Ushauri wa maboresho kwa Tamasha lijalo la Wananchi, hata Simba mnaweza kuchukuwa ushauri huu

Binafsi niliona DJ Ally B alitoa burudani kubwa zaidi kuliko Jux na wasanii Wengine....
Nili enjoy Sana burudani ya DJ Ally B....
Nakubaliana na wewe, sasa hawa kina Jux Kwahiyo wamelipwa nyimbo na siyo msanii, maana alichokifanya Jux na wasanii wengi tu mtu yeyote akiwekewa Cd anafanya, maana kama Cd basi bora iwe na instrumental tu ili watu wakusikie ukishuka mistari je ni wewe kweli au nyimbo uliyotowa ni studio ndio ilikubeba?

Unakumbuka show ya Sugu Serena hotel ambayo mama Samia alikuwa Mgeni rasmi? Ndio vitu tunavyotegemea kutoka kwa wasanii wetu na siyo ujanja ujanja.

Mimi binafsi ukinipa kazi ya kuandaa event kama huwezi live show na vyombo huna nafasi, na kipaumbele nitawapa watu wa bendi.
 
Mtu unajiita shabiki mwaka mzima unashindwa kiuchangia club yako elfu 10? Wakati huo huo unataka timu isajiri wachezaji wazuri hela inatoka wapi? wengi wanaolipa viingilio vidogo ndio vibaka, wanapanda juu ya viti, wanaiba cock za vyooni , hata kama nchi yetu ni masikini mashabiki wakumbuke hio pesa ni kwa ajiri ya kuchangia timu yao
 
Ni kwa nini kuna ticket huwa zinanunuliwa na mtu mmoja au taasisi moja na kuzigawa bure?
 
Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub, tukio kubwa la mkusanyiko mkubwa wa watu nilihudhuria alipokuja Mandela tu.

Tukirejea katika mada, ni lazima tukubali maisha halisi ya Watanzania yanaeleweka hili wala sina haja ya kulieleza, na ukitaka kuwapata mashabiki halisi lialia wale wapiga kelele basi tutakubaliana ni wale wenye maisha ya chini wasio na uwezo, starehe yao ni mpira pesa za kula shangwe huko wavuvi camp hawana.

Sasa kitendo cha kuwawekea kiingilio kisichoendana na uwezo wao kundi hili lenye percent kubwa ya Watanzania si cha kiungwana wala cha kistaarabu.

Kuna watu mtanikosowa kwamba starehe gharama na club inahitaji mapato na kuna pesa za maandalizi nakubaliana na hilo lakini iko option rahisi ya kuondowa gharama za kipuuzi ili msinyonye hawa mashabiki.

Uzuri binafsi nilifuatilia hilo tamasha mwanzo mpaka mwisho, pesa zinazolipwa kwa wasanii ni matumizi Mabaya ya pesa otherwise labda mniambie wanafanya show bure kama alivyofanya Diamond pale Jangwani kwenye parade la Wananchi.

Ushauri wangu upande wa Burudani futa wasanii wote, weka Live band tatu Kali, weka Twanga pepeta, weka Ngwasuma weka bendi ya tatu ambayo iko kwenye peak, show zote ni live magita yanapigwa dram zinapigwa, pata Dj mkali wa kupiga disco la nguvu shughuri imeisha mnasubili muda wa mechi tu.

Lakini inauma sana pesa za watu kuwalipa wasanii ambao wanakuja kuweka Cd ndio zinaimba wao kazi yao kupiga kelele tu kama walevi, hili linaniuma sana huu ni upotevu wa pesa bure kabisa, shusheni viingilio badala ya kuwalipisha watu pesa kubwa ili kuwalipa hawa wapuuzi.

