Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yani CC 2500 Anatembea KM za vitz...!!
Inawezekana kwasabab ukiwa na nidham mbaya kweny driving hata ist utapata 8km/l kama brevis bt ukiendesha vzr itakupa matokeo mazur kweny mafuta
 
Kanunue toyota port gari nzuri sana utanishukuru baadae.seve hii comment
 
Mkuu gari ni kulihudumia,

Zipo brevis au gx100 mpaka za 2.5m.

Ila ukianza kuwaza wese na matengenezo kichwa kinawaka moto.
Kuna watu wamekushauri vitz siyo mbaya kwa kuanzia maisha. Japo mimi naziogopa sana gari ambazo zina engines za peke yake.

Yaani gari gari haishei engine na gari nyingine, huo ni msalaba.

So kwenye Vitz achana na 1sz na uchukue 2sz, 2nz au 1nz.

Hiyo 1sz imetumika kwenye gari tatu tu duniani ambazo ni toyota yaris, echo na hiyo vitz.

Mswaki wa hiyo engine ni 1.8M, ikikufia unaweza paki ndani.

Kila la heri.
Ushauri mzuri
 
Hii ni kwa ist hii ya beforward ina cc 1290, na inatumia 23km/l ndio maana nasema ist kwa bongo inafika km 18/l ila tu iwe nzima na uendeshe kwa nidham nadhan nimeeleweka . Huna gari na hujawah kumilik kaa kimya mimi nilitushwa sana kuhusu crown kumbe uhalisia hauko hivyo

Nina IST new model, Mtaani inabipa Average 13.5 to 15km/l

Highway inanipa kuanzia 18 to 30km/l ila inatakiwa ucheze na ECHO na RPM, alafu usifate Ligi.
 
Nina IST new model, Mtaani inabipa Average 13.5 to 15km/l

Highway inanipa kuanzia 18 to 30km/l ila inatakiwa ucheze na ECHO na RPM, alafu usifate Ligi.
Jua kutofautisha kati ya average:sum of Xi /n na range: maximun X - minimum X
 
Jinga ww hujawah kumiliki unagongea gali thn unaguja kutoa maada za ku google. Ist uki google kwa cc 1290 inaenda km 23 kwa lita. Utokana na uchakav ukiendesha vzr bongo na ukapata ist iliyo vzr unapata 18 kwa lita high way mjin 14 nilikua napata. Sasaiv nipo na mnyama crown napiga mpaka km 13 kwa lita mpuuz ww
Inawezekana sana...Mimi Carina Si, highway napata 15km/litre...
 
s
Kama hiki ndicho kipato chako kwa mwezi na hauna kingine cha ziada, ningekushauri uachane na mawazo ya kumiliki gari.

Ninasema hivyo kwa sababu gharama za mafuta kwa mwezi zinaweza kufika hadi nusu ya hicho kipato. Bado hujapata changamoto za vipuri na matengenezo endapo yatatokea.
io endapo ..lazima yawepo
 
Nina IST new model, Mtaani inabipa Average 13.5 to 15km/l

Highway inanipa kuanzia 18 to 30km/l ila inatakiwa ucheze na ECHO na RPM, alafu usifate Ligi.
Asante kwa mrejesho. Kuna watu wana magar ya kuazima nao wanajiona wanamiliki
 
B

Boda boda nao watu hata kama hawana kitu
shida ni unaenda zako misele njiani unapungiwa,unajua labda ndugu yako unasimama

mtu anakuja speed anarukia kwenye pikipiki anakwambia "nikimbize POSTA chap" ndio

kumwmbia mimi sio boda,kashakukata stim yani muda wote wa maisha yako na hizo pikipiki

utautumia kuelimisha watu wewe sio boda,utakamatwa na kamata kamata wakijua n boda,yani headache.
 
Hahahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kipato chako ndio hiko na hutaki stress, nakushauri usinunue gari na usije kudanganyika hata vits usinunue.

Nina sababu zaidi ya 10 kukwambia hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba ndugu na kutisha watu, i hope ujawai kumiliki gari thts way unauoga wa kike,

mm sina kazi, ni mishen town tuu, na pato langu kwa mwezi halizidi lak 4, namiliki gari na cjawai park wala kudundia wese,

kwa maisha leo gari sio anasa, haswa ukiwa n familia…
Badili mtazamo ndugu
 
Nikushauri usinunue kwa mtuu utajuta wabongo magari mengi hayafanyiwi service nikaushauri nunua premio 1500cc hiyo autajutia maana hata matumizi ya mafuta inatumia kidogo au chukua Runx autajutia ila kwa mtuu hapana
Kama wabongo hawatunzi nae hatatunza hata akinunua jipya litakufa siku Si nyingi,
 
Back
Top Bottom