Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
Umemaliza mkuu100% uko sahihi, nje ya hayo magari uwe umejipanga na una sababu nyingine ya kununua zaidi ya kujikomoa kwenye usafari, mfano: Sentimental value and such
HaswaaTanzaniani Toyota tu mengine unatafut presha
😆😆Tuwalazimishe ma baba levo waipitishe kauli yako iwe sheria! Angalau tutawakumbuka kwa hilo
Kabisa ni kuwasha na kusepa Toyota ni Legendary kwenye reliabilityNi kweli kabisa mkuu!, hapa Tanzania magari ambayo hayana stress ni Toyota tu.
Kwa Manual Car Ni Zipi bora MkuuEwe mtanzania mwenye kuhitaji gari BAJETI NDOGO ya mkononi kwa mtu kwa ushauri usijaribu kununua gari mkononi mwa mtanzania mwenzako isipokuwa kwa gari zifuatazo.
1. Toyota premio, Toyota allion, Toyota corolla x, corona premio, Axio, Toyota carina ( Mafundi tele, spare tele na cheap, zina mifumo rahisi ya gear box na engine)
2. Toyota ist, Toyota Runx, Toyota allex, Toyota spacio, Toyota Rumion, toyota vitz. ( fuel economy, mifumo rahisi, mafundi na spare za kutosha.
Pia neno langu sio SHARIA nimetoa ushauri kulingana na uzoefu wangu especially kwa wale wenye VIPATO vya chini.
KAma unanunua mkononi kwa mtu KAA MBALI NA
Anything BMW, Anything AUDI, SUBARU, Baadhi ya MAZDA, BENZ.
Narudia kusema neno langu sio sharia ni ushauri kutokana na uzoefu kama una kipato cha kawaida na ungependa gari yako iongozane na wewe kila sehemu sio ipaki kama pambo
View attachment 3518522
Mkuu kiukweli sina ujanja kwenye Budget friendly manual cars nimewahi kuendesha Rav 4 ya 1998 manual pekee kwahiyo sina ujuzi hapo.Kwa Manual Car Ni Zipi bora Mkuu
Mnaosema tusinunue magari used, wale matajir wanaobadilisha magari Kila baada ya miezi 6 watayapeleka wapi?
Nafikiri magari used usinunue bei sawa na bei ya sokoni. Mfano gari sokon ni 35M, ukiuziwa 10-12M baada ya kuikagua na fundi wa uhakika sio mbaya
Sawa sawaMkuu kiukweli sina ujanja kwenye Budget friendly manual cars nimewahi kuendesha Rav 4 ya 1998 manual pekee kwahiyo sina ujuzi hapo.
Yeah manual cars zina Real taste ya gari ila nadhani zimekuwa rare kwa gari ndogoSawa sawa
Maana Binafsi Automatic Sizionei Raha Sana Nikiwa Naendesha Ukilinganisha na Manual
Point yangu kubwa ilikuwa wenye kipato kidogo Mkuu NISSAN used kwa Tanzania utapata shida hasa XTRAIL, MURANO, FUGA, TEANA, PRIMERA na BLUE BIRD may be kama utaagiza japan lakini mkononi mwa watu ni maumivu Hasa MURANO, JUKE na XTRAIL utakabidhiwa gari yenye marekebisho yatakayo shtua moyo au kukutia umasikini kabisa hii ni kwa sababu magari haya yanahitaji Uangalizi wa mara kwa mara na wabongo wengi hawana habari Na gari zinazoweza kuvumilia wavivu wa service nyingi ni za toyotaHujaongea chochotr kuhusu NISSAN mkuu
Vp kuhusu handling yake pamoja na speed hasa highway!!? Maana nna mpango wa kuagiza 1st gen Rav 4 manual gearMkuu kiukweli sina ujanja kwenye Budget friendly manual cars nimewahi kuendesha Rav 4 ya 1998 manual pekee kwahiyo sina ujuzi hapo.
We’re on the same page. Auto siwezi kabisaSawa sawa
Maana Binafsi Automatic Sizionei Raha Sana Nikiwa Naendesha Ukilinganisha na Manual