Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Mkuu nunua gari litakusaidia safari zako za kubeba vimizigo,kusafiri na familia kwenda ibadani,ukweni, outing, usiku, juakali na mvua pia nyakati ngumu unaweza kuliuza ukatatua changamoto!!
Kuhusu kipato hizo kilo 5 ni take home za watumishi wengi coz walishachukua mikopo tena na kununua hayo magari ambayo wanakukatisha tamaa!!
Gari siyo mpaka ulitumie kila siku au kuzurula nalo viwanja, ukiwasha kwa safari za msingi utalimudu tu