ni mzuzu. wazungu wanaita French plantain.Hiyo ni migomba ya ndizi aina gani mkuu??
Mzuzu naupata sana..kuna aina nyingne ya mzuzu inaitwa mkonge wa tembo unaujua??inatoa ndizi kubwa sana na ndefu mno kuliko ndiz nyingne mkuu.nmeziona hapa kilwa natafuta hyo mbegu kwa udi na uvumbani mzuzu. wazungu wanaita French plantain.
naipata hiyyo. wanaita french horns au horns. zinakuwa kubwa sana ila zinakuwa chache.Mzuzu naupata sana..kuna aina nyingne ya mzuzu inaitwa mkonge wa tembo unaujua??inatoa ndizi kubwa sana na ndefu mno kuliko ndiz nyingne mkuu.nmeziona hapa kilwa natafuta hyo mbegu kwa udi na uvumba
Kama peponi
Natamani sana hii kitu