Najuwa waandishi wa habari za michezo mpo hapa, chukueni ili halafu mkajifanye ni wazo lenu ili muonekane magenious.
Naunga mkono hoja
 
Mtu unajiita shabiki mwaka mzima unashindwa kiuchangia club yako elfu 10? Wakati huo huo unataka timu isajiri wachezaji wazuri hela inatoka wapi? wengi wanaolipa viingilio vidogo ndio vibaka, wanapanda juu ya viti, wanaiba cock za vyooni , hata kama nchi yetu ni masikini mashabiki wakumbuke hio pesa ni kwa ajiri ya kuchangia timu yao
ujinga mwingine bana
 
Ukiweza kupata uongozi kwenye hizi timu basi hata Ccm unashinda uongozi na hata ubunge ukitaka unashinda maana mfumo wao ni mmoja, mfumo wa Ccm ndio mfumo wa Simba na Yanga, wajinga kuongoza wenye akili.
Kweli kabisa boss, huu mfumo Ccm ndio ulioudumaza hata hii nchi isipige hatua muhimu ya kimaendeleo.
 
Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub, tukio kubwa la mkusanyiko mkubwa wa watu nilihudhuria alipokuja Mandela tu.

Tukirejea katika mada, ni lazima tukubali maisha halisi ya Watanzania yanaeleweka hili wala sina haja ya kulieleza, na ukitaka kuwapata mashabiki halisi lialia wale wapiga kelele basi tutakubaliana ni wale wenye maisha ya chini wasio na uwezo, starehe yao ni mpira pesa za kula shangwe huko wavuvi camp hawana.

Sasa kitendo cha kuwawekea kiingilio kisichoendana na uwezo wao kundi hili lenye percent kubwa ya Watanzania si cha kiungwana wala cha kistaarabu.

Kuna watu mtanikosowa kwamba starehe gharama na club inahitaji mapato na kuna pesa za maandalizi nakubaliana na hilo lakini iko option rahisi ya kuondowa gharama za kipuuzi ili msinyonye hawa mashabiki.

Uzuri binafsi nilifuatilia hilo tamasha mwanzo mpaka mwisho, pesa zinazolipwa kwa wasanii ni matumizi Mabaya ya pesa otherwise labda mniambie wanafanya show bure kama alivyofanya Diamond pale Jangwani kwenye parade la Wananchi.

Ushauri wangu upande wa Burudani futa wasanii wote, weka Live band tatu Kali, weka Twanga pepeta, weka Ngwasuma weka bendi ya tatu ambayo iko kwenye peak, show zote ni live magita yanapigwa dram zinapigwa, pata Dj mkali wa kupiga disco la nguvu shughuri imeisha mnasubili muda wa mechi tu.

Lakini inauma sana pesa za watu kuwalipa wasanii ambao wanakuja kuweka Cd ndio zinaimba wao kazi yao kupiga kelele tu kama walevi, hili linaniuma sana huu ni upotevu wa pesa bure kabisa, shusheni viingilio badala ya kuwalipisha watu pesa kubwa ili kuwalipa hawa wapuuzi.

Najuwa waandishi wa habari za michezo mpo hapa, chukueni ili halafu mkajifanye ni wazo lenu ili muonekane magenious.
Umeongea sahihi mtani
 
Mtu unajiita shabiki mwaka mzima unashindwa kiuchangia club yako elfu 10? Wakati huo huo unataka timu isajiri wachezaji wazuri hela inatoka wapi? wengi wanaolipa viingilio vidogo ndio vibaka, wanapanda juu ya viti, wanaiba cock za vyooni , hata kama nchi yetu ni masikini mashabiki wakumbuke hio pesa ni kwa ajiri ya kuchangia timu yao
Unajuaje labda anachangia kwa kulipia kadi..au analipia watu zaidi ya watano kwenda huko uwanjani? Hajasema halipii amesema hapendelei kwenda uwanjani...hata Mimi napenda matukio ya kwenye TV kuliko kwenda uwanjani kwa sababu napanda wigo mpana wa kuona matukio.
 
Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub, tukio kubwa la mkusanyiko mkubwa wa watu nilihudhuria alipokuja Mandela tu.

Tukirejea katika mada, ni lazima tukubali maisha halisi ya Watanzania yanaeleweka hili wala sina haja ya kulieleza, na ukitaka kuwapata mashabiki halisi lialia wale wapiga kelele basi tutakubaliana ni wale wenye maisha ya chini wasio na uwezo, starehe yao ni mpira pesa za kula shangwe huko wavuvi camp hawana.

