Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo wtakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.

Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni. Uchumi tunao, tunaukalia.

Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.

Niliwahi kuanza kundika hivi:

- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Hiyo pesa ya kununua dhahabu mnayo? Au ndo mtaanza mbanga zenu kama za koroshow!!
 
Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo wtakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.

Nadhani TEC wametoa somo na limeanza kuwaingia watu. Lakini hili labda tusubiri awamu ya saba, Sasa hivi tunaambiwa hatuwezi kujisimamia, tutafute wawekezaji, maana sisi tunaiba (kama bandari walivyoambiwa)
 
Hatari sana !! Watakuwa wakinunua kakumba kisha waje waseme wamekula hasara !!
Shida ni serikali kujiingiza kwenye biashara ambayo wanadamu washatoka jasho la damu kuipata yenyewe inakuja kuwanyang'anya kwa nguvu kwa lazima

Huo tunaita government robbery

ni wizi kama wizi mwingine!

Dhahabu ipo chini ya ardhi,serikali ikachimbe isafishe ikauze yenyewe ipate hizo hela inazozitaka!

Haiwezi

na ikienda kwa sera hizi wananchi wataenda lima wataacha mashimo wazi ije ichimbe yenyewe kitu ambacho haitaweza kamwe!

Hata kale kakodi kadogo ilikua inapata ndio imekufa!

Serikali zinaongozwa na majitu majinga kama haya haya akina Faizafoxy,useless!

They think kwavile wapo serikalini then their brains will never do wrong!
 
Kwakweli kwa hili inasikitisha sana. Tatizo naloliona wakubwa wanawaogopa hao tuliowakodishia migodi ya dhahabu. Magufuli alitingisha kidogo nadhani akawashindwa je nani ataweza? Lakini naamini atatokea atakaeweza.
Hili jambo itawezekana km ikiamua Africa nzima. But nchi Moja watatumia mamluki hata WA nchi jirani tuingie vitani ili tu kuwe vurumai
 
Shida ni serikali kujiingiza kwenye biashara ambayo wanadamu washatoka jasho la damu kuipata yenyewe inakuja kuwanyang'anya kwa nguvu kwa lazima

Huo tunaita government robbery

ni wizi kama wizi mwingine!

Dhahabu ipo chini ya ardhi,serikali ikachimbe isafishe ikauze yenyewe ipate hizo hela inazozitaka!

Haiwezi

na ikienda kwa sera hizi wananchi wataenda lima wataacha mashimo wazi ije ichimbe yenyewe kitu ambacho haitaweza kamwe!

Hata kale kakodi kadogo ilikua inapata ndio imekufa!

Serikali zinaongozwa na majitu majinga kama haya haya akina Faizafoxy,useless!

They think kwavile wapo serikalini then their brains will never do wrong!
Hii kitu haiwezekani na wao wanajua hivyo !!
 
Usiamini serikali haiwezi kutapeliwa labda kama walifanya kwa makusudi . Serikali yenye tume ya madini , geology n.k hiyo haiwezekani
serikali haiwezi tapeliwa?

ndugu!

naona watu tumekua conditioned tangu kindergarten kwamba serikali ni dude fulani hivi next to God!

not really

hakuna organization inefficient kama governments!

organizations zinazoongozwa vizuri na efficient ni private companies starting with Starter Ups,then medium enterpirses,then large

halafu mind you,serikali zinaongozwa na very low quality personnel!

yaani talent per capita ndani ya serikali ni worse than talent per capita kwenye private enterprises.You know why?private enterprises know how to spot,recruit na ku-retain and compensate talent more than government will ever do!.....

government ya Tanzania ni even worse,ndio watu wenye akili za Faizafoxy wapo humo wanakuja na sera za nationalization ya jasho la wanadamu wengine kwa lazima....

