Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Na anasema kabisa ,, baby nakojoooo joooo Joo aaaaaaaaaaaaa 🤣🤣😁😁😁Alipenda tu we ndo umenisanua siku 8 Yani wiki na siku 😂😂😂😂na usikute alikuwa anajojoa vizuri tu,,
Jibu ni jepesi sana sijui kwanini wasomi wa ngazi ya degree bado wajinga sana hii nchi ina vijana wa ajabu sana yaaani mpaka wanakera aisee tatizo jepesi linatatulika kiwepesi sanaHello wanajamvi,
Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki na jamaa zangu waliogawanyika katika kambi hizo mbili na wote nawapenda.
Back to the topic;
Leo nimesimuliwa story kutoka kwa rafiki yetu moja ambayo imeniuma sana, kama jamii nikahisi nina jukumu la kuwaelimisha na wengine huenda wakajifunza. Hata kama hatajifunza hata moja angalau nimefikisha kama mwanajamii.
Nina rafiki zangu wawili ambao tunapendana sana na urafiki wetu umedumu toka O LEVEL mpaka sasa regardless kuwa A level tulisoma shule TOFAUTI lakini Chuo tukakutana different courses...
Moja ya Rafiki zangu [naomba kumuita LILIAN siyo jina lake halisi] alikuwa na boyfriend wake ambaye kulingana na maelezo take walipendana sana. Uhusiano wao ulianza akiwa advance na ukadumu kwa kipindi chote tulipokuwa Chuo ingawa walisoma chuo TOFAUTI.
Baada ya kumaliza chuo mahusiano yao yaliyumba na hatimaye yalivunjika na kila moja akaendelea na maisha yake...
Baada ya muda kupita LILIAN akapata mchumba, mahari yakatolewa na taratibu za ndoa zikaendelea...
Kumbe kipindi chote haya yanafanyika aliyekuwa Boyfriend wake Tumuite Innocent alikuwa anafuatilia na kumbe hakuwahi kuwa happy kumwona aliyekuwa girlfriend wake anaolewa...
Wakati mambo yakiwa ukingoni kufunga ndoa Innocent akamtafuta LILIAN na kumwomba wakutane waongee... unfortunately Lilian akakataa na kumweleza yaliyopita baina yao yamepita hivyo kila mmoja anapaswa kuendelea na maisha yake...
Zikapita kama siku mbili hivi akiwa hana hili wala lile my poor friend Lilian akashangaa anapokea meseji WHATSAPP kutoka kwa Innocent ikiwa na maelezo marefu lakini pia ikiwa na picha... Kufungua zile picha akajikuta akijiona Akiwa uchi wa Mnyama kila kitu kikiwa hadharani...
Moja ya masharti ya Innocent ni kuwa ikiwa anataka kuendelea na michakato yake ya harusi peaceful basi amkubalie na aandae mazingira WASEX vinginevyo kila kitu kitaenda public....
After a much panic, contemplation asijue nini cha kufanya na hofu ya kupoteza ampendaye, ndoa na aibu akajikuta akikubali MASIKINI [IMENIUMA SANA]...
Lilian AMESEX TENA BILA HATA KINGA roughly 8 days kabla ya ndoa yake.... asijue USALAMA wa afya yake kwani amekutana na mtu ambaye ameachana Naye miaka kadhaa na hajui hali yake....
Rafiki yangu ameingia kwenye ndoa akiwa na maumivu lakini akiwa hana uhakika kama Kweli Innocent amefuta picha na video zake zote kama walivyokubaliana au kuna siku tena atazitumia dhidi yake...
Anatamani angemiliki silaha au angekuwa na fedha atafute mafia akamalize kazi lakini YOTE hayo Yapo nje ya uwezo wake..
Ndugu zangu NEVER EVER SHARE YOUR NUDE PHOTOS AU VIDEOS KWA GHARAMA YOYOTE... HASA KWA MAHUSIANO HAYA YA NJE AU KABLA YA NDOA...
Huwezi jua ni kwa kiwango gani zitahifadhiwa na kesho kutumika dhidi yako, zikakufanya mtumwa na kukutia wasiwasi na mashaka!!!
Najiuliza siku Mume wake akiijua hii story ni vipi itakuwa ndoa ya rafiki yangu LILIAN!!!
POLE SANA LILIAN, kwa hakika uliifanya siri na hukutamani aijue yoyote lakini hakuna siri ya wawili na nisamehe nimeitoa hapa angalau kuwafunza na kuwanusuru wengine KWANI NINA HAKIKA KAMA UNGEPEWA NAFASI YA KUANZA UPYA USINGEFANYA YOTE ULIYOYAFANYA AWALI.
MUNGU AKUJAALIE NDOA YENYE HERI NA FANAKA, MPENDE SHEMEJI YANGU NA ISHI KWA FURAHA KWA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA YUPO KAMOJA NA WEWE.
