anunue vitz ilaa nayo inatumia mafutaaa so kwa mshahara wa 500k means sio chini ya 250k unatumia kwa ajili ya gari na hapoo kuna mambo ya kugusana na watuu siku umeparua gari la watu huna 100 aisee ndo utalichukia gariii na used hazikosagi mapungufu mara gari inazimika upo road weeee 😀 😀 😀 😀 😀ivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodaboda
magari ni ghali sana utunzaji wakeanunue vitz ilaa nayo inatumia mafutaaa so kwa mshahara wa 500k means sio chini ya 250k unatumia kwa ajili ya gari na hapoo kuna mambo ya kugusana na watuu siku umeparua gari la watu huna 100 aisee ndo utalichukia gariii na used hazikosagi mapungufu mara gari inazimika upo road weeee 😀 😀 😀 😀 😀
mnooo mnooo...yani ukiwa na mshahara mbuziii nusu ya helaa inaishia hukomagari ni ghali sana utunzaji wake
Ok kipato changu ni 500k Kwa mwezi mkuu
Boda boda nao watu hata kama hawana kituivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodaboda
Hujamshauri achukue chuma gani sasa chiefWe nunua hata kwa mtu, muhimu update fundi nzuri wa kukagua.
Kipato changu ni chini ya hapo (sio Cha uhakika), nimenunua Toyota Raum kwa mtu huu mwaka wa 3 fresh tu.
Ukiwa na gari huiweki barabarani kila siku, unacheki tu mishe ukiona imekaa pouwa unatia wese unasepa.
Huyo anaesema kila siku inahitaji wese la 20k, Kwan anajua unaenda wapi?
Kama una familia Kuna wakati gari inakupa heshima sana.
We usisikilize maneno ya watu, we chukua chuma ishi nacho. Maisha ni haya haya.
utanishukuru baadae
umesema kweli man...We nunua hata kwa mtu, muhimu update fundi nzuri wa kukagua.
Kipato changu ni chini ya hapo (sio Cha uhakika), nimenunua Toyota Raum kwa mtu huu mwaka wa 3 fresh tu.
Ukiwa na gari huiweki barabarani kila siku, unacheki tu mishe ukiona imekaa pouwa unatia wese unasepa.
Huyo anaesema kila siku inahitaji wese la 20k, Kwan anajua unaenda wapi?
Kama una familia Kuna wakati gari inakupa heshima sana.
We usisikilize maneno ya watu, we chukua chuma ishi nacho. Maisha ni haya haya.
utanishukuru baadae
Mpwayungu Village njoo hukuuuuuuu.....! Kuna mwalimu anataka kununua gari ya kutembelea!!!!!!!Habari wana Jf?
Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.
Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.
Mchango wenu wakuu
Skia ticha kamatia crown majesta au nissan fuga au tafuta crown athlete new model utaenjoy maisha ticha yaani akili itatulia utaweza fundisha na watoto wakatoka na div. 1 na 2 basHabari wana Jf?
Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.
Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.
Mchango wenu wakuu
Ni kweli ukiwa na tvs kama mm napata tabu kwenye mataa alazima atokee kiherehere wakutaka kichomoa funguo. Sikuhizi washanijua hawasumbuki na mimi.ivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodaboda
hi gari ina bei 😅Mwalimu Acha Mawazo Chukua Chuma Hiki Hutajuta Kamwe Mafuta Inanusa Kama Ugoro View attachment 2651633
Unajua bei ya toyota rush?Rush ni mzuri na sio beighali
Laki 4 mpaka 6[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Asinunue Above 1200 ccUnajua bei ya toyota rush?
Afu rejea bajeti ya mleta mada
10Unajua bei ya toyota rush?
Afu rejea bajeti ya mleta mada