Ushauri wa haraka: Kuku wameanza kufa kwa kasi

Chanjo muhimu sana
Kuna ile ya 3 in one
Na kuna ya mara tatu kwa awamu,
Tatu ni One niliona YOU TUBE baadhi wanaisifu wengine wanasema ni bomu hakuna kitu, je umewahi kuitumia?
 
Tatu ni One niliona YOU TUBE baadhi wanaisifu wengine wanasema ni bomu hakuna kitu, je umewahi kuitumia?
Nmeitumia na kuku wako poa tuu till now ...
Ndio nataka kujua kuhusu izo zingine compared na hii
 
Gongo tena!! acheni kabisa mizaha kwenye mifugo alafu akili ya kuambiwa changanya na zako sio kila unaweza kupokea kikawa kitu sahii kwako
 
Gongo tena!! acheni kabisa mizaha kwenye mifugo alafu akili ya kuambiwa changanya na zako sio kila unaweza kupokea kikawa kitu sahii kwako
Yaa zakuambiwa changanya na zako ndiyo hivi
 
Gongo tena!! acheni kabisa mizaha kwenye mifugo alafu akili ya kuambiwa changanya na zako sio kila unaweza kupokea kikawa kitu sahii kwako
Kama hujui kaa kimya,kwanza unaonekana hata kuku huna
 
kuku wa kienyeji hawakai ndani,hasa vifaranga ,usipoangalia vitakufa vyote
viache vizurure
 
Mi nakushauri uuze kuku waliobaki Kisha ujipange tena.

Akifa kuku mmoja tu jua imetoka hiyo.Hakuna kuku mwingine atakayepona hapo.
 
Siwezi kutumia nguvu kubwa kubisha na wewe hacha kukaza fuvu mjomba naishi kwa kula na kunywa kwa kaz hii hukisema sina kuku ni sawa maana sio kaz kukusibitishia.
 
Jf aliyeturoga kafa, yaani mpk mada za kuku watu wana makasiriko utasema wako chit chat [emoji23][emoji23]
 
Ni kweli mkuu sijawahi kuwapa chanjo.

Lakini nikiwapa kwa muda huu si sawa itafanya kazi tu mkuu
Hakikisha wamepona kwanza kwa kuwapa antibiotics kama vile OTC ,ndipo uwape chanjo bila hivyo watakufa zaidi.
 
Mbona umeenda mbali ndug yang hapa hakuna yoyote aliye logwa tunajalibu tu kuelimisha na kujenga hoja sina makasiliko na mtu mim...sababu yesu yuko ndani yang
 
Umuhimu pia kuzingatia na chanjo za kuku,hata mm nilipoteza kuku kadha mwanzoni,lakini nikajitahidi kua zingatia chanjo kwenye dawa Mimi leva,amprolin-300,limoxin WS,na ultraxide(hi ni ya utitiri,)sema Mimi nachanganya kwenye maji zikiwa zote
 
Dawa nzuri ya mafua kwa kuku ni kuwachanganyia PILIPILI kwenye maji yao ya kunywa. Ikiwa kuna mmoja kazidiwa sana mpake pilipili kwenye mdomo wake, hii dawa ni siku moja tu kesho yake wote wanapona. Hii ndo dawa nayotumia kwa kuku wangu
 
Zingatia usiuguze kuku namaanisha chinja kula nyama,kuku 1 mtenge na kuku wazima awe Wakumfanyia matibabu ili upate tiba bila kuambukiza wengine.
 
Zingatia usiuguze kuku namaanisha chinja kula nyama,kuku 1 mtenge na kuku wazima awe Wakumfanyia matibabu ili upate tiba bila kuambukiza wengine.
Asante kwa ushauri mkuu
 
Dawa nzuri ya mafua kwa kuku ni kuwachanganyia PILIPILI kwenye maji yao ya kunywa. Ikiwa kuna mmoja kazidiwa sana mpake pilipili kwenye mdomo wake, hii dawa ni siku moja tu kesho yake wote wanapona. Hii ndo dawa nayotumia kwa kuku wangu
Pilipili kichaa au jamii ya pilipili zote kama

kichaa
au pilipili mbuzi? (pilipili ya mwendokasi)

Au ni ipi zaidi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…