Kaka zangu nawashauri ziheshimuni nyoyo za wale waliojitoa kwa ajili yenu
Halafu mtu huyu nae anajiita msomi ambaye anashindwa kutatua tatizo dogo kama hili aiseeUlichotakiwa kufanya siku unaenda kumpa tunda ungeenda na Askari,angekamwatwa na kufunguliwa kesi
tegemea jamaa kukuomba mzigo siku nyingine na hizo video zikiwa km silaha yake
Rafiki huo ndo msimamo wangu,, ye anidhalilishe afaidishe walimwengu ila k yangu sitompa period,, maana kufikia hivyo means tayari kashakutangazia uadui hivyo ukimpa tu kakumaliza atakudhalilisha zaidi,Usiseme hivyo Noelia, kuna exceptions katika hizi mambo, yaani K ianikwe kila mtu duniani aione, itumwe huko xnxx na xvideos itakaa huko maisha yote ya mtandao, haitafutika...
Useme hutaweza kuruhusu akuchape nao hata mara moja...mmmh! Unampa tu, kwani ataenda nayo wapi[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂Na anasema kabisa ,, baby nakojoooo joooo Joo aaaaaaaaaaaaa 🤣🤣😁😁😁
Ataridhika na kwenda zake, wanaume wana ujinga mwingi sometimes. Huwezi amini akikuvua once hiyo ndio furaha yake...unampa tu maisha yandelee, mbona huko nyuma mlivuana na hukuona shida🤣🤣Rafiki huo ndo msimamo wangu,, ye anidhalilishe afaidishe walimwengu ila k yangu sitompa period,, maana kufikia hivyo means tayari kashakutangazia uadui hivyo ukimpa tu kakumaliza atakudhalilisha zaidi,
Na huu ndio ukweli lilian anapenda dyudyuAlikuwa anapenda kutiwa huyo anatuchora tu siku 8 zote ana ukalia tu 🤣🤣🤣😁 wee kuweza !? Why asi report police muhusika akamatwe siku waliyo kubaliana wapeane utamu tena!? Kama kufikiria jambo dogo tu kama Hilo kshindwa umuhimu wa degree yake uko wapi !? Period
Sio mimi kabisa,, hata nikupende vipi sitoi k kwa ex ndo kanuni yangu,, ndo anitishe kwamba nitampa,,, neverJamaa kala uroda siku na e anagegeda mbususu ya lilian....dah jamaa ana bahti kweli.
Tatizo warembo mkikolozagwa dyudyu mnapagawa sana
Ah jamani ata kama ex alikuwa anakutombaa mpaka mapaja yanatetema hutoi kweli....mhm sasa unatudandanyaSio mimi kabisa,, hata nikupende vipi sitoi k kwa ex ndo kanuni yangu,, ndo anitishe kwamba nitampa,,, never
Demu ni zero brain... yani akili ni zeerooooooooHuyo mtombuaji hakuwa serious. Hiyo si jinai kwa nini hakuripoti ili wamshike huyo mkunaji? Hivi siku hizi watu wanaohitimu chuo mmekosa akili kwa kiwango hicho?
Ushasema mwanzoni kabla nyongo haijatumbukia penzini,, halafu huyo demu alikuwa fala tu,,Ataridhika na kwenda zake, wanaume wana ujinga mwingi sometimes. Huwezi amini akikuvua once hiyo ndio furaha yake...unampa tu maisha yandelee, mbona huko nyuma mlivuana na hukuona shida🤣🤣
Kwamba wameisha wakunifanya niteteme wanaume wote hawa kweli niadhirike na mmoja??? Dhambi hiyo sifanyiAh jamani ata kama ex alikuwa anakutombaa mpaka mapaja yanatetema hutoi kweli....mhm sasa unatudandanya
Haya mwingine huyu hapa, mnajua kushoboka mtu alishakuacha bado umeng'ang'ana na mapicha yake, ndo shida ya kuwapa utamu watoto watoto acha nikomae na wababa tuNina pc za ex wangu na nilimpiga bila yeye kujua baada ya kuona kwamba yeye ni mkorofi nilizipiga kwaajili ya tahadhari
Futa ujinga huo mkuu, haukusaidii chochote zaidi ya kuonekana bully tu katika jamii, unless useme unazitumia kupigia magoli ya mkono[emoji3][emoji3]Nina pc za ex wangu na nilimpiga bila yeye kujua baada ya kuona kwamba yeye ni mkorofi nilizipiga kwaajili ya tahadhari
K Ni km wine kadri unavyoipiga mara nyingi ndivyo utamu unazidi,, ingekuwa utam unapungua huyo kaka asingehangaika namna hii, tumeelewwana nadhaniHaita uma Sana maaana huyo ex ulikuwa unampa yote anapiga before.
Uko sahihi kamshamjua weakness zake anaogopa picha kuvuja atamchezea mpaka kufaNever negotiate with terrorists. Mtu anapo kublackmail ukilipa demands zake usitegemee kuwa umemaliza. Huyo atamsumbua sana na huenda sasa kasave msgs walizokuwa wanachat kuwa anaenda kumla.
Yani hapo angetafuta mtaalamu wa mambo wakapanga tukio siku wanaenda kusex wakaja na polisi wakamdaka akafunguliwa kesi ya kumblackmail.
Sometimes sisi wanaume tunakuwaga na roho mbaya unataka ukiachana na mtu basi apigike.
Nimekumbuka kile kisa kilikuwa mashuhuri hadi kuruka redioni cha yule dada aliolewa mojawapo ya zawadi alizopewa mumewe siku ya harusi ni ya cd binti akipakuliwa nyuma na ex wake.