Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

Ayaa buzwag je
Buzwagi , tulawaka sijui bulyanhulu hao wote wapo chini ya Barrick gold corporation Canada. Unamkumbuka yule mzungu alikuja kuongea na magufuli mark Bristow ndio kiongozi wao wapo tangu miaka ya 90 hapa bongo wanachimba dhahabu.
 
Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.

Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.

Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.

Niliwahi kuanza kundika hivi:

- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Huu mchango wako chanya uwe ktk nyanja zote. Za maliasili. Hadi ktk bandari. Siyo unabagua.
 
Kwa ufupi madini yameanza kuchimbwa hapa kwetu kabla hata hatujapata uhuru kwahiyo kama ni mizizi imejikita haswaa tupambane tu kama tutaweza.
 
Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.

Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.

Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.

Niliwahi kuanza kundika hivi:

- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Kuna una akili kubwa tu lakini pia ni mtaalam wa kujitoa ufahamu linapokuja suala la DP World!!
 
Ndugu Faiza Foxy, Nasikitika unatoa ushauri uliopitwa na wakati. Nadhani bado unaishi zama za Nyerere na enzi za ucommunist . Sasa hivi kila kitu kinasukumwa na nguvu ya soko, wewe unawaza itungwe Sheria ya kuzuia watu wasiuze wanakotaka.!! Dhahabu yenu ni yenu kwasababu inachimbwa kwenye ardhi yenu, lakini kiuhalisia siyo yenu kwasababu yote mlishaibinafisisha kwa wageni.
Watu naive ndiyo huamini kuwa mambo yanaendeshwa kwa nguvu ya soko.
 
Lengo langu nikukueleza kuwa mafanikio siyo lazima uwe na A darasani
Sasa unauliza madevu kwa Osama si lazima utayakuta?

Ni kama useme "mwanadamu lazima anye"....

Haina haja ya hata kusema maana viumbe hai lazima vinye kutoa uchafu tumboni,otherwise lazima kife!

Huwezi ongea kitu obvious hivyo ukaona kama umeongea kitu cha maana!

Halafu punguza chuki na wanaopata A,it happens wana akili hizo,hawajajichagua!

Kama wewe una pata F kuna siku utawahitaji waliopata A wakufanyie operatio ya cancer uweze kupona ndugu!

Ni counter productive kukaa hapa na kuanza kuwasimanga waliopata A shule kwa wewe kusema hawawezi kua Matajiri

Kumbe tunategemeana

Ni kama aliepata A akae hapa kuwasema vibaya walioishia la 7 wakati atawahitaji hao hao wamuoshee gari lake au kumchimbia mitaro yake au kumfanyia kazi kadhaa ili civilization iweze kuendelea maana bila wao huyo wa A au tajiri kama wewe hamuwezi kuishi sawa sawa

Punguzeni umatabaka ya kis3nge namna hii
 
ANamaanisha kwamba je bot ana hela za kununua dhahabu kwa hao wachimbaji
Si inachapa tu pesa na kwenda kununua dhahabu. Tena kufanya waiuzie haraka hata kodi wasitozwe. Tofauti itakuwa kwa wachimbaji wa kubwa wanaotaka kuuza kwa dola.
 
Unajuwa maana ya wanunue na wauze wao?

Kama ulikuwa huelewi hiyo ndiyo maana ya Biashara.

Bia = uza, shara = nunuwa.

Kwa Kiarabu rasmi kabisa, ambacho ndipo Kiswahili kiliilipata neno hilo.
BOT itajipangia bei mseleleko ? Watendaji na waliopewa mamlaka kwenye hili taifa wana janjaa janjaa nyinyi.. Bora watu waendelee export mzigo huko dubai na uingeleza pamoja na uswizi
 
Hili linawezekana kufanyika na kufanikiwa kwa asilimia 💯 lakini linategemea sana sera zetu za fedha na uchumi pale benki kuu wanalenga nini.
Ikumbukwe kuwa miaka ya nyuma tulikuwa na akiba ya dhahabu na kama nakumbuka vizuri, ile "Strong Room" iliyokuwa inatunzwa dhahabu "iliungua moto" ... Fikiria chumba cha zege kinaunguaje? ... Dhahabu iliyokuwemo mle iliyeyuka hadi leo.

Matamanio ya Kikwete hayatofautiani na yale ya baba wa taifa, aliyesema kuwa mali zetu za asili kama wakati ule hakukuwa na watu wenye akili ya kuzichimba ni bora zibaki ardhini Kwani hazitaoza.

Mipango mizuri ya maendeleo hufanywa na watu, tulionao wengi wamekaa kifisadi zaidi na hawako tayari kutumikia nchi zaidi kuliko maslahi binafsi.

Nchi zote kubwa na tajiri hapa Duniani zina akiba ya dhahabu ya kutisha ingawa hawana machimbo. Inachekesha kusikia Benki Kuu ikijitapa kuwa na hazina ya Dollar za kutosha manunuzi ya miezi 4-6.... Kwa nini isiwe kwenye mali halisi ambayo ni dhahabu, Jawabu ni kukumbatia wizi na ufisadi ngazi ya Taifa.
 
B
Ndugu Faiza Foxy, Nasikitika unatoa ushauri uliopitwa na wakati. Nadhani bado unaishi zama za Nyerere na enzi za ucommunist . Sasa hivi kila kitu kinasukumwa na nguvu ya soko, wewe unawaza itungwe Sheria ya kuzuia watu wasiuze wanakotaka.!! Dhahabu yenu ni yenu kwasababu inachimbwa kwenye ardhi yenu, lakini kiuhalisia siyo yenu kwasababu yote mlishaibinafisisha kwa wageni.
Benki Kuu inatakiwa inunue dhahabu, iwe hiyo inayochimbwa hapa kwetu au kokote inakouzwa ili nchi iwe na akiba ya dhahabu badala ya fedha za kigeni ... Siyo kutunga sheria ya kuzuia ununuzi wa dhahabu, au kuipendelea Serikali, nadhani umeelewa isivyo.
 
Sana ninakubaliana na wewe Damkubwa FaizaFoxy [emoji817] Dkt Kikwete ni jabali la siasa na maendeleo. Yaani kama angekuwa rais kwa miaka hata 15 hakika Dubai tungeikuta. Mungu ambariki sana Dkt Kikwete

Huu sasa ni uwongo wa wazi,eti angetawala miaka 15 Dubai tungeikuta.JK ametawala miaka 10 yote hatukuwahi hata kufikia 1/16 ya Dubai,hiyo miaka 5 ungemuongezea ndiyo tungeifikia Dubai.Hata kama ni kumsifia na yeye akisoma hapa atajua mnamnafikia.
 
Yaani nilimaanisha aongezewe 15. Yaani ingewezekana tubadili katiba ili arudi JK awe rais. Bado ana nguvu.
 
Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.

Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.

Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.

Niliwahi kuanza kundika hivi:

- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Bibii 🐸skamooo...
Umekumbuka nn leo mpaka kutoka na hii
 
Nani wa kupitisha??wajinga hawa Hawa waliojazana bungeni??na wengi ni wateule wa mjinga (mwenzao) wa magufuli
 
Ila bandari unataka warabu waendeshe.

Huku kwenye dhahabu tununue wenyewe kupitia BOT.

Bibi etu bana.
 
Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.

Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.

Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.

Niliwahi kuanza kundika hivi:

- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Kila mama akitoa mkeka, huwa naagalia kwa makini kuona kama jina lako limo au la?
...sijui kwa nini mama hazioni akili kubwa?
 
Back
Top Bottom