Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kuwa mama Samia kauona huu ushauri na kaufanyia kazi haraka sana:Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Hili wazo halina tofauti na lile la kununua korosho kwa wakulima, tofauti kule lilitumika jeshi na huku unapendekeza BOTIpitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Huyo kijakazi hazungumzii wazungu wowote hapo.Nongwa iko wapi kwa Wazungu kuchimba na kwenda kuiuza kwenye masoko yao?
Lets wait n seeTofauti ipo kubwa sana. Ile ni trading, hii ni reserves.
Nashukuru limeshaanza kufanyiwa kazi na BoT.
Unayo madini Dada...Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kuandika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Shida ni serikali kujiingiza kwenye biashara ambayo wanadamu washatoka jasho la damu kuipata yenyewe inakuja kuwanyang'anya kwa nguvu kwa lazima
Huo tunaita government robbery
ni wizi kama wizi mwingine!
Dhahabu ipo chini ya ardhi,serikali ikachimbe isafishe ikauze yenyewe ipate hizo hela inazozitaka!
Haiwezi
na ikienda kwa sera hizi wananchi wataenda lima wataacha mashimo wazi ije ichimbe yenyewe kitu ambacho haitaweza kamwe!
Hata kale kakodi kadogo ilikua inapata ndio imekufa!
Serikali zinaongozwa na majitu majinga kama haya haya akina Faizafoxy,useless!
They think kwavile wapo serikalini then their brains will never do wrong!
Kwaakili hizi tutachelewa sana kufika ia nashukuru BOT wameanza kufuata ushauri wa kununua dhahabu hawajakusikiliza wewe mbumbumbu.Serikali yako inakopa kila siku, haina fedha za kununu dhahabu ya kuwatosha wananchi wote watakapohiitaji.
Pia dhahabu sio sawa na fedha za kigeni.
Dhahabu ni bidhaa tu kama mawe ya kujengea n.k.
Wazo limefanyiwa kazi basi tuache ubishani usiokua na msingi.Wewe ukiambiwa uwe unalipwa mshahara kwa dhahabu au dola ya Marekani utachagua nini??
Sio kweli, kuna mataifa mengi makubwa tu yenye reserves kubwa za dhahabu ila bado pesa zao hazitumiki katika biashara ya kimataifa, zaidi ya 80% ya biashara ya kimataifa inatumia US dollars.Mimi naamini tukiwa na reserve ya dhahabu ya kutosha, hata pesa zetu zitakuwa na thamani ya kufanyiwa biasshara duniani (Easily convertible currency).
Unafahamu fedha nazo hutangazwa na hutawanywa kwa ujanja lakini ni lazima uwe mzalishaji mkubwa wa bidhaa, Chinese wanapigana kweli juu ya hili ipo siku watafaulu, kitambo kidogo US ali dominate soko la dunia kwa kiasi kikubwa mno!Sio kweli, kuna mataifa mengi makubwa tu yenye reserves kubwa za dhahabu ila bado pesa zao hazitumiki katika biashara ya kimataifa, zaidi ya 80% ya biashara ya kimataifa inatumia US dollars.
wanachimba,wanajua lolote?Kwani dhahabu inayochimbwa na stamico inaenda wapi??
Yote uliyosema yanafanyika, na zaidi ya hayo.Enough gold reserve mean stable economic and currency!
Lakini bila stable electrification, and good affordable tax rate hakuna lolote, haya yote huenda pamoja kama Pete na chanda,thank you FaizaFoxy
Pia mkazo uwekwe kwenye digital economy hapa ndipo mabeberu wanapotuzidi kete, yaani manunuzi ya watanzania yatumie zaidi e card, badala ya cash money, kwani maujanja mengi ya ukwepaji kodi yatakoma, kwenye mabasi tu swap, madukani tu swap, tuondoe mabunda ya fedha mikononi na kuwe na kiasi kinachoruhusiwa mtanzania kuwa nacho in term of cash, game over!