shukran sanaUmuhimu pia kuzingatia na chanjo za kuku,hata mm nilipoteza kuku kadha mwanzoni,lakini nikajitahidi kua zingatia chanjo kwenye dawa Mimi leva,amprolin-300,limoxin WS,na ultraxide(hi ni ya utitiri,)sema Mimi nachanganya kwenye maji zikiwa zote
Isiwe hoho tu,Pilipili kichaa au jamii ya pilipili zote kama
kichaa
au pilipili mbuzi? (pilipili ya mwendokasi)
Au ni ipi zaidi mkuu
Hakika mkuu maumivu yakupoteza kuku huwa inauma sana sema ndio hvyoNashukru sana kaka kwa ushauri wako.
Kuna muda unahisi kuku wamekuwa ndugu zako so ukipoteza hata 1 unafeel maumivu na unabakia kuwaza hatma ya wengine waliobakia.
Pia tuzingatie sana na madawa ya kienyeji yaliyotuzunguka majumbaniDawa nzuri ya mafua kwa kuku ni kuwachanganyia PILIPILI kwenye maji yao ya kunywa. Ikiwa kuna mmoja kazidiwa sana mpake pilipili kwenye mdomo wake, hii dawa ni siku moja tu kesho yake wote wanapona. Hii ndo dawa nayotumia kwa kuku wangu
Ndugu nami ni mfugaji. Nauliza kwa kila lita ya maji inahitajika kiasi gani cha gongo na je gongo ile namba moja au uliyopozwa makariWanyweshe gongo...
Kabla hujanidhihaki wala kunitukana,muulze mfugaji mwenzio kwanza...
Narudia tena...wanyweshe gongo
Kuku anaekoloma ni ugonjwa ganiDawa nzuri ya mafua kwa kuku ni kuwachanganyia PILIPILI kwenye maji yao ya kunywa. Ikiwa kuna mmoja kazidiwa sana mpake pilipili kwenye mdomo wake, hii dawa ni siku moja tu kesho yake wote wanapona. Hii ndo dawa nayotumia kwa kuku wangu
Huwa wangu nawawekea nusu lita nawawekea kwenye maji ya lita moja au nusu litaNdugu nami ni mfugaji. Nauliza kwa kila lita ya maji inahitajika kiasi gani cha gongo na je gongo ile namba moja au uliyopozwa makari
Watu tumetumia gongo miaka nenda rudi kutibu kuku we unasema utani?! Anyway, endeleeni na hayo madawa yenu ya wazungu muone kama mtatoboa. Miafrika sijui tupoje!😠Usiweke utani kwenye mambo ya maendeleo.
AsanteHuwa wangu nawawekea nusu lita nawawekea kwenye maji ya lita moja au nusu lita
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alikula nyama wotepole sana mkuu, ulisolve tatizo?