Ndechumia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,164
- 573
Kwan akiwa na gari lazima aliendeshe Kila siku?, Umejuaje kama mafuta Si chini ya elfu 20? Acha kukatisha tamaa watu bhanaHiyo pesa haitoshi hata kula kwa mwezi moja.
Gari ndogo kama ist , passo, starlet mafuta kwa siku si chini ya 20k i.e. lita 7
Bora ununue tvs au boxer