Sasa kitendo cha kuwawekea kiingilio kisichoendana na uwezo wao kundi hili lenye percent kubwa ya Watanzania si cha kiungwana wala cha kistaarabu.

Kuna watu mtanikosowa kwamba starehe gharama na club inahitaji mapato na kuna pesa za maandalizi nakubaliana na hilo lakini iko option rahisi ya kuondowa gharama za kipuuzi ili msinyonye hawa mashabiki.

Uzuri binafsi nilifuatilia hilo tamasha mwanzo mpaka mwisho, pesa zinazolipwa kwa wasanii ni matumizi Mabaya ya pesa otherwise labda mniambie wanafanya show bure kama alivyofanya Diamond pale Jangwani kwenye parade la Wananchi.

Ushauri wangu upande wa Burudani futa wasanii wote, weka Live band tatu Kali, weka Twanga pepeta, weka Ngwasuma weka bendi ya tatu ambayo iko kwenye peak, show zote ni live magita yanapigwa dram zinapigwa, pata Dj mkali wa kupiga disco la nguvu shughuri imeisha mnasubili muda wa mechi tu.

Lakini inauma sana pesa za watu kuwalipa wasanii ambao wanakuja kuweka Cd ndio zinaimba wao kazi yao kupiga kelele tu kama walevi, hili linaniuma sana huu ni upotevu wa pesa bure kabisa, shusheni viingilio badala ya kuwalipisha watu pesa kubwa ili kuwalipa hawa wapuuzi.

Najuwa waandishi wa habari za michezo mpo hapa, chukueni ili halafu mkajifanye ni wazo lenu ili muonekane magenious.
Kiingilio kweli ni kikubwa. Mzunguko imezoeleka kuanzia 3,000. Tamaa ya uongozi kukusanya hela nyingi ndio iliopelekea tamasha kudoda. Walidhani timu kufanya vizuri msimu uliopita mashabiki wangehamasika tu kuja regardless of kiingilio.

Kuhusu mziki nadhani watanzania nasi tunapenda hivi, angalia matamashamengi. Katika zile aina tatu za kutumbuiza hii ndio imekua common. Ya kwanza ni vyombo live na muimbaji live, pili ni vyombo cd muimbaji live na mwisho ni vyombo na muimbaji cd ila muimbaji anarudishia maneno.

Ila kwenye uchaguzi wa waimbaji hao Twanga pepeta sijui Ngwasuma naona kama wamepitwa na wakati, au wapenzi wake sio wengi. Hawa hawa waliokuja kina Jux, Marioo, VanyBoy etc ndio wanao trend kwa sasa, wabadilishe style ya uimbaji usiwe ule wa makelele wakati mic ipo.
 
Na hata DJ anatakiwa DJ wa kariba ya Bonny love au DJ Rankim Ramadhani kipindi tunaruka mayenu sealander club pink coconut.

DJ wa kupiga nyimbo 10 kwa dakika moja huyo aishie hukohuko kwenye vigodoro vyao.

Yani Dj anaweka nyimbo kabla mzuka haujapanda kashabadili nyimbo ndio nini sasa?
umenikumbusha mbali sana
 
Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub, tukio kubwa la mkusanyiko mkubwa wa watu nilihudhuria alipokuja Mandela tu.

Tukirejea katika mada, ni lazima tukubali maisha halisi ya Watanzania yanaeleweka hili wala sina haja ya kulieleza, na ukitaka kuwapata mashabiki halisi lialia wale wapiga kelele basi tutakubaliana ni wale wenye maisha ya chini wasio na uwezo, starehe yao ni mpira pesa za kula shangwe huko wavuvi camp hawana.

Sasa kitendo cha kuwawekea kiingilio kisichoendana na uwezo wao kundi hili lenye percent kubwa ya Watanzania si cha kiungwana wala cha kistaarabu.

Kuna watu mtanikosowa kwamba starehe gharama na club inahitaji mapato na kuna pesa za maandalizi nakubaliana na hilo lakini iko option rahisi ya kuondowa gharama za kipuuzi ili msinyonye hawa mashabiki.

Uzuri binafsi nilifuatilia hilo tamasha mwanzo mpaka mwisho, pesa zinazolipwa kwa wasanii ni matumizi Mabaya ya pesa otherwise labda mniambie wanafanya show bure kama alivyofanya Diamond pale Jangwani kwenye parade la Wananchi.

