Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

Kuna mijitu humu jf sio ya kuisikiliza gari haijawah kumiliki, diving skills ni mbov alaf anasema gar inakula mafuta. Ist ya 1290 ukibalanc rpm isivuke 1.8 bac unaitapa hyo 18 tena high way. Hii apa ya crown yangu napata 13/l engene 2500 nayosemaga jini
 
Attachments

  • FFF484D5-47B7-4458-A95D-43139885309F.jpeg
    FFF484D5-47B7-4458-A95D-43139885309F.jpeg
    75.8 KB · Views: 47
Hii ni kwa ist hii ya beforward ina cc 1290, na inatumia 23km/l ndio maana nasema ist kwa bongo inafika km 18/l ila tu iwe nzima na uendeshe kwa nidham nadhan nimeeleweka . Huna gari na hujawah kumilik kaa kimya mimi nilitushwa sana kuhusu crown kumbe uhalisia hauko hivyo
 
Attachments

  • C32DC8CE-E46D-469B-B489-B568E378DA39.png
    C32DC8CE-E46D-469B-B489-B568E378DA39.png
    890.2 KB · Views: 39
Jinga ww hujawah kumiliki unagongea gali thn unaguja kutoa maada za ku google. Ist uki google kwa cc 1290 inaenda km 23 kwa lita. Utokana na uchakav ukiendesha vzr bongo na ukapata ist iliyo vzr unapata 18 kwa lita high way mjin 14 nilikua napata. Sasaiv nipo na mnyama crown napiga mpaka km 13 kwa lita mpuuz ww
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]endelea kugoogle
 
Kuna mijitu humu jf sio ya kuisikiliza gari haijawah kumiliki, diving skills ni mbov alaf anasema gar inakula mafuta. Ist ya 1290 ukibalanc rpm isivuke 1.8 bac unaitapa hyo 18 tena high way. Hii apa ya crown yangu napata 13/l engene 2500 nayosemaga jini
High way labda za mkoani mzee ukija mjini huku utajua hujuii...[emoji28][emoji28][emoji28] kwanza ukiona unaweka mafuta kwa kuangalia mshalee kila muda uzaa tu hilo garii[emoji2960]
 
Hii ni kwa ist hii ya beforward ina cc 1290, na inatumia 23km/l ndio maana nasema ist kwa bongo inafika km 18/l ila tu iwe nzima na uendeshe kwa nidham nadhan nimeeleweka . Huna gari na hujawah kumilik kaa kimya mimi nilitushwa sana kuhusu crown kumbe uhalisia hauko hivyo
Weka Litre moja toka Kkoo nenda kimara saa moja asubuhi au Saa 12 jioni Ukifikaa niite mbwaa.. Hizo consumption rate ni gari inaendaa speed kweli haina kusimama simama..hujawasha AC! Sasa hizi folini za dar andaa kidumu tu..
 
Hyo ni fact nyingine na ndio maana nilisema high way kwa tz unapata 18km/l. Ndan ya mji kuna trefik na stip za apa na pale unapata 10-13 kwa lita ukiwa na ist 2nz
 
Hyo ni fact nyingine na ndio maana nilisema high way kwa tz unapata 18km/l. Ndan ya mji kuna trefik na stip za apa na pale unapata 10-13 kwa lita ukiwa na ist 2nz
Hapo sasa sawaa..kuna siku nilifanya hii test alafu nikapita sehemu kuna mlima na mshale umelalaaa aisee ndo nkajua ukiwa na gari usikose hela mfukoni
 
Hiyo pesa haitoshi hata kula kwa mwezi moja.
Gari ndogo kama ist , passo, starlet mafuta kwa siku si chini ya 20k i.e. lita 7
Bora ununue tvs au boxer
Kwa Jinsi Navojua Gari Mafuta Ni Kutokana na Matumizi,Itafikaje 20K na safari Zake Nyngi Ni Shuleni Maybe 10km
 
Kwa Jinsi Navojua Gari Mafuta Ni Kutokana na Matumizi,Itafikaje 20K na safari Zake Nyngi Ni Shuleni Maybe 10km
Kwa sasa mafuta ya 20k , ni lita 6.8 ambayo kwa gari ni kidogo sana, kukutoa nyumbani na kukurudisha, 20km, bila kuwa na wasiwasi kwamba yatakuishia njiani.
 
Kuna mijitu humu jf sio ya kuisikiliza gari haijawah kumiliki, diving skills ni mbov alaf anasema gar inakula mafuta. Ist ya 1290 ukibalanc rpm isivuke 1.8 bac unaitapa hyo 18 tena high way. Hii apa ya crown yangu napata 13/l engene 2500 nayosemaga jini
Unafanyeje kupata hiyo 13km
 
Ata kama, mimi wakat nataka kuchukua athlete watu waliiponda saaaaanaaaaa lakin tofaut na uhalisia nimeinunua na naitumia vzr tu, japo c kila sehem ww unaenda na ndinga
Kiuhalisia crown pia uwe vzuri financially
 
Ushauri upo mwingi ndugu yangu sema premio cc5000 ni nzuri Kwa ajili Yako sema kinachohitajika na service na fuel aisee hapo ukilinganisha na kipato chako Cha Kila mwezi pamoja na majukumu Yako mengine ya kifamilia na kinaisha oooooh angalia usichoke mapema
 
Unafanyeje kupata hiyo 13km
Kwanza uzima wa gari, gari ni nzima!? Mimi yangu ni nzima kabisa haijawah kuchokonilewa engene pili balance rpm isizid 2. Fanya service kwa wakat weka mafuta ya kutodha walau nusu tank, utanishukuru
 
Back
Top Bottom