Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hata Tik- tok haina shida, wenye shida ni watumiaji.Quora tena???moja ya application bora kwangu kwa kujifunza aiseee
Watu wanataka kufanya generalization kwamba kwa vile tik-tok haikubaliki na wengi basi mtandao mzima haufai.
Kama huyo alivyo sema Quora haifai, pengine yeye binafsi ndio anaona haifai
ila anafanya generalization kwamba Quora haifai kwa wote.
Sikweli, kuna vingine vizuri vya kujifunza kwenye tik-tok.