Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Akiripoti polisi kumbuka hubby to be atazipata taarifa na ndoa itaota mabawa. Hizi tricks mkuu hawa bullies huwawezi hata ufanyeje.
Nafasi ya kummaliza huyo jamaa mjinga "Inno" alikuwa nayo mdada, hata angetaka kumfyeka mbupu angeweza. Basi tu aliamua kuyabeba peke yake na kutii vitisho mbuzi bila kufikiria kuwa inaweza isiwe mwisho wa kutumiwa.
Kweli x hatongozwi
 
Rafiki yako ni FALA tu.
Mwambie hivyo. Ndio maamuzi ya KIKAO chetu .
Ana negotiate na terrorist.
Ataliwa sana
 
Mademu zangu hupenda kunirushia nudes zao au video wakikatika

Sema mimi siwezi mtushia mtu nazitunza kwenye simu yangu sina upuuzi wa kuzisambaza au kurushia wana . labda niwaonyeshe wana kwenye simu yangu nikiwepo nimeishika
 
Hello wanajamvi,

Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki na jamaa zangu waliogawanyika katika kambi hizo mbili na wote nawapenda.

Back to the topic;

Leo nimesimuliwa story kutoka kwa rafiki yetu moja ambayo imeniuma sana, kama jamii nikahisi nina jukumu la kuwaelimisha na wengine huenda wakajifunza. Hata kama hatajifunza hata moja angalau nimefikisha kama mwanajamii.

Nina rafiki zangu wawili ambao tunapendana sana na urafiki wetu umedumu toka O LEVEL mpaka sasa regardless kuwa A level tulisoma shule TOFAUTI lakini Chuo tukakutana different courses.

Moja ya Rafiki zangu [naomba kumuita LILIAN siyo jina lake halisi] alikuwa na boyfriend wake ambaye kulingana na maelezo take walipendana sana. Uhusiano wao ulianza akiwa advance na ukadumu kwa kipindi chote tulipokuwa Chuo ingawa walisoma chuo TOFAUTI.

Baada ya kumaliza chuo mahusiano yao yaliyumba na hatimaye yalivunjika na kila moja akaendelea na maisha yake.

Baada ya muda kupita LILIAN akapata mchumba, mahari yakatolewa na taratibu za ndoa zikaendelea.

Kumbe kipindi chote haya yanafanyika aliyekuwa Boyfriend wake Tumuite Innocent alikuwa anafuatilia na kumbe hakuwahi kuwa happy kumwona aliyekuwa girlfriend wake anaolewa.

Wakati mambo yakiwa ukingoni kufunga ndoa Innocent akamtafuta LILIAN na kumwomba wakutane waongee. unfortunately Lilian akakataa na kumweleza yaliyopita baina yao yamepita hivyo kila mmoja anapaswa kuendelea na maisha yake.

Zikapita kama siku mbili hivi akiwa hana hili wala lile my poor friend Lilian akashangaa anapokea meseji WHATSAPP kutoka kwa Innocent ikiwa na maelezo marefu lakini pia ikiwa na picha. Kufungua zile picha akajikuta akijiona Akiwa uchi wa Mnyama kila kitu kikiwa hadharani...

Moja ya masharti ya Innocent ni kuwa ikiwa anataka kuendelea na michakato yake ya harusi peaceful basi amkubalie na aandae mazingira WASEX vinginevyo kila kitu kitaenda public.

After a much panic, contemplation asijue nini cha kufanya na hofu ya kupoteza ampendaye, ndoa na aibu akajikuta akikubali MASIKINI [IMENIUMA SANA].

Lilian AMESEX TENA BILA HATA KINGA roughly 8 days kabla ya ndoa yake, asijue USALAMA wa afya yake kwani amekutana na mtu ambaye ameachana Naye miaka kadhaa na hajui hali yake....

Rafiki yangu ameingia kwenye ndoa akiwa na maumivu lakini akiwa hana uhakika kama Kweli Innocent amefuta picha na video zake zote kama walivyokubaliana au kuna siku tena atazitumia dhidi yake...

Anatamani angemiliki silaha au angekuwa na fedha atafute mafia akamalize kazi lakini YOTE hayo Yapo nje ya uwezo wake..

