1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Mleta uzi tupe mrejesho,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazani itategemea pia na matumizi yake Kwa siku,mfano to-fro kazini maybe ni 2km? Si hata tumia mafuta mengi?Kama hiki ndicho kipato chako kwa mwezi na hauna kingine cha ziada, ningekushauri uachane na mawazo ya kumiliki gari.
Ninasema hivyo kwa sababu gharama za mafuta kwa mwezi zinaweza kufika hadi nusu ya hicho kipato. Bado hujapata changamoto za vipuri na matengenezo endapo yatatokea.
Achana na magariOk kipato changu ni 500k Kwa mwezi mkuu
Umewaza kistaa,ivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodaboda
Itakuwa ushuru umemshinda🤣Mleta uzi tupe mrejesho,
Itakusumbua mwanzo kaka, cz kunajukumu jipya limeongezeka, bt at last utaweza kumudu,Ukimiliki gari utashangaa unakosa pesa ya chakula, pesa ya kununua nguo lakini somehow pesa ya mafuta hautakosa. Na gari itakuwa inatembelewa hivyo hivyo kwa kuunga unga
Acha kushauli watu ujinga,tatizo vijana tunapemda sifa za kijinga
ukiona uchumi wako hauko poa
unanunua gari ambalo litaisadia ata kukuingizia pesa kuliko kutembelea na kulipack tu
Nunua Toyota Noah,au toyota succed unakula vichwa yaani inajitafutia hela ya mafuta na service siku moja moja
unadhani kumiliki canter au fuso ni mchezo wa kitoto?Acha kushauli watu ujinga,
Li Noah la nn Mimi? Km nataka gari ya kuniingizia Pato si bora ninunue canter au fuso,
Mm mwenye gari na napaki home, siku moja moja nadrive na ww usio na gari wala turubai la kufunikia bora Nani?
Usipangie watu waisha, hela nitafute kwa shida, bado unipangie matumizi?
Tafuta Mitsubishi outlander au Mazda CX 5Habari wana Jf?
Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.
Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.
Mchango wenu wakuu
Shi ngapi hii PremioNikushauri usinunue kwa mtuu utajuta wabongo magari mengi hayafanyiwi service nikaushauri nunua premio 1500cc hiyo autajutia maana hata matumizi ya mafuta inatumia kidogo au chukua Runx autajutia ila kwa mtuu hapana
Milioni 18 hadi 20 mpaka uwe nayo mkononiShi ngapi hii Premio
Bora umenijibia mkuuunadhani kumiliki canter au fuso ni mchezo wa kitoto?
Nadhani hujawahi kumiliki gari wewe ndiyo maana unaona ni ushauri wa ujinga
Uko sahihi ndugu.Kama kipato chako ndio hiko na hutaki stress, nakushauri usinunue gari na usije kudanganyika hata vits usinunue.
Nina sababu zaidi ya 10 kukwambia hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana aisee yaliwahi kunikuta hayo kuna kipindi nilinunuaga gari used Toyota Carina aisee wakati nainunua kimuonekano ilikuwa super sana hata nilikuwa na bro fulani hivi jirani yetu yeye ni mzoefu sana wa magari ya aina zote maana yeye ni dereva na pia ni operator mzoefu wa mobile equipments/mobile plants zote basi nikaenda naye akaicheki na kuitest akasema mdogo wangu hii gari umewin bado mpya nilivyosikia hivyo nikafurahi sana na muuzaji naye akasisitiza kuwa hii gari bado nzuri maana siitumiagi sana maana niko na gari mbili.anunue vitz ilaa nayo inatumia mafutaaa so kwa mshahara wa 500k means sio chini ya 250k unatumia kwa ajili ya gari na hapoo kuna mambo ya kugusana na watuu siku umeparua gari la watu huna 100 aisee ndo utalichukia gariii na used hazikosagi mapungufu mara gari inazimika upo road weeee 😀 😀 😀 😀 😀
Hayo ndo Magari y biashara ss, n sio mi Noah au hiyo mi succeed…unadhani kumiliki canter au fuso ni mchezo wa kitoto?
Nadhani hujawahi kumiliki gari wewe ndiyo maana unaona ni ushauri wa ujinga
Au sio?Kwani shida nini hapo, unampeleka tu chap anakupa mpunga noti moja unageuka unaendelea na ratiba zako.
kwa taarifa yako tu mimi binafsi nimekuwa nikimiliki gari tangu mwaka 1995; Suzuki Samurai, Benz 190E, Benz C180, Ford Focus, Harrier Aerotourer, Harrier tako la nyani (2.4G), IST .... nyingine sikukutajia. Pia tumewahi kumiliki Fuso na tractor na trailer.Hayo ndo Magari y biashara ss, n sio mi Noah au hiyo mi succeed…
Ww ndo hujawai miliki gari tht why unatisha tisha watu kwa Mawazo yako mgando
Pole sana mkuu ilitaka kukuua..!!Hatari sana aisee yaliwahi kunikuta hayo kuna kipindi nilinunuaga gari used Toyota Carina aisee wakati nainunua kimuonekano ilikuwa super sana hata nilikuwa na bro fulani hivi jirani yetu yeye ni mzoefu sana wa magari ya aina zote maana yeye ni dereva na pia ni operator mzoefu wa mobile equipments/mobile plants zote basi nikaenda naye akaicheki na kuitest akasema mdogo wangu hii gari umewin bado mpya nilivyosikia hivyo nikafurahi sana na muuzaji naye akasisitiza kuwa hii gari bado nzuri maana siitumiagi sana maana niko na gari mbili.
Baada ya hapo tukaenda kwenye ofisi ya mwanasheria tukaandikishiana nikamlipa chake.
Baada ya hapo nikaanza kuitumia kama miezi miwili hivi aisee baada ya hapo majanga yakaanza kila wiki gari inaenda gereji tunarekebisha part iliyozingua baada ya wiki kinakufa kingine naenda kurekebisha baada ya wiki breki hazifanyi kazi basi kuna siku breki zimefeli niko kwenye barabara ya lami na kuna jam kwa kuhofia kugonga gari iliyoko mbele yangu ikanibidi nikunje kona kushoto niingie kwenye service road inayoingia mtaani aisee ilibaki kidogo tu gari iwapitie wapita njia waliokuwa wanatembea kwa miguu ila kwa bahati kulikuwa na fensi ya miti michongoma nikaenda kuivamia gari ikazimika ndio ikawa salama yangu.
Ile gari niliangaika nayo miezi kadhaa nikaja kuiuza kwa bei ya hasara kwa madalali.