Leo kaja na sera ya kuiba dhahabu za watu,akimaliza hela isipomtosha ataenda kwenye viwanda vya watu akimaliza atavamia maduka binafsi ya watu,wakitoka hapo watavamia viofisi vya watu.....jambazi ni jambazi regardless
 
N

Hayo ni mawazo yako. Binadamu ni wale wale awe anafanya kazi private au government we all share the common behaviour.
 
Ni maajabu sana, yaani umasikini mpaka kwenye fuvu
Tumepiga kelele sana kuhusu hili la kuwa na Gold reserves lakini wapi

Kuna nchi hawachimbi dhahabu wala hawana kabisa

Bei inao toka BOT iko chini ukiangalia na Market price ya dhahabu nje. BOT iki toa bei nzuri utakuja kuona 'Black Market' tena, labda kama una adopt command economy kama mwendazake, ambao imesha pita na wakati tuko kwenye 'free market economy' unauza pale ambapo unapata faida kubwa.
Nimekuelewa, ukiwa na reserve kubwa ya dhahabu unakuwa na nguvu ya kupanga bei, kwa kuiuza au kuzuwia kuiuza upendavyo.

Tazama Saudi Arabia wanavyotamba na oil yao, wanamuwa wao wauze kiasi kipi na kwa bei ipi.
 
Ni economic strategy nzuri kuifanya tanzania kua price maker wa dhabu sio kua price takers katika soko la dunia shilling ya Tanzania itapanda thamani automatically kwasbb itakua backed up with gold reserve........ila politically utakosa kura za raia kwasbb maisha na huduma kwa raia wa kawaida itakua juu, na hamna Raisi atakae risk kukosa kura, bora atudaganye na plastic/fragile economy za kujenga flyovers na madaraja wakati uchumi uko hoi, ili apate kura za raia.
 
Dhahabu unadhani haichimbwi mrangi? Wachimbaji wadogo wanapata sana dhahabu na serikaki ina uwezo wa ku collect ya kutosha sana tuu kwa ajili ya kuitumia kama fedha za kigeni .ni kwamba tu bado naona serikali haijaweka nia ya dhati na mkazo kwenye uchumi huu wa vito. Sisi ni matajiri sanaa.
Maskini hata dhahabu huijui
 
BOT najuwa tu tukiendage kuchoma dhahabu wanatukata % yao
emoji1.png

Ova
Hili ndio tatizo la umasikini wa akili
Yaani wanawaibia wananchi
Algeria wana 174 metric tons of Gold reserves na wananchi wake sio matajiri lakini nchi ina uchumi mzuri

Sisi nadhani tukianza kuweka lazima wakubwa waweke mawe ya rangi ya dhahabu
Nimekuelewa, ukiwa na reserve kubwa ya dhahabu unakuwa na nguvu ya kupanga bei, kwa kuiuza au kuzuwia kuiuza upendavyo.

Tazama Saudi Arabia wanavyotamba na oil yao, wanamuwa wao wauze kiasi kipi na kwa bei ipi.
Haswa ni kweli KSA wanaamua wanavyotaka kwa mafuta yao
Ila sisi tunakuwa kama rasilimali zetu waliwekeza wazungu
 
Hata wakomunisti waliacha mambo kama hayo ya kulazimisha soko au bei, acha wachimbaji wauze wanapotaka na BOT washindane kama wanunuzi wengine, wakitoa bei nzuri watapata dhahabu yote wanayotaka
 
N

Hayo ni mawazo yako. Binadamu ni wale wale awe anafanya kazi private au government we all share the common behaviour.
Binadamu sio sawa mzee

Ndio maana darasani kuna anaepata A na mwingine F

Ndio maana kwenye marathon race kuna wa kwanza na wa mwisho

Ndio maana kuna wenye talent na wasio na talent

Sekta binafsi inajua namna ya kutafuta,kuajiri ,kulipa na ku-retain talent more than public sector...thats a FACT!

Ndio maana serikalini wapo wengine waliopaataga F shule!

Hutaki andamana mpaka miguu ichubuke!
 
Back
Top Bottom