Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Mbona mnaongea kana kwamba tumepata uhuru leo juma nne,kama unakili kuvunja katiba mbovu kwaiyo ni sababu ya kutokupata katimpya,vipi kuiba hizo dhaabu itashindikana nini?Katiba na tume huru havitakusaidia kama hatujabadili mindset za viongozi wetu. Unadhani ukibadili katiba na tume ndio viongozi watashindwa kuvunja hiyo katiba? Mara ngapi magufuli kavunja katiba na hakuna wa kumwambia kitu. Upinzani msidhani katiba ikibadilishwa CCM ndio itaondoka madarakani mnajidanganya. Katiba itabadilika na tume itabadilika lakini kama CCM hawataki kuachia madaraka mtabaki kumshtakia Mungu tu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
ccm lazima iondoke muda wake umekwisha au indolewe,katba sio kwajili ya uchaguzi peke hata hizo dhaaba bila katiba ni story,katiba ni sio ombi.