Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

No that's too harsh, I have nothing absolutely to say. Ila ipo njia aonayo mtu ni salama nayo ni njia ya mauti.
Uko na kimhemhe cha ndoa halafu linakatiza hilo, mtu aweza kujitoa uhai!! Bullying is very challenging in this digital age we're living in now
 
Wewe sio wanawake wote ni mapoyoyo,, mi sio aina hiyo kabisa
Hamna mwanamke ambaye sio poyoyo kwa mgegedo jamani....mbona mgekiwa sio mapoyoyo tusingekuwa tunawagegeda kabla ya ndoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Au wee upoyoyo unaozungumzia ni upi
 
Uko na kimhemhe cha ndoa halafu linakatiza hilo, mtu aweza kujitoa uhai!! Bullying is very challenging in this digital age we're living in now
Marie,

Learn from it.

Kimhemhe kipo sawa, ila vitu vipo na vitu hutokea cha muhimu, Do not allow the problem to be too big.
 
Hamna mwanamke ambaye sio poyoyo kwa mgegedo jamani....mbona mgekiwa sio mapoyoyo tusingekuwa tunawagegeda kabla ya ndoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Au wee upoyoyo unaozungumzia ni upi
Upoyoyo naozungumzia ni wa kuhusu mada hii,,

Halafu una tabia ya kuhamisha mada, na kupenda ubishi Sana Sina muda huo kwa Sasa,,, goodbye
 
Upoyoyo naozungumzia ni wa kuhusu mada hii,,

Halafu una tabia ya kuhamisha mada, na kupenda ubishi Sana Sina muda huo kwa Sasa,,, goodbye
Ah huu upoyoyo wakurekodiwa...
Ah jamani mnasemaje kuwa huo upoyoyo wakati ndio raha ya mapenzi.
Hizo ndio burudani zenyewe za kumpagawisha mwanaume
 
Angeenda police akaripoti nakueleza yote angesaidiwa amegawa uchi kizembe sana

Asipokuwa makini uyo mpuuzi atamrudia akitaka amzalie
Polisi siku 8 kabla ndoa ingeota mbawa; mwoaji si angeuliza vipi huko polisi kulikoni? Jibu kuna jamaa ana picha zangu za uchi, sasa nani ataoa hapo😁
 
Tena hao ndio wanawarekodi vizuri maana wnaweka mzigo tuu mezani
Ndio mana nilimuuliza jamaa huko juu, nadhan inafatana na kujitambua kwa mtu. Huu upuuzi naona hata watu wazima wanao.
 
Huyo dem ni kiaz
Unarudiana na ex na kufanya mapenzi bila kinga kisa nude pics 😀😀😀
Kizazi hiki kuna mtu wa kushangaa uchi wa mtu kweli labda watoto wa 12yrs wengine wote wameshazizoea kuona hakuna jipya
 
Ndio mana nilimuuliza jamaa huko juu, nadhan inafatana na kujitambua kwa mtu. Huu upuuzi naona hata watu wazima wanao.
Upuuzi vipi tena besty....hiyo ndio raha.
Kwanza inaboresha ufanishi wa tendo...lazima ufanya analysis ya mechi ili kuboresha mambo kwenye next game
 
Duuh, hapa kweli Innocent asingefua dafu(mzigo)😁
Usiaminiamini kirahisi mkuu,tambua huyo unayedhani ni mtu mwenye msimamo na anajitambua,kuna mdau au wadau wanamuona vile wanavyomuona,yaani kwa udhaifu wake,wanamdharau kinoma,muulize tu kama tendo la ndoa kaanzia ndani ya ndoa au kabla.Ukute hata hajaolewa.
 
Upuuzi vipi tena besty....hiyo ndio raha.
Kwanza inaboresha ufanishi wa tendo...lazima ufanya analysis ya mechi ili kuboresha mambo kwenye next game
Kwangu ni big NO.
 
Back
Top Bottom