kubatilishwa.

Uhuru anasahau kwamba akilazimisha uchaguzi, matokeo yake yatapelekwa tena Mahakamani na kuna uwezekano mkubwa uchaguzi wa marudio kubatilishwa tena na Mahakama! Juzi hapa Uhuru alitoa mwito kwa raia wa Kenya kuiombea amani. Lakini je, suluhisho la Kenya ni kuiombea amani? Amani ili nani awe Raisi wa Kenya, Uhuru? Odinga?

Ukweli ni kwamba kwa hali iliyofikia Kenya kwa sasa, ushindi wa uraisi kwa Uhuru au Odinga hautakuwa ushindi kwa Kenya. Kenya imegawanyika mno kwa sasa, na ukiangalia kwa makini utaona kwamba ukabila ni chanzo kikubwa cha mgawanyiko wa kisiasa uliopo. Wajaluo hawatakubali kamwe ushindi wa Uhuru, na Wakikuyu hawatakubali kamwe ushindi wa Odinga.

Ushauri ninaotoa kwa Wakenya ni kwamba, wakataeni wote Uhuru na Odinga. Tafuteni raisi kutoka makabila madogo nchini Kenya ambayo hayajafungamana na Wakikuyu au Wajaluo. Hilo ndilo suluhisho pekee litakaloleta amani nchini Kenya kwa sasa.
 
Hiyo itakuwa sio Kenya hii, Kenya hii maana yake ,Jaluo, Kikuyu and Kalenjin. Jaluo means Odinga clan, and Kikuyu means Kenyatta clan
 
Too late.
 
La, sio ukabila haswa, bali ubabe wa kisiasa kati ya familia mbili kuu za kisiasa.

Huu mgawanyiko waweza tokea hata kama wawaniaji kutoka "jamii ndogo" wakipigiwa upatu na familia hizi mbili hasimu (the Kenyattas and the Odingas).

Hawa ndio wanaendekeza hili uhasama unaosemekana kama ni ya kikabila hapa Kenya.
 
Sisi jamii ya waMeru ndio tunafaa kuwa the next ruling tribe.
Utakuwa unaendeleza ukabila ule ule, tofauti tu ni kwamba umewanyang'anya the big five na kuwapa wameru. Wakenya ni lazima wakubali kwamba wanatatizo la ukabila, tena ni tatizo kubwa, na makabila yote hayana idadi sawa ya watu. Pili wakenya lazima wakubali kwamba mfumo wa uchumi wa Kenya ulivyo unawapa nafasi kubwa wanasiasa kuwa karibu na resources hivyo kuwa rais kuwapendelea jamii yao, kwa hiyo ni lazima mtengeneze mfumo wa uchaguzi utakaotoa nafasi na uhakika kwa kila kabila kuweza kuongoza nchi kama USA walivyotengeneza mfumo wa electral vote ili kulinda majimbo yenye watu wachache, huu mnaotumia sasa hivi wa one man one vote unafaa kwa nchi zisizo na ukabila kama TZ
 
Itakuwa ngumu maana ata izo clan za kikuyu na jaluo zinatafuta kuungwa mkono na kuwashawishi clan ndogo wawaunge mkono. Kwaiyo kama wanazidhoofisha mwisho wa siku wanakuwa hawana sauti.
 
La, sio ukabila haswa, bali ubabe wa kisiasa kati ya familia mbili kuu za kisiasa.

Huu mgawanyiko waweza tokea hata kama wawaniaji kutoka "jamii ndogo" wakipigiwa upatu na familia hizi mbili hasimu (the Kenyattas and the Odingas).

Hawa ndio wanaendekeza hili uhasama unaosemekana kama ni ya kikabila hapa Kenya.
Mkuu, kuna wakati nilisema dawa ya migongano kama hii ni Kenya ni kwamba, Jubilee wakiweka mgombea uraisi Mkikuyu, nao Nasa waweke Mkikuyu. Jubilee wakiweka Mjaluo na Nasa waweke Mjaluo!
 
Wanipe mimi Urais sio Mkenya so sitakuwa na ukabila...nitawararua wote
 
Mkuu, kuna wakati nilisema dawa ya migongano kama hii ni Kenya ni kwamba, Jubilee wakiweka mgombea uraisi Mkikuyu, nao Nasa waweke Mkikuyu. Jubilee wakiweka Mjaluo na Nasa waweke Mjaluo!
Ndugu rudi darasani. Usome vitabu vya historia
 
Kenya sasa hivi kuna sintofahamu. Tume ya Uchaguzi imegawanyika, na imetoa tamko rasmi kwamba haiwezi kutoa guarantee uchaguzi ukifanyika wiki hii utakuwa huru na haki. Kamishna mmoja wa Tume hii alishatoa maelezo kwamba tume inapokea maelekezo "kutoka juu". Kwa sasa Uhuru anataka kulazimisha uchaguzi ufanyike, badala ya yeye kuachia uraisi kwa Spika wa Bunge kulingana na katiba ya Kenya, iwapo uchaguzi hautafanyika ndani ya siku 60 baada ya kubatilishwa.

Uhuru anasahau kwamba akilazimisha uchaguzi, matokeo yake yatapelekwa tena Mahakamani na kuna uwezekano mkubwa uchaguzi wa marudio kubatilishwa tena na Mahakama! Juzi hapa Uhuru alitoa mwito kwa raia wa Kenya kuiombea amani. Lakini je, suluhisho la Kenya ni kuiombea amani? Amani ili nani awe Raisi wa Kenya, Uhuru? Odinga?

