Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu. Kuna level ikifika, hutatamani uondoke shambani namna inavyopendeza. Kilimo cha migomba kina raha yake asee.hiyo ya mbele imepandwa mwezi wa pili.
View attachment 326938
hiyo ya mbele imepandwa mwezi wa pili.
View attachment 326938
mshale zisijui sana ila ndiyo wanapikiaga mtori. mzuzu ni zile kubwa ambazo zinapikwa zikiiava au zikiwa mbichi. picha ya mzuzu.Kiongozi umelimia wapi huko, na ardhi bei ikoje,,, pia nataka kujua tofauti ya ndizi mzuzu na mshale
mshale zisijui sana ila ndiyo wanapikiaga mtori. mzuzu ni zile kubwa ambazo zinapikwa zikiiava au zikiwa mbichi. picha ya mzuzu.
View attachment 332282
Hongera sana mkuu. God bless you. Will join you soonhii nilipanda tar 14 mwezi wa tisa 2015 na hizi picha ni z tarehe 21/3/2016. ni ina miezi sita.
View attachment 335244