Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Honda 110, Honda curb ila bei 10m Japan, hadi ifike kwa Chief Hangaya itakugharimu kama 15m ivi.ivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodaboda
Ila akinunua babu hadi mjukuu ataikuta.