Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Usiaminiamini kirahisi mkuu,tambua huyo unayedhani ni mtu mwenye msimamo na anajitambua,kuna mdau au wadau wanamuona vile wanavyomuona,yaani kwa udhaifu wake,wanamdharau kinoma,muulize tu kama tendo la ndoa kaanzia ndani ya ndoa au kabla.Ukute hata hajaolewa.
😂😂😂 Una muhaho na mimi,, kaniamini mimi unaumia wewe,, kaka eeh hebu niache,, halafu sitafuti kuheshimiwa humu nimetoa mchango wangu, sijakulazimisha uamini nachoandika mbona kuwashwashwa,,,, unastaajabisha
 
Huyo dem ni kiaz
Unarudiana na ex na kufanya mapenzi bila kinga kisa nude pics 😀😀😀
Kizazi hiki kuna mtu wa kushangaa uchi wa mtu kweli labda watoto wa 12yrs wengine wote wameshazizoea kuona hakuna jipya
Kuona uchi na kuonanjinsi uchi huo unapelekewa moto ni vitu viwili tofauti
 
Kuona uchi na kuonanjinsi uchi huo unapelekewa moto ni vitu viwili tofauti
Hakuna jipya kiongozi ndio maana unaona kuna watu wanafahamika sex tapes zao na bado wanaendelea na mishe zao mtaani kama kawaida
 
Hello wanajamvi,

Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki na jamaa zangu waliogawanyika katika kambi hizo mbili na wote nawapenda.

Back to the topic;

Leo nimesimuliwa story kutoka kwa rafiki yetu moja ambayo imeniuma sana, kama jamii nikahisi nina jukumu la kuwaelimisha na wengine huenda wakajifunza. Hata kama hatajifunza hata moja angalau nimefikisha kama mwanajamii.

Nina rafiki zangu wawili ambao tunapendana sana na urafiki wetu umedumu toka O LEVEL mpaka sasa regardless kuwa A level tulisoma shule TOFAUTI lakini Chuo tukakutana different courses...

Moja ya Rafiki zangu [naomba kumuita LILIAN siyo jina lake halisi] alikuwa na boyfriend wake ambaye kulingana na maelezo take walipendana sana. Uhusiano wao ulianza akiwa advance na ukadumu kwa kipindi chote tulipokuwa Chuo ingawa walisoma chuo TOFAUTI.

Baada ya kumaliza chuo mahusiano yao yaliyumba na hatimaye yalivunjika na kila moja akaendelea na maisha yake...

Baada ya muda kupita LILIAN akapata mchumba, mahari yakatolewa na taratibu za ndoa zikaendelea...

Kumbe kipindi chote haya yanafanyika aliyekuwa Boyfriend wake Tumuite Innocent alikuwa anafuatilia na kumbe hakuwahi kuwa happy kumwona aliyekuwa girlfriend wake anaolewa...

Wakati mambo yakiwa ukingoni kufunga ndoa Innocent akamtafuta LILIAN na kumwomba wakutane waongee... unfortunately Lilian akakataa na kumweleza yaliyopita baina yao yamepita hivyo kila mmoja anapaswa kuendelea na maisha yake...

Zikapita kama siku mbili hivi akiwa hana hili wala lile my poor friend Lilian akashangaa anapokea meseji WHATSAPP kutoka kwa Innocent ikiwa na maelezo marefu lakini pia ikiwa na picha... Kufungua zile picha akajikuta akijiona Akiwa uchi wa Mnyama kila kitu kikiwa hadharani...

Moja ya masharti ya Innocent ni kuwa ikiwa anataka kuendelea na michakato yake ya harusi peaceful basi amkubalie na aandae mazingira WASEX vinginevyo kila kitu kitaenda public....

After a much panic, contemplation asijue nini cha kufanya na hofu ya kupoteza ampendaye, ndoa na aibu akajikuta akikubali MASIKINI [IMENIUMA SANA]...

