Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
Ngoja wajeUmofia kwenu wakuu ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti wa kichaga nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtt kweli hii ni haki mtoto wangu mwenyew nitoe hela yote hyo ushauri unahitajika wakuu.nb mahitaji na matumizi nlkw natuma .
Mtoto alikua anakula mawe? Unapenda kitonga eeh..? Toa hela.. imagine wew ndo ungekua mzaz wa huyo dada uliyemtia mimba.. wamekutunzia mimba na mtoto had amezaliwa... Toa helaaaaUmofia kwenu wakuu ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti wa kichaga nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtt kweli hii ni haki mtoto wangu mwenyew nitoe hela yote hyo ushauri unahitajika wakuu.nb mahitaji na matumizi nlkw natuma .
Hiyo mbona kidogoUmofia kwenu wakuu ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto.
Kweli hii ni haki mtoto wangu mwenyew nitoe hela yote hyo ushauri unahitajika wakuu.nb mahitaji na matumizi nlkw natuma.
Naunga mkono hoja😁Mtoto alikua anakula mawe?.. unapenda kitonga eeh..? Toa hela.. imagine wew ndo ungekua mzaz wa huyo dada uliyemtia mimba.. wamekutunzia mimba na mtoto had amezaliwa... Toa helaaaa
Umkomboeje?Ana umri gani?Umofia kwenu wakuu ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto.
Kweli hii ni haki mtoto wangu mwenyew nitoe hela yote hyo ushauri unahitajika wakuu.nb mahitaji na matumizi nlkw natuma.
Sasa hili linahitaji ushauri wa haraka?Umofia kwenu wakuu ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto.
Kweli hii ni haki mtoto wangu mwenyew nitoe hela yote hyo ushauri unahitajika wakuu.nb mahitaji na matumizi nlkw natuma.