Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

Unachosema ndio ukweli angalau kwa wachimbaji wadogo tunaweza kuwadhibiti serikali ikanunua. Kwa wakubwa ni shughuli pevu
 
Sidhani kama inawezekana ku-sabotage maendeleo kama serikali imeamua kufanya kitu
 
Kikwete ana ndoto mbili muhimu sanan kuhusu Tanzania, Mwenyezi Mungu amsaidie zipate kutimia.

1) Tanzania iwe ni nchi ya utalii wa afya. Yaani zijae hospitali za utaalaam wa kila aina.

2) Tanzania iwe kitovu cha elimu na yafita Africa.

Alishaanza vizuri sana huko kwa Jakaya Heart Institute, Mloganzila na hospitali ya Chuo Kikuu Dodoma.

Bila kuwa na uchumi mzuri, hizo ndoto zitachukuwa muda mrefu sana kutimia. Inawezekana.
 
Nongwa iko wapi kwa Wazungu kuchimba na kwenda kuiuza kwenye masoko yao?
Hujamwelewa faiza. Ukishakua na dhahabu ni sawa na una dola ya marekani au mafuta. Uchumi wa dunia unapotetereka huna wasiwasi.popote duniani unapokwenda na dhahabu yako unapokelewa kama mfalme. Hamuangalii hata masoko ya shares huko duniani yanavyofanya biashara.?
 
Sana ninakubaliana na wewe Damkubwa FaizaFoxy 💯 Dkt Kikwete ni jabali la siasa na maendeleo. Yaani kama angekuwa rais kwa miaka hata 15 hakika Dubai tungeikuta. Mungu ambariki sana Dkt Kikwete
 
Kiukwel wenue uelew wa wa haya mambo ni wachche sana maana watu wengi tunajua dhaabu ukishaipata tu unauza ovyo, na hili kosa liko kwa nchi yetu. BOT inapaswa kuanza mchakato wa kuanz kununua dhaabu na kuiuza yenyew katika mataifa ya mbali ili kupata fedha za kigeni na kukuza uchumi kwa namna moja ama nyingne kupata fedha za kigeni tusikalili tu kuwa katika vivutio tu pia hata tutengeneze mchakato kwa BOT kupata fedha za kigeni kupitia dhaabu. Ahxnt
 
Sidhani kama inawezekana ku-sabotage maendeleo kama serikali imeamua kufanya kitu
Wanakuua ukijifanya kupindisha. Rejea enzi za mzee Malecela. Hata hili la hospital ya Appolo wahuni waliharibu kabisa wakagoma ili watu wafe wafaidike
 
Haya hayatokei Kwa Bahati mbaya,

Mungu anatuondokea utawala wa CCCM Kwa njia tusoidhania.

Mlipokuwa mnakabidhi migodi yote bila kudai share ya 50/50 mlijali matumbo yenu na Hongo ya compaign pekee,

RANGI zote mtaona!!
 

Tuanze na katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi,mawazo yako ni mazuri tuyaweke kwenye katiba mpya.
 
Magufuli aliona mbali ila huyu bibi yenu akili ya uchumi sifuri, yeye ni bibi tozo, mtozeni, bibi mkakae na bibi kutizamia, nyakati za hovyo wa Suriname wanapitia 🤣🤣🤣
 
Mimi naamini tukiwa na reserve ya dhahabu ya kutosha, hata pesa zetu zitakuwa na thamani ya kufanyiwa biasshara duniani (Easily convertible currency).
 
Ndugu Faiza Foxy, Nasikitika unatoa ushauri uliopitwa na wakati. Nadhani bado unaishi zama za Nyerere na enzi za ucommunist . Sasa hivi kila kitu kinasukumwa na nguvu ya soko, wewe unawaza itungwe Sheria ya kuzuia watu wasiuze wanakotaka.!! Dhahabu yenu ni yenu kwasababu inachimbwa kwenye ardhi yenu, lakini kiuhalisia siyo yenu kwasababu yote mlishaibinafisisha kwa wageni.
 
bank kuu wakitaka kufanya hivyo, wanunue kwa gharama ile ambayo mataifa ya nje yangenunua, watu kwa mfano tukija hata kwenye tanzanite, wanauza kenya na india kwa magendo kwasababu kule watapata bei kubwa kuliko ambayo bank kuu ingenunua. ila tungekuwa na hazina ya dhahabu, tungekuwa na pesa yenye nguvu tu. nchi kama UK na ufaransa, wanayo reserve kubwa sana ya dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…