Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

Ndizi pwani kama bagamoyo inaota?
nikitaka miche ya mzuzu nipande pwani nitaitoa wapi?
nadhani itaota maana zanzibar inaota. kwa pwani sijui unakoweza kuipata. labda kamw sua wanafanya tissue culture (kuotesha kwenye chupa).
 
Mkuu Malila
Nimekuwa nikifanya utafiti juu hili zao kama linakubali ukanda wa kati na Pwani kama Dodoma na Pwani yote
Je zao hili linataka nini hasa ni hali ya hewa ya ubaridi au ni maji?
Mimi Nina shamba Turiani ( siyo milimani Ni ukanda wa chini)kule vipi itaweza kukubali?
 
Ndizi gani unamaanisha sio kila kila ndizi ina soka
 
Ndizi gani unamaanisha sio kila kila ndizi ina soka
ni kweli mkuu. mi nimelima mzuzu(french plantain) ambayo bei yake inarange 12,000 hadi 18,000. bei inafikaga hadi 30,000. kwa rejareja. juzi kati nilienda sokoni nikakuta mikungu midogo nikauliza wakasema kuna ya 7,000, 10,000 na 17,000. ya 7000 ilikuwa imeisha.
 
Soko gani hili mkuu, Mahakama ya ndizi, mabibo?
 
Mkuu nimelima ndizi mzuzu tupu (ingawa kuna chache sana ni zile ndizi nene zinazaa kati ya 10-20 tu), tena zile ambazo ndani kama nyekundu hivi. Ni Morogoro.
hongera sana mkuu. hizo kubwa zinaitwa french horn, kiswahili mkonge wa tembo na wanyakyusa wanaita Ngego. shamba zima una miche mingapi? mi nimefika 1400. natafuta fund niongeze eneo nifike walau 5,000.
 
mkuu miche unaipata wapi?

wewe huwa unaipata wapi?
 
[emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…