Lilian AMESEX TENA BILA HATA KINGA roughly 8 days kabla ya ndoa yake.... asijue USALAMA wa afya yake kwani amekutana na mtu ambaye ameachana Naye miaka kadhaa na hajui hali yake....

Rafiki yangu ameingia kwenye ndoa akiwa na maumivu lakini akiwa hana uhakika kama Kweli Innocent amefuta picha na video zake zote kama walivyokubaliana au kuna siku tena atazitumia dhidi yake...

Anatamani angemiliki silaha au angekuwa na fedha atafute mafia akamalize kazi lakini YOTE hayo Yapo nje ya uwezo wake..

Ndugu zangu NEVER EVER SHARE YOUR NUDE PHOTOS AU VIDEOS KWA GHARAMA YOYOTE... HASA KWA MAHUSIANO HAYA YA NJE AU KABLA YA NDOA...

Huwezi jua ni kwa kiwango gani zitahifadhiwa na kesho kutumika dhidi yako, zikakufanya mtumwa na kukutia wasiwasi na mashaka!!!

Najiuliza siku Mume wake akiijua hii story ni vipi itakuwa ndoa ya rafiki yangu LILIAN!!!

POLE SANA LILIAN, kwa hakika uliifanya siri na hukutamani aijue yoyote lakini hakuna siri ya wawili na nisamehe nimeitoa hapa angalau kuwafunza na kuwanusuru wengine KWANI NINA HAKIKA KAMA UNGEPEWA NAFASI YA KUANZA UPYA USINGEFANYA YOTE ULIYOYAFANYA AWALI.

MUNGU AKUJAALIE NDOA YENYE HERI NA FANAKA, MPENDE SHEMEJI YANGU NA ISHI KWA FURAHA KWA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA YUPO KAMOJA NA WEWE.


Kaka zangu nawashauri ziheshimuni nyoyo za wale waliojitoa kwa ajili yenu
Kwani Bwana harusi alimkuta mchumba wake bikira? Na walikubaliana kuwa wote wawe bikira na hawakuwahi kuwa na mahusiano kabla ili waoane? Ukisikia ujuha ndio huu! Huyo bibie hakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kumuogooa huyo jamaa yake wa mwanzo, kwani bado picha anazo na anaweza kumuanika hata sasa.
Alipaswa kumshitaki, na ushahidi anao!
 
Nakunyoosha vizuri tu. Nazisambaza na kuniona hutoniona. Unadhani ntasambaza afu nikae nyumba ya pili?

All in all huyo dada fala tu angandaa polisi akamatwe kama kuku.
Ile uliyonitumia kunitishia nayo, ndiyo ushahidi wa kukushitaki, sasa kama utahama nchi hiyo ni juu yako, Ila polisi watakusaka, sio Mimi.
 
Mzee unataka connectn ya hizo vitu 😂😂😂 we bado teen nn
Wewe nipenconnection wa wao warembo wanaotaka kurekodiwa tutengeneze sextapes...nataka kuanza utafiti wakujua ni katika angle gani bolo linabidi lizamishwe kwenye mbususu ili mwanaume asiwahi kumwaga
 
Wewe nipenconnection wa wao warembo wanaotaka kurekodiwa tutengeneze sextapes...nataka kuanza utafiti wakujua ni katika angle gani bolo linabidi lizamishwe kwenye mbususu ili mwanaume asiwahi kumwaga
Nilikua namaanisha wapo watu wanafahamika baadhi video zao zilivuja mitandaoni lkn maisha yanaendelea kama kawaida
Sina haja ya kuwataja hapa maana wanafahamika
 
Nice one..lol.

Very sad, hao wanaume wanatumia hayo mapicha kuku blackmail...