Ushauri wangu upande wa Burudani futa wasanii wote, weka Live band tatu Kali, weka Twanga pepeta, weka Ngwasuma weka bendi ya tatu ambayo iko kwenye peak, show zote ni live magita yanapigwa dram zinapigwa, pata Dj mkali wa kupiga disco la nguvu shughuri imeisha mnasubili muda wa mechi tu.

Lakini inauma sana pesa za watu kuwalipa wasanii ambao wanakuja kuweka Cd ndio zinaimba wao kazi yao kupiga kelele tu kama walevi, hili linaniuma sana huu ni upotevu wa pesa bure kabisa, shusheni viingilio badala ya kuwalipisha watu pesa kubwa ili kuwalipa hawa wapuuzi.

Najuwa waandishi wa habari za michezo mpo hapa, chukueni ili halafu mkajifanye ni wazo lenu ili muonekane magenious.
Mzee hauna hoja ya msingi kabisa.

Labda tuanze Kwanza nini hasa hua lengo la hii siku ya mwananchi?? Kikubwa kumbuka hili ni tamasha la burudani... Tuanzie hapo burudani ni nini?? Huwezi kuzungumzia burudani bila kuutaja muziki utakua unadanganya hadhira! Kwahiyo wewe kitendo cha kulaumu wasanii kulipwa ni cha kukemewa Kwa nguvu zote... Ulitegemea waje kufanya show bure.. kumbuka wale muziki ndo kazi inayowaweka mjini na hawezi fanya show bure kisa ni shabiki wa Yanga (wengine pia ni Simba lialia) Ila wapo kikazi Tu lengo ni moja kutoa burudani Kwa wananchi.

Turudi kwenye pointi ya msingi. Watu wengi wanalaumu kwamba watu hawakujaa uwanjani kisa kiingilio kulikua kikubwa huenda ni kweli... Lakini hapo kuna hoja inabidi watu waizungumzie kiundani, tukiachana na maswala ya utani wa Simba na Yanga, ni lazima ujue vitu viwili ambavyo vyote vitaenda simultaneously.

Kwanza tukiangakia Kwa jicho la kibishara bei Ile haikuwekwa bahati mbaya na huenda watu walikua wengi kuliko ilivyotarajiwa.. lazima ifike mahali watu wachangie mapato club zao. Leo hii watu wameshindwa kujaa Kwa sababu ya elfu 10 lakini club still inaweza kua imepata mapato makubwa kuliko wangejazana watu Kwa elfu tatu. Ujue mabadiriko Huja na maumivu. Mfano mdogo tu mwakani usitegemee kiingilio kikiwa tena elfu 10 watu hawatakuja... Watakuja wengi kinyama maana itakua ishaeleweka.

Pili kuna muda club inabidi ipunguze watu flani. Ni ngumu kuwaambia watu kua nyie watu wa elfu tano kaeni pembeni Ila unaambiwa Kwa vitendo Yani kama hivo Kwa kupindisha bei na hii inakuza brand ya club..

Ipo hivi tukubali tukatae vilabu vyetu vinategemea Sana viingilio kama moja ya vyanzo vikuu vya mapato ndo maana hapo hapo wapiga dili kama TFF wamepatolea macho Sana, thus y Makato ya mechi ni makubwa Sana na clubs hua zinapata kidogo. Angalau miaka hii mauzo ya jezi nayo yameingia kua chanzo muhimu cha mapato.

Ushauri wako labda unge-base zaidi kwenye haki ya urushaji wa matangazo mfano hii siku game ingekua haioneshwi Kwa maeneo ya Dar es salaam Ila yangeandalia maeneo maalumu Tu ambayo yangepewa access hii ingesaidia watu kuja uwanjani hata kama bei ni kubwa pia hayo maeneo yangehodhiwa na club yenyewe hivo club ingepata mitonyo. Au kama Hilo nibgumu club ingesaini makataba maalumu na Azam aruhusu kuuza haki ya matangazo kwenye local channels kama TBC na wengine huko waweze kurusha live hapa club ingevuna hela mingi.....