Ndugu zangu NEVER EVER SHARE YOUR NUDE PHOTOS AU VIDEOS KWA GHARAMA YOYOTE, HASA KWA MAHUSIANO HAYA YA NJE AU KABLA YA NDOA.

Huwezi jua ni kwa kiwango gani zitahifadhiwa na kesho kutumika dhidi yako, zikakufanya mtumwa na kukutia wasiwasi na mashaka!

Najiuliza siku Mume wake akiijua hii story ni vipi itakuwa ndoa ya rafiki yangu LILIAN!!!

POLE SANA LILIAN, kwa hakika uliifanya siri na hukutamani aijue yoyote lakini hakuna siri ya wawili na nisamehe nimeitoa hapa angalau kuwafunza na kuwanusuru wengine KWANI NINA HAKIKA KAMA UNGEPEWA NAFASI YA KUANZA UPYA USINGEFANYA YOTE ULIYOYAFANYA AWALI.

MUNGU AKUJAALIE NDOA YENYE HERI NA FANAKA, MPENDE SHEMEJI YANGU NA ISHI KWA FURAHA KWA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA YUPO KAMOJA NA WEWE.

Kaka zangu nawashauri ziheshimuni nyoyo za wale waliojitoa kwa ajili yenu.
 
Nina pc za ex wangu na nilimpiga bila yeye kujua baada ya kuona kwamba yeye ni mkorofi nilizipiga kwaajili ya tahadhari
So sad...

Kwa nini ufanye hivyo? Itakusaidia nini? Skienda kwenye sheria unafungwa..
 
images - 2022-04-30T173913.236.jpeg
 
Wanawake wanafanya sana haya Mambo bila ya kujua Mwanaume Hana uchi,kwa Mwanaume hata picha zetu zisambae sio issue Mana sisi tunakojoaga hata mtaano kweupe kabisa
 
Hello wanajamvi,

Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki na jamaa zangu waliogawanyika katika kambi hizo mbili na wote nawapenda.

Back to the topic;

Leo nimesimuliwa story kutoka kwa rafiki yetu moja ambayo imeniuma sana, kama jamii nikahisi nina jukumu la kuwaelimisha na wengine huenda wakajifunza. Hata kama hatajifunza hata moja angalau nimefikisha kama mwanajamii.

Nina rafiki zangu wawili ambao tunapendana sana na urafiki wetu umedumu toka O LEVEL mpaka sasa regardless kuwa A level tulisoma shule TOFAUTI lakini Chuo tukakutana different courses...

Moja ya Rafiki zangu [naomba kumuita LILIAN siyo jina lake halisi] alikuwa na boyfriend wake ambaye kulingana na maelezo take walipendana sana. Uhusiano wao ulianza akiwa advance na ukadumu kwa kipindi chote tulipokuwa Chuo ingawa walisoma chuo TOFAUTI.

Baada ya kumaliza chuo mahusiano yao yaliyumba na hatimaye yalivunjika na kila moja akaendelea na maisha yake...

Baada ya muda kupita LILIAN akapata mchumba, mahari yakatolewa na taratibu za ndoa zikaendelea...

Kumbe kipindi chote haya yanafanyika aliyekuwa Boyfriend wake Tumuite Innocent alikuwa anafuatilia na kumbe hakuwahi kuwa happy kumwona aliyekuwa girlfriend wake anaolewa...

Wakati mambo yakiwa ukingoni kufunga ndoa Innocent akamtafuta LILIAN na kumwomba wakutane waongee... unfortunately Lilian akakataa na kumweleza yaliyopita baina yao yamepita hivyo kila mmoja anapaswa kuendelea na maisha yake...

Zikapita kama siku mbili hivi akiwa hana hili wala lile my poor friend Lilian akashangaa anapokea meseji WHATSAPP kutoka kwa Innocent ikiwa na maelezo marefu lakini pia ikiwa na picha... Kufungua zile picha akajikuta akijiona Akiwa uchi wa Mnyama kila kitu kikiwa hadharani...

