Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Mama mtoto lazima apandikize chuki baba yako alikukataa...Kausha tu mtoto akikua atamtafta baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mtoto lazima apandikize chuki baba yako alikukataa...Kausha tu mtoto akikua atamtafta baba
Umofia kwenu wakuu ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto.
Kweli hii ni haki mtoto wangu mwenyew nitoe hela yote hyo ushauri unahitajika wakuu.nb mahitaji na matumizi nlkw natuma.
Kama mtoto ni wakiume haitokuwa tatizo hata akipandikiza chuki ila kam wakike ndo itakuwa changamotoMama mtoto lazima apandikize chuki baba yako alikukataa...