Mwisho kabisa nipende kuipongeza club ya Yanga kukubali kuchukua risk ya kupandisha thamani hili tamasha Leo itakua ngumu Ila kesho itakua Bora kuliko unavoweza kudhani.
 
Umeongea pointi ya msingi

Kuna mambo yanaratibiwa na viongozi kwa sifa za kutaka u-special yani kujiweka daraja la kipekee tofauti na wapinzani.

Hilo ndilo lililotufikisha hapa, viongozi wanataka kutengeneza rekodi kwa minajili ya mashabiki wao wana uwezo mkubwa wa kifedha na ni die hard fans ambao wako tayari kulipia gharama zozote ili waione timu yao

Bahati mbaya wanafanya kwa mihemko bila kufanya tathmini ya kujua aina ya mashabiki wao na uwezo wao wa kifedha.

Nimemsikia hapa EFM kiongozi wa Yanga anaitwa Mgita (stand to be corrected)

Huyu jamaa amenisikitisha sana kwa kauli yake kuwa waliweka kiingilio kikubwa kwa ajili ya ku minimize watu wengi wasiingie.

Kiongozi huyu ana amini kuwa kutokana na population ya watu wa Dar kuzidi kuongezeka hivyo kama Club waliona wakiweka bei affordable basi watu wengi wangejaa.

Hivyo waliona namna ya kuweza ku overcome hiyo situation ni kupandisha bei ya kiingilio ili wengine wasifike.

Sasa mi najiuliza kama target ilikuwa hiyo kwanini walifungua geti ili watu wapite free?

Viongozi wanabidi waelewe kuwa hili ni tamasha sio mechi, mtu anatoka na familia yake kwenda kuinjoy burudani.

Sasa kwa gharama ya 10,000 mtu uko na familia yako hiyo ni pesa nyingi.

Viongozi wameliangalia hili jambo kwa jicho la mtu mmoja mmoja lakini wamesahau kuhusu mtoko wa familia, couples nk. Ambpo mtu mmoja analazimika kulipia watu zaidi ya mmoja.
Huyo kiongozi wa yanga yuko sahihi kabisa.

Wabongo ustaarabu ni sifuri, hilo liko wazi mkiachiwa muingie hovyo mnauana.

Yaani 10k kwa club unayoipenda unaona ni nyingi, mnataka muwekewe kiasi gani?? Na bado mtalalama kuhusu usajili, matajiri wakisema wanapata hasara nyie nyie ni wa kwanza kuwazodoa kua wanakula pesa za viingilio ilhali viingilio vyenyewe mnataka muwekewe buku tatu.
 
Yaani wakuwee band wewe ambae hata uwanjani hutaki kwenda??

Kubali kua hiki ni kizazi kipya, mbona wazee wa miaka hii ni wabishi sana.
Vijana ni wengi kuliko wazee na vijana ndo wapenzi na wachangiaji wakubwa wa hivi vilabu. Sasa kweli uongozi wa yanga uanze kuwaza kuwafurahisha wazee ambao hata uwanjani hawaendi badala ya vijana wanaofurika uwanjani.

Kwenye lile tamasha walileta wasanii pendwa karibu wote na wale ambao ngoma zao zinatrend mtaani.
Sasa mzee wangu twanga pepeta miaka hii kweli??

Sema labda wangeongeza kionjo cha liveband tu ila sio kuleta wasanii ambao kwa sasa hawajulikani.
 
Nakuunga mkono Kwa suala la wasanii, hakuna burudani yoyote wanayotoa zaidi ya makelele.

Pia hao ma DJ nao waambiwe waache kubadili badili wimbo pasipo na sababu za misingi. Sijui ni akili za wapi , yaani umeweka wimbo mkali watu wanafurahia lakini kabla hata verse ya pili haijaanza ushabadilisha. Hapo DJ huwa anafurahia nini ? Kubadilisha badilisha ndio unprofessional?
 
Huyo kiongozi wa yanga yuko sahihi kabisa.

Wabongo ustaarabu ni sifuri, hilo liko wazi mkiachiwa muingie hovyo mnauana.

