Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hakuna kinachoshindikanaKweli Dp World wanaweza maana pesa wanazo mpaka zimewalevya sasa wanazitumia kuwanunua wachezaji wa mpira mahiri Duniani wakiwemo Wazungu 😅😅🙏🙏 !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kinachoshindikanaKweli Dp World wanaweza maana pesa wanazo mpaka zimewalevya sasa wanazitumia kuwanunua wachezaji wa mpira mahiri Duniani wakiwemo Wazungu 😅😅🙏🙏 !
Wewe uwehu ndio unakisumbua!! Dhahabu yoote inunuliwe na BOT hiyo unaona niakili Tena kisheria!!!Hatukushangai ni ujinga tu unakusumbuwa. BOT haitogeuka kampuni bali anasimama kama custodian wa mali za watanzania tu na kwa kuwa wao kama miongoni mwa regulators wa mambo ya uchumi wataweza kustablize mambo yanapokua magumu kama hivi sasa.
Mkuu hoja yako inamashiko hongera sana, isipokuwa chini ya CCM, hilo usitegemee kama linaweza kufanyika, labda chini ya serekali ya chama kingine. Waliopo madarakani nobody cares wanachojali ni matumbo yao na familia zao.Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Vyama vingine ambavyo havina hata sera? Usinchekeshe.Mkuu hoja yako inamashiko hongera sana, isipokuwa chini ya CCM, hilo usitegemee kama linaweza kufanyika, labda chini ya serekali ya chama kingine. Waliopo madarakani nobody cares wanachojali ni matumbo yao na familia zao.
Mkuu hapo ndio unapokosea, chama ni taasisi, si utashi wa kiongozi ama mtu mmoja. Kama taasisi inaongozwa kwa kutegemea utashi wa kiongozi, badala ya kuwa na mifumo endelevu ya kitaasisi, hicho chama ni mfu. Dereva hata awe mzuri vipi ukimpa gari bovu, umahili wake hauta uona.Vyama vingine ambavyo havina hata sera? Usinchekeshe.
CCM ya mama Samia ni tofauti sana
Wacha nimsikilize mama Samia, sasa hivi anawapa utajiri vijana live.
Inapendeza sana.
Kaongelea kidogo yajayo bandarini.
Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Kweli kabisa tulianza kununuwa dhahabu.Miaka ya Mzee Mwinyi, baada ya Mrema(RIP) kukamata dhahabu Airport, BOT walianza utaratibu wa kununua dhahabu. Ile iliyonunuliwa iliishia wapi?
Hii nchi ilivyo, msije kununua copper mkadanganya ni dhahabu. Halafu akatafutwa muwekezaji wa kuja kununua dhahabu baada ya sisi kushindwa.
Sisi ni fully commedy!
Kweli kabisa tulianza kununuwa dhahabu.
Sifahamu iliishia wapi.
Hilo la shaba kinawezekana kabisa. Watanzania walivyo wezi. Dah yaani ukienda hivi unapigwa, ukirudi hivi unapigwa. Kazi kweli kweli.
Inabidi tufanye kama USA, Federal Reserve:
Mfumo wa Hifadhi ya Shirikisho unachukuliwa kuwa benki kuu inayojitegemea. Ni hivyo, hata hivyo, kwa maana tu kwamba maamuzi yake si lazima yaidhinishwe na Rais au mtu mwingine yeyote katika tawi la utendaji la serikali. Mfumo mzima unasimamiwa na Bunge la Marekani….Hifadhi ya Shirikisho lazima ifanye kazi ndani ya mfumo wa malengo ya jumla ya sera ya kiuchumi na kifedha iliyoanzishwa na serikali...
Soma zaidi: Is the Federal Reserve a privately owned corporation? – Education.
Hata maparachichi ni zaidi ya pesa.Dhahabu ni zaidi ya pesa, kama ulikuwa huelewi.
EPA ulikuwa ni wizi uliohusisha BoTNaamini mleta mada amelenga, kukomesha wizi, utoroshaji na ujanjaujanja wa mauzo ya haya madini.
Hivyo hii ni njia nzuri mojawapo. Lakini je ikifanywa hivyo hao huko BOT wanaaminika au itafutwe njia zingine pia za udhibiti wa jinsi ya kuuza bidhaa zetu nje ya nchi?
Mm kwa mtazamo wangu mwiguru anahitaji kusaidiwa, maana naona kashindwa kusimamia uchumi wa nchi yetu.
Maana nimeona tangu mwanzo njia anazotumia kukuza uchumi ni za kizamani na hazisaidii kitu.shiling inazidi kupolomoka.kiufupi kila kitu hakiendi vizuri.
Wewe ukiambiwa uwe unalipwa mshahara kwa dhahabu au dola ya Marekani utachagua nini??Hujamwelewa faiza. Ukishakua na dhahabu ni sawa na una dola ya marekani au mafuta. Uchumi wa dunia unapotetereka huna wasiwasi.popote duniani unapokwenda na dhahabu yako unapokelewa kama mfalme. Hamuangalii hata masoko ya shares huko duniani yanavyofanya biashara.?
Waambie kwanza BoT waajiri watu wa kupelekea wateja hiyo dhahabu duniani kote.Kiukwel wenue uelew wa wa haya mambo ni wachche sana maana watu wengi tunajua dhaabu ukishaipata tu unauza ovyo, na hili kosa liko kwa nchi yetu. BOT inapaswa kuanza mchakato wa kuanz kununua dhaabu na kuiuza yenyew katika mataifa ya mbali ili kupata fedha za kigeni na kukuza uchumi kwa namna moja ama nyingne kupata fedha za kigeni tusikalili tu kuwa katika vivutio tu pia hata tutengeneze mchakato kwa BOT kupata fedha za kigeni kupitia dhaabu. Ahxnt
Ukweli kikwete alijitajidSana ninakubaliana na wewe Damkubwa FaizaFoxy [emoji817] Dkt Kikwete ni jabali la siasa na maendeleo. Yaani kama angekuwa rais kwa miaka hata 15 hakika Dubai tungeikuta. Mungu ambariki sana Dkt Kikwete
Serikali yako inakopa kila siku, haina fedha za kununu dhahabu ya kuwatosha wananchi wote watakapohiitaji.Dhahabu unadhani haichimbwi mrangi? Wachimbaji wadogo wanapata sana dhahabu na serikaki ina uwezo wa ku collect ya kutosha sana tuu kwa ajili ya kuitumia kama fedha za kigeni .ni kwamba tu bado naona serikali haijaweka nia ya dhati na mkazo kwenye uchumi huu wa vito. Sisi ni matajiri sanaa.
Singapore, Israel na Switzerland hazichimbi chochote ila nchi tajiri zaidi duniani, utajiri ni akili zaidi kuliko rasilimali.Eti sisi leo ni wakupitwa na Kenya kiuchumi hawachimbi hata mchanga hapo Kenya nchi imejaa udongo mtupu ile. Botswana inakaribia kufikia nchi za ulaya kwa GDP lakini wameweza baada ya ku manage vizuri dhahabu yao.