Kila kitu kina limitation, na kila jamii ina tamaduni zake. Ndio maana hata unaambiwa una uhuru lakini jaribu tembea barabarani ukivuta bangi uone kama unao uhuru wa kiasi hicho. Hatua zisipochukuliwa si kwa serikali tu hata kwa jamii na wazazi wenyewe, tunaenda kutengeneza jamii ya kizazi ambacho ipo siku tutaanza kujiuliza tumefikaje hapa.Nyie ambao hampendi uhuru hamieni Korea Kaskazini, Afghanistan, Iran, China na nchi za mfano huo. Msitake kuwaweka watu wote kwenye chungu cha ujima, udikteta na ufashisti.
Wazazi wao wanaowapa hizo simu ndo wa hovyo.Tiktok kuna influence ya ajabu sana kwa vijana nimeshashuudia watoto wanafatilia hizo page sijui live nini za usagaji na ushoga. Wanaambiwa uzuri wa hayo mambo
Sasa kama hata hujui hizo athari sababu ya kusema hando hana akili umetoa wapi kaka, kasikilize alichosema kwanza upime mawazo yake then uje na mawazo yako sasa.Mfano wa hizo athari hasi zinazoletwa na mitandao ni zipi?
Hata bunduki haina shida wenye shida ni watumiaji ! Kwanini imetungiwa sheria ya matumizi na sio haki ya kila mtu kuwa nayo?Tik-tok haina shida wenye shida ni watumiaji...
Mitandao hiyohiyo unayosema haifai ndio ina waingizia pesa wamiliki...Si TikTok pekee hata upuuzi uitwao Instagram, Telegram, Facebook ni uozo mtupu.
JF, LinkedIn, Sky sports, Goal.com ndiyo Apps sahihi kidogo na Twitter.
Akili zako zinanipa mashaka kuna kitu unataka kusema ila unazunguka sanaNyie ambao hampendi uhuru hamieni Korea Kaskazini, Afghanistan, Iran, China na nchi za mfano huo. Msitake kuwaweka watu wote kwenye chungu cha ujima, udikteta na ufashisti.
Telegram ndo kuna biashara za kuuza nyuchi, usichanganye mamboTusipokuwa makini na mambo ya uhuru, tunatengeneza kizazi bomu kweli. Instagram ishamal;izana na mabinti maana asilimia kubwa sasa ni wadangaji wanatafuta maisha wanayoona wenzao wanayapost Instagram.
Hujaelewa, nimesema mabinti siku hizi wamegeuka wadangaji kwa sababu ya yale maisha ya instagram wanayoyaona wenzao wanaishi. Hawajui kutofautisha kipi kweli kipi uongo. Si telegram tu, tinder, escort na kwingineko wanauza na bei wameweka.Telegram ndo kuna biashara za kuuza nyuchi, usichanganye mambo
Tamaduni gani mpya ambazo hazikufai au hazifai kwa jamii yako unaona zimeletwa na mitandai ya kijamii hadi utake mitandao ifungiwe??Kila kitu kina limitation, na kila jamii ina tamaduni zake. Ndio maana hata unaambiwa una uhuru lakini jaribu tembea barabarani ukivuta bangi uone kama unao uhuru wa kiasi hicho. Hatua zisipochukuliwa si kwa serikali tu hata kwa jamii na wazazi wenyewe, tunaenda kutengeneza jamii ya kizazi ambacho ipo siku tutaanza kujiuliza tumefikaje hapa.
Tayari kuna sheria nyingi za kudhibiti vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, wakati wengine wanaona hizi sheria zimepitiliza nyie wengine mnafikiri hazitoshi mnataka mitandao kufungiwa kabisa!Hata bunduki haina shida wenye shida ni watumiaji ! Kwanini imetungiwa sheria ya matumizi na sio haki ya kila mtu kuwa nayo?
Acha niitwe mshamba Wala sijawahi ingia hukoTikTok haifai
Quora tena???moja ya application bora kwangu kwa kujifunza aiseeeTiktok na Quora kuna watu wanajifanya wana conscious kwa kushadadia mambo ya kipumbavu.
Quora ni hovyo haswa jews anaandika uzi kusapot mambo ya ushoga na madawa ya kulevya.
Wakati wanaunda Tik-tok kwani ilikuwa inajulikana kwamba mtandao huo utaleta mmomonyoko wa maadili?Hata bunduki haina shida wenye shida ni watumiaji ! Kwanini imetungiwa sheria ya matumizi na sio haki ya kila mtu kuwa nayo?
Yule akiona kitu kinakuja juu ambacho kinatoka nje lazima atoke na porojo nyingi,watu huamini maneno yao ref:huaweiMarekani hawajaribu kuzuia tiktok kwa sababu za maadili, ni uongo mkubwa na upotoshaji unaofanywa na huyo hando.
Tiktok inaandamwa Marekani kwa sababu za kisiasa tu.