Yaani 10k kwa club unayoipenda unaona ni nyingi, mnataka muwekewe kiasi gani?? Na bado mtalalama kuhusu usajili, matajiri wakisema wanapata hasara nyie nyie ni wa kwanza kuwazodoa kua wanakula pesa za viingilio ilhali viingilio vyenyewe mnataka muwekewe buku tatu.
Kwanini waliamua kuachia fungulia mbwa?
 
Kwanini waliamua kuachia fungulia mbwa?
Nje watu walikua wachache, pamoja na hiyo fungulia mbwa bado uwanja haukujaa.

Kwa maana hiyo walipima risks za hiyo fungulia mbwa wakaona haitaleta madhara.
 
Mzee hauna hoja ya msingi kabisa.

Labda tuanze Kwanza nini hasa hua lengo la hii siku ya mwananchi?? Kikubwa kumbuka hili ni tamasha la burudani... Tuanzie hapo burudani ni nini?? Huwezi kuzungumzia burudani bila kuutaja muziki utakua unadanganya hadhira! Kwahiyo wewe kitendo cha kulaumu wasanii kulipwa ni cha kukemewa Kwa nguvu zote... Ulitegemea waje kufanya show bure.. kumbuka wale muziki ndo kazi inayowaweka mjini na hawezi fanya show bure kisa ni shabiki wa Yanga (wengine pia ni Simba lialia) Ila wapo kikazi Tu lengo ni moja kutoa burudani Kwa wananchi.

Turudi kwenye pointi ya msingi. Watu wengi wanalaumu kwamba watu hawakujaa uwanjani kisa kiingilio kulikua kikubwa huenda ni kweli... Lakini hapo kuna hoja inabidi watu waizungumzie kiundani, tukiachana na maswala ya utani wa Simba na Yanga, ni lazima ujue vitu viwili ambavyo vyote vitaenda simultaneously.

Kwanza tukiangakia Kwa jicho la kibishara bei Ile haikuwekwa bahati mbaya na huenda watu walikua wengi kuliko ilivyotarajiwa.. lazima ifike mahali watu wachangie mapato club zao. Leo hii watu wameshindwa kujaa Kwa sababu ya elfu 10 lakini club still inaweza kua imepata mapato makubwa kuliko wangejazana watu Kwa elfu tatu. Ujue mabadiriko Huja na maumivu. Mfano mdogo tu mwakani usitegemee kiingilio kikiwa tena elfu 10 watu hawatakuja... Watakuja wengi kinyama maana itakua ishaeleweka.

Pili kuna muda club inabidi ipunguze watu flani. Ni ngumu kuwaambia watu kua nyie watu wa elfu tano kaeni pembeni Ila unaambiwa Kwa vitendo Yani kama hivo Kwa kupindisha bei na hii inakuza brand ya club..

Ipo hivi tukubali tukatae vilabu vyetu vinategemea Sana viingilio kama moja ya vyanzo vikuu vya mapato ndo maana hapo hapo wapiga dili kama TFF wamepatolea macho Sana, thus y Makato ya mechi ni makubwa Sana na clubs hua zinapata kidogo. Angalau miaka hii mauzo ya jezi nayo yameingia kua chanzo muhimu cha mapato.

Ushauri wako labda unge-base zaidi kwenye haki ya urushaji wa matangazo mfano hii siku game ingekua haioneshwi Kwa maeneo ya Dar es salaam Ila yangeandalia maeneo maalumu Tu ambayo yangepewa access hii ingesaidia watu kuja uwanjani hata kama bei ni kubwa pia hayo maeneo yangehodhiwa na club yenyewe hivo club ingepata mitonyo. Au kama Hilo nibgumu club ingesaini makataba maalumu na Azam aruhusu kuuza haki ya matangazo kwenye local channels kama TBC na wengine huko waweze kurusha live hapa club ingevuna hela mingi.....

Mwisho kabisa nipende kuipongeza club ya Yanga kukubali kuchukua risk ya kupandisha thamani hili tamasha Leo itakua ngumu Ila kesho itakua Bora kuliko unavoweza kudhani.
Halafu utakuta mtu kama huyu ni kiongozi mkubwa tu, hapa unatarajia nini?
 
Back
Top Bottom