Ushauri wa maboresho kwa Tamasha lijalo la Wananchi, hata Simba mnaweza kuchukuwa ushauri huu

Ukiweka utopolo pembeni unaongea point. Hili la wasanii kuweka CD ni upumbavu kabisa
Muwaambie kina Mangungu wasilete huu upumbavu Simba day.

Iwekwe live band Twanga Pepeta, Asha Baraka Simba vyombo vya Twanga Pepeta ndio vitumike kwa wasanii tu watakaokuwa na uwezo wa kuperform na live band ndio wapande stage, siyo kuja kuwapigia watu makelele inaboa sana.
 
Elfu 10 ni hela ndogo mwaka mzima tuseme ukweli
Kuchangia team unayopenda inayokupa furaha
Mashabiki wasiowajibika wanini sasa?
Kadi za uachama hawachangi
Viingilio hawalipi wanataka buku buku
Wanataka mcheza alipwe milion 80
Naninawajike badala yetu

Me napendekeza yanga inapendwa tanzania nzima naona kama watu wa dar tamasha hili wamelichoka
Mwakani walitoe nje ya dar na walete hao wasanii wao
Hata waweke kiingilio elfu 50 watu watajaa

Wapeleke pale mwanza, dodoma, songea, mbeya, kigoma, n.k halafu waone watu watavojaa
Wasikariri kila kitu dar
 
Mimi nadhani wawapelekee tu Mwanza sisi wengine kwenye TV tunaenjoy vizuri tu.
 
PhD.

Napendekeza mambo YAFUATAYO.

1.
2.
3.
4.
5. ........
Hivi ndivyo WASOMI wanavyowasilisha MADA ZAO.


Msiandike PhD wakati villlaza!!!!!
Hakuna msomi anayeweza kuchanganya caps, upper case na lower case.
 
For the first time uto and kolo come to the agreement!!
[emoji2][emoji2]
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji1787] jidanganye brother waweke 10k mikoani...wataliaaa!!!!
 
Miundombinu ndo changamoto
 
Hata mimo hili limenishangaza sana, sasa vibe la nyimbo unalipata vipi ikiwa nyimbo imepigwa kwa sekunde 3
 
Hata mimo hili limenishangaza sana, sasa vibe la nyimbo unalipata vipi ikiwa nyimbo imepigwa kwa sekunde 3
Hawa madj wa sasa ndio walinifanya niache kwenda disco night club ni upuuzi mtupu.

Is far better kwenda kuangalia show za live band.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…