Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

2016-05-20 11.58.05.jpg
 
wakuu wapi ntapata mkopo nitanue hiki kishamba? nimeajiriwa kwa mhindi hivyo nategemea kulipa kama salaried employee na shamba litakuwa nyongeza kwenye collateral.
 
Mkoa wa Kagera kihistoria ni sehemu iliyojulikana kwa kuzalisha zao la Ndizi kwa wingi.

Hii ilitokana na hali ya hewa pamoja na uoto wa sehemu mkoa huo ulipo.

Leo hii katika baadhi ya wilaya zake zilizosifika kwa ndizi kama vile Bukoba vijijini, na Muleba, hazizalishi tena, hii imebaki kwa kiasi kidogo wilaya ya Karagwe.

Mimea ya ndizi {migomba} imekumbwa na magonjwa, ambayo ni pigo kubwa kwa wazawa waliotumia zao hilo kama biashara na mlo.

TUFANYEJE KUKABILIANA NA JANGA HILI?
 
Wakuu nnatamani sana nilime vitunguu ila ardhi ya eneo nililopo ni milima sana na hakuna source ya maji.....ushaur wakuu..nifanyeje hapo niko kilwa
 
hii niliikuta hapahapa. inaitwa ''haradoni" wanapikiaga vibama.
2016-07-05 13.29.17.jpg
 
ni mzuzu. wazungu wanaita French plantain.
Mzuzu naupata sana..kuna aina nyingne ya mzuzu inaitwa mkonge wa tembo unaujua??inatoa ndizi kubwa sana na ndefu mno kuliko ndiz nyingne mkuu.nmeziona hapa kilwa natafuta hyo mbegu kwa udi na uvumba
 
Mzuzu naupata sana..kuna aina nyingne ya mzuzu inaitwa mkonge wa tembo unaujua??inatoa ndizi kubwa sana na ndefu mno kuliko ndiz nyingne mkuu.nmeziona hapa kilwa natafuta hyo mbegu kwa udi na uvumba
naipata hiyyo. wanaita french horns au horns. zinakuwa kubwa sana ila zinakuwa chache.
 
Back
Top Bottom