Ningependa kuwakumbusha wadada kama una hizo pictures mahali, jua zitatoka tu, na siku hizi they say ' internet never forgets '...

endelea kuishi kwa amani,sababu hata zikitoka ni ndio mwisho wa kudhalilishwa,ataonyesha nini kingine zaidi ya uchi? Kongosho,Figo? Bandana?

Nachotaka kusema whatever circumstances you are in, how much umedhalilishwa, get courage ..move on, I know its hard kwa mara ya kwanza ku accept, but soo many people have crossed that path before, you too will move on one day...
Sister umeongea vizuri,, postively,, maana kumkubalia masharti ya kile anachotaka huyo anaekufanyia bullying ndo unakuwa umempa kiburi cha kuendelea kukutumia zaidi,, na ataenda kufanya kwa mwingine,, kwahiyo ukiharibu pahala ni kuwa jasiri na kupambana na uhalisia,,tu Kuna mdau mmoja kasema hivi Kuna asiejua uchi dunia hii labda awe mtoto wa miaka 12,,

Kiufupi nimeona mengi sana
 
Nice one..lol.

Very sad, hao wanaume wanatumia hayo mapicha kuku blackmail...

Ningependa kuwakumbusha wadada kama una hizo pictures mahali, jua zitatoka tu, na siku hizi they say ' internet never forgets '...

endelea kuishi kwa amani,sababu hata zikitoka ni ndio mwisho wa kudhalilishwa,ataonyesha nini kingine zaidi ya uchi? Kongosho,Figo? Bandana?

Nachotaka kusema whatever circumstances you are in, how much umedhalilishwa, get courage ..move on, I know its hard kwa mara ya kwanza ku accept, but soo many people have crossed that path before, you too will move on one day...
Kwa hakika ingawa ni jambo la kumwomba Mungu maana inatisha to think of your beloved mom, dad, siblings and all the chain down to friends and relatives!!!!!

Najihisi naweza kutafuta mafia anisaidie kutoa uhai wa mtu au Afande anisaidie kumpa kesho ya unyang'anyi wa kutumia silaha au hata kukutwa na Heroin.....

Roho ya mbwa mwitu kabisa!!!!

Inaumiza sana unamkuta mtu yuko smart na anajiamini lakini kwa sababu ya hizi picha anageuzwa mtumwa....

😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kwa hakika ingawa ni jambo la kumwomba Mungu maana inatisha to think of your beloved mom, dad, siblings and all the chain down to friends and relatives!!!!!

Najihisi naweza kutafuta mafia anisaidie kutoa uhai wa mtu au Afande anisaidie kumpa kesho ya unyang'anyi wa kutumia silaha au hata kukutwa na Heroin.....

Roho ya mbwa mwitu kabisa!!!!

Inaumiza sana unamkuta mtu yuko smart na anajiamini lakini kwa sababu ya hizi picha anageuzwa mtumwa....

😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Ni kweli mkuu...ni aibu sana, for a moment unatamani usingekua na ndugu,wazazi, siblings ... sababu unaweza kuwa strong una survive lakini ukifikiria jinsi hao ndugu zako wanavyoumia kwa kumuona ndugu yao akidhalilishwa unaumia zaidi.....

Ni kweli tena mtu anaweza kuwa smart anajiamini ila this whole experience can left her shaken, tuwalinde wadogo zetu hasa wa chuo..maanake huko ndiko kuna uhuru kwa vijana wadogo ku experiment a lot of things, tuwaongoze wasiwe victims wa huu upuuzi, na bahati mbaya ikitokea then pia tuwaongoze wasichukua hatua ngumu kama kujiua ama kutafuta kitu cha kupunguza maumivu kama pombe au madawa ya kulevya
 

Bado tu kuna watu hawajui kuwa matendo ya leo lazima yataathiri kesho yako iwe kwa faida au hasara,bado wanashindwa kufikiri sawa sawa!.
 
Mm hata mapenzi yakoleajeeeee, picha ya pamojaaa sipigiiiiii ng'oooooooooo
 
Back
Top Bottom