Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Tufanyeje sasa mkuu
Don't share your NUDE photos at at any cost...

Kujiepusha na kujirekodi rekodi sex/nude pictures or photos.... hata kwa unayemwamini Kuna bahati mbaya unajikuta upo kwenye social platforms....

Mama yako, baba yako, wadogo zako, wakwe zako, marafiki na wadau wengine kama makazini au business associates.... yaani kibinadamu ni mtihani mzito
 
Nipe basi hizo connection za waganga wako[emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Binti akijiamini hivi mara nyingi anajivunia waganga wazuri tu

By the way,jamaa ni mpuuzi sana.
Sinaga mzuka na washobokaji aina yako
 
Lillian alikosea. Angemwambia huyo mume wake mtarajiwa ukweli halafu wote wakaenda polisi na hiyo meseji ya vitisho ya huyo ex boya. Wangemaliza msala vizuri tu na kwa heshima zaidi.

Ila nimeupenda msimamo wako. Lillian labda alipaniki tu au hakuwa na mtu wa kuongea naye. Huyo ex boya naamini siku moja ataibuka tena na kudai kingine. Poor Lillian!
Mi angezisambaza tu hata km ingepelekea mi kujiua ila chiiu yangu nisingempa abadani

Lily alipenda tu nae,, siku 8!!! wee labda iwe story ya kutengenezea movie
 
Back
Top Bottom