Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
Umofia kwenu wakuu
Ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto.
Kweli hii ni haki mtoto wangu mwenyew nitoe hela yote hyo ushauri unahitajika wakuu.nb mahitaji na matumizi nlkw natuma.