Ukweli ni kwamba kwa hali iliyofikia Kenya kwa sasa, ushindi wa uraisi kwa Uhuru au Odinga hautakuwa ushindi kwa Kenya. Kenya imegawanyika mno kwa sasa, na ukiangalia kwa makini utaona kwamba ukabila ni chanzo kikubwa cha mgawanyiko wa kisiasa uliopo. Wajaluo hawatakubali kamwe ushindi wa Uhuru, na Wakikuyu hawatakubali kamwe ushindi wa Odinga.

Ushauri ninaotoa kwa Wakenya ni kwamba, wakataeni wote Uhuru na Odinga. Tafuteni raisi kutoka makabila madogo nchini Kenya ambayo hayajafungamana na Wakikuyu au Wajaluo. Hilo ndilo suluhisho pekee litakaloleta amani nchini Kenya kwa sasa.

Hata hayo unayoyaita makabila madogo nayo bado yamegawanyika kutegemeana na interest zao ama kwa uhuru ama raila. Katiba pekee yake bado si suluhisho la kuleta amani ikiwa watu waishio humo hawaheshimiani wala kuthaminiana.

Wakenya mnakoelekea ni Burundi ama Rwanda ambako hadi sasa wanaongozwa kimabavu.Odinga ana masikio makubwa ambayo ndiyo yatakayoiponza Kenya sana. Uhuru ana mwisho wa kuieheshimu katiba kutokana na kuwa wafitina wake wengi ndiyo hao waliosuka mitego anyongwe na Mungu akasaidia akashinda.

Bado mahakama Kenya ni huru compared to other neighbors country kwani hadi siku ya hukumu UK hakujua lolote huku akiwa rais. Hili haliwezekani kwingine. Sasa ni vema wakenya mkajua kuwa ukabila mmeuanzisha na kuupalilia ninyi wenyewe nao umekua ukapevuka ukabeba mimba na kujifungua mapacha wawili Kikuyu and jaluo na sasa ninajua kuwa hata ikitokea leo wajaluo ama wakikuyu wakajitenga huko nako lazima wagawanyike kwa kuwa roho ya ubaguzi wako nayo nafsini mwao.

Tunawatakia uchaguzi mwema ila badilikeni muda bado upo.
 
Another thread by foreigners advising Kenyans how to go about their problems yet the same very advisors have been unable to lift their own country from an LDC.
 
Ndugu rudi darasani. Usome vitabu vya historia

Na hapo ndipo wengi mnakosea, mnapoacha historia iwe determinant factor ya maamuzi ya leo, na mara nyingi kwa kuchagua. Israel atakuambia kukalia Palestine kimababvu ni suala la kihistoria, wakati ana uhusiano mzuri na Ujerumani.

Tanzania na Malawi wanashindwa kuamua suala la Lake Nyasa/Malawi kwa sababu wanataka kufufua vitabu vya historia badala ya kutumia logiki kutokana na geopolitics za leo zinazotaka midline kuwa mpaka ikiwa kuna maji yanayotenganisha nchi mbili, ambayo ni simple logic. Forget about history, deal na mambo ya leo.
 
Kenya sasa hivi kuna sintofahamu. Tume ya Uchaguzi imegawanyika, na imetoa tamko rasmi kwamba haiwezi kutoa guarantee uchaguzi ukifanyika wiki hii utakuwa huru na haki. Kamishna mmoja wa Tume hii alishatoa maelezo kwamba tume inapokea maelekezo "kutoka juu". Kwa sasa Uhuru anataka kulazimisha uchaguzi ufanyike, badala ya yeye kuachia uraisi kwa Spika wa Bunge kulingana na katiba ya Kenya, iwapo uchaguzi hautafanyika ndani ya siku 60 baada ya kubatilishwa.

Uhuru anasahau kwamba akilazimisha uchaguzi, matokeo yake yatapelekwa tena Mahakamani na kuna uwezekano mkubwa uchaguzi wa marudio kubatilishwa tena na Mahakama! Juzi hapa Uhuru alitoa mwito kwa raia wa Kenya kuiombea amani. Lakini je, suluhisho la Kenya ni kuiombea amani? Amani ili nani awe Raisi wa Kenya, Uhuru? Odinga?

Ukweli ni kwamba kwa hali iliyofikia Kenya kwa sasa, ushindi wa uraisi kwa Uhuru au Odinga hautakuwa ushindi kwa Kenya. Kenya imegawanyika mno kwa sasa, na ukiangalia kwa makini utaona kwamba ukabila ni chanzo kikubwa cha mgawanyiko wa kisiasa uliopo. Wajaluo hawatakubali kamwe ushindi wa Uhuru, na Wakikuyu hawatakubali kamwe ushindi wa Odinga.

Ushauri ninaotoa kwa Wakenya ni kwamba, wakataeni wote Uhuru na Odinga. Tafuteni raisi kutoka makabila madogo nchini Kenya ambayo hayajafungamana na Wakikuyu au Wajaluo. Hilo ndilo suluhisho pekee litakaloleta amani nchini Kenya kwa sasa.
NYANI AOINI KUNDULE............. MBONA NYINYI CCM MNASHINDWA KUWAKATAAA.............???
 
Another thread by foreigners advising Kenyans how to go about their problems yet the same very advisors have been unable to lift their own country from an LDC.
Being an LDC has nothing to do with the stupid election chaos we witness right now in Kenya, mainly due to very myopic and tribalistic mindset of the majority of Kenyans. I would rather Tanzania continue to be an LDC for the next 100 than stoop to the gutter levels of her people seeing everything in the colours of tribalism.

Incidentally, between you and me, being categorized as an LDC has its benefits😉 . So for now it is a strategic stance on our part. In actual fact, there is nothing LDC about Tanzania - but don't tell anyone!
 
Back
Top Bottom