Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa NHIF .Mambo mengi haya unayajua ila naweka msisitizo .
Kwa kifupi sipendi waziri uwe Chanzo cha Kufifia kwa ubora wa huduma zitolewezo kwa wanachama wa NHIF nchini kwa sababu ya kupunguza matumizi ,Hivyo fanya haya :-
1.Punguza au komesha Fraud ,Ni ukweli usiofichika kuna baadhi ya Watoa huduma sio waaminifu na hili ni jambo linalofahamika mpaka uongozi wa Juu wa NHIF ,na Hapa ni Pesa nyingi sana inapotea unajiuliza kuna hospitali Ndogo tu zina claim pesa nyingi zinatoa watu hao wagonjwa ?
2.Review bei za dawa na gharama za upasuaji
---kuna dawa zinanunuliwa kwa pesa ndogo sana ila NHIF wanalipa karibu mara 3 mpaka 4 ingawa kuna baadhi mna punja .
---Kuna dawa ni za gharama lakini ukiangalia umuhimu wake unaona kabisa ni External force ilitumika kuziingiza kwenye packages ya NHIF .
---na Upande wa Upasuaji hivyo hivyo kuwe na faida kwa NHIF na mtoa huduma .
3. Pitia upya Usajiri wa vituo vya Afya ,vituo vingi vinapambana kupandishwa Ngazi lakini havina sifa hizo hata Nusu tu Hakuna hakuna watumishi ,hakuna vitendea kazi na sababu kubwa ya Kufanya hivyo ni NHIF kwa mnalipa malipo kulingana na Ngazi ya Hospitali .Hapa hela nyingi sana inapotea unakutana na hospital ni Zonal level ila huduma ni ya Chini sana ,kuna haja kupitia upya usajiri .
4. Mwisho kabisa kufutia matamko uliyoyatoa hivi karibuni ni wazi kwamba umezungukwa na Vilaza hivyo hao Viongozi na Watumishi wa NHIF ni bora wajitafakari na waachie Ngazi .
Kwenye Afya za watu biashara itolewa na NHIF kama mfuko wa Taifa kisiwe ndio chanzo cha Kutajirika watu huku huduma zinazorota .

>wanajua kuhusu kuna wagonjwa hewa ,vipimo hewa ,matibabu hewa watu wana pewa miswaki ,Maji ,mafuta kwa mbadala wa Dawa, viongozi na watumishi wa NHIF wanavijua vituo hivi na hakuna Action yoyote inayochukuliwa .