Moja ya masharti ya Innocent ni kuwa ikiwa anataka kuendelea na michakato yake ya harusi peaceful basi amkubalie na aandae mazingira WASEX vinginevyo kila kitu kitaenda public....

After a much panic, contemplation asijue nini cha kufanya na hofu ya kupoteza ampendaye, ndoa na aibu akajikuta akikubali MASIKINI [IMENIUMA SANA]...

Lilian AMESEX TENA BILA HATA KINGA roughly 8 days kabla ya ndoa yake.... asijue USALAMA wa afya yake kwani amekutana na mtu ambaye ameachana Naye miaka kadhaa na hajui hali yake....

Rafiki yangu ameingia kwenye ndoa akiwa na maumivu lakini akiwa hana uhakika kama Kweli Innocent amefuta picha na video zake zote kama walivyokubaliana au kuna siku tena atazitumia dhidi yake...

Anatamani angemiliki silaha au angekuwa na fedha atafute mafia akamalize kazi lakini YOTE hayo Yapo nje ya uwezo wake..

Ndugu zangu NEVER EVER SHARE YOUR NUDE PHOTOS AU VIDEOS KWA GHARAMA YOYOTE... HASA KWA MAHUSIANO HAYA YA NJE AU KABLA YA NDOA...

Huwezi jua ni kwa kiwango gani zitahifadhiwa na kesho kutumika dhidi yako, zikakufanya mtumwa na kukutia wasiwasi na mashaka!!!

Najiuliza siku Mume wake akiijua hii story ni vipi itakuwa ndoa ya rafiki yangu LILIAN!!!

POLE SANA LILIAN, kwa hakika uliifanya siri na hukutamani aijue yoyote lakini hakuna siri ya wawili na nisamehe nimeitoa hapa angalau kuwafunza na kuwanusuru wengine KWANI NINA HAKIKA KAMA UNGEPEWA NAFASI YA KUANZA UPYA USINGEFANYA YOTE ULIYOYAFANYA AWALI.

MUNGU AKUJAALIE NDOA YENYE HERI NA FANAKA, MPENDE SHEMEJI YANGU NA ISHI KWA FURAHA KWA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA YUPO KAMOJA NA WEWE.

Kaka zangu nawashauri ziheshimuni nyoyo za wale waliojitoa kwa ajili yenu
Pumbav sana hili jamaa, kwanza unasikia raha gani kusex na mwanamke ambaye hana feeling na wewe. Mm ninapicha za girlfriend wangu ila siwezi fanya ujinga huo hata anikosee kitu gani sana tu nitazifuta kwenye simu then inakuwa over
 
Kwamba wameisha wakunifanya niteteme wanaume wote hawa kweli niadhirike na mmoja??? Dhambi hiyo sifanyi
Nyie sii ndio mnalalamika kuwa wanaume wakuwapelekea moto wamepungua ukimpata unatakiwa ukae nae benet....
 
Nina pc za ex wangu na nilimpiga bila yeye kujua baada ya kuona kwamba yeye ni mkorofi nilizipiga kwaajili ya tahadhari
Safi sana ni vizuri kuwa na backup hiyo kwa mwanamke yeyote yule anaye kupa nyena
 
Mademu zangu hupenda kunirushia nudes zao au video wakikatika

Sema mimi siwezi mtushia mtu nazitunza kwenye simu yangu sina upuuzi wa kuzisambaza au kurushia wana . labda niwaonyeshe wana kwenye simu yangu nikiwepo nimeishika
Wee jamaa acha uchoyo bwana sambaza upendo
 
Sio mimi kabisa,, hata nikupende vipi sitoi k kwa ex ndo kanuni yangu,, ndo anitishe kwamba nitampa,,, never
Wadada wa hivi ndo unakuta walaini kwa ma-ex balaa.Ndo wale wa MUME WANGU KAINGIA,NTAKUPIGIA BAADAE-Weusi.
 
Ningekua mm ndio namuoa hata ningeona hzo picha nisingemuacha..kuna wanaokula mavi sijui huko mbeleni itakuaje.
 
Mungu amjalie kila lenye heri katika ndoa yake na kumtetea pia!!
Asante kwa ushauri mzuri!
 